mishahara

  1. Azarel

    JamiiForums Tanzania Kupandishwa vyeo, mishahara na mengineyo: Watumishi wa umma mna maoni gani?

    Habarini Wadau, Ninaomba kuuliza lakini pia kupatiwa msaada katika jambo hili. Mwaka Jana mwezi wa 5, watumishi wengi wenye sifa walipandishwa madaraja. Lakini cha kushangaza katika mabadiliko ya mishahara ni kama kuna ubaguzi kwa watumishi. Kwa Mkoa wa Kilimanjaro kuna ambao wamebadilishiwa...
  2. Kinoamiguu

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa Umma wa Tanzania, kikundi maalumu cha Watanzanzania, wajinga wasiojielewa, watashangilia nyongeza ya mishahara hapo May 2020

    Hawa ni wahanga haswa wa awamu hii. Hawajaongezewa mishahara kwa mujibu wa sheria wakiambiwa wanajengewa madaraja na kununuliwa ndege. wapo waliosimamishwa na kufukuzwa kazi kwa mihemko ya viongozi vichaa vichaa. Hatutawashangaa watakapopewa nyongeza ya mishahara iliyocheleweshwa na kutuambia...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Kuna awamu ilikaa miaka 4 na zaidi bila kuongeza mishara ya watumishi na pasipo kutoa nyongeza ya mishahara ya kila mwaka?

    Hivi tangu enzi za Mzee Mwinyi kuna awamu kweli iliwahi kutelekeza watumishi wa umma kwa kiwango hiki tunachokiona katika awamu hii? Yaani wakati mishahara serikalini ikifahamika kuwa ni midogo,mtu unaamua kuifanya iwe duni zaidi kwa kutoa hata annual increment? Je,huku sio kukosa ubinadamu...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Matabaka ya watumishi

    Vigezo gani vinatumika kupanga mishahara ya watumishi wa umma? Kuna tofauti kubwa sana ya mishahara kati ya watumishi wa mashirika na taasisi za serikali na wale wa halmashauri au serikali kuu. Kuna mashirika mengine hata dereva tu anamzidi mshahara engineer, mwanasheria au daktari wa...
  5. CORAL

    JamiiForums Tanzania Naomba Mamlaka ya Maji Safi na Taka Mbeya ifutwe, wanalipwa mishahara bila kazi

    Mamlaka ya maji Mbeya wafanyakazi wake hawastahili kulipwa mishahara kwa sababu hakuna wanachokifanya na hawapo pale kutoa huduma ya maji kwa wananchi. Wapo kama TRA tu yaani kukusanya pesa basi. Ni miezi 4 sasa eneo la Uyole 90% ya bomba hazitoi maji. Wakilalamikiwa hawatoi msaada wowote...
  6. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Serikali iache kufungia vyuo vikuu binafsi kwa ukosefu wa wahadhiri. Yenyewe ndio iwapeleke na iwalipe mishahara

    Dini zimekuwa zikijitahidi Sana kuwekeza kwenye miundombinu na majengo ya vyuo vikuu Tanzania kwa kupitia wafadhili wao wa ndani nje ya nchi ambao Mara nyingi wakishamaliza huwa hawaendelei kuchangia gharama za uendeshaji. Dini Kama Waislamu,wakatoliki,walutheri, waanglikana na wasabato na...
  7. Bonde la Baraka

    JamiiForums Tanzania Watumishi kujazana kwenye ATM tarehe za mishahara ni kielelezo tosha cha umaskini na ukiukwaji wa haki za watumishi

    Kwema wakuu? Miaka iliyopita mshahara ukitoka tu Maza alikuwa ananiambia nikamtolee fedha yote nitakayoikuta kwenye akaunti yake pindi tu mshahara unapoingia. Nikifika tu NMB nakutana na foleni kubwa sana. Nikienda tarehe za kawaida kwa issue zingine pale Benki nikichungulia ATM sioni foleni...
  8. tutafikatu

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya, yaanza kushindwa kusimamia Hospitali za Mikoa

    Kuna taarifa kwamba Wizara ya Afya imeanza kushindwa kusimamia rasilimali watu zilizopo hospitali za mikoa. Shida kubwa inatokana na mfumo wa Maafisa Utumishi wa Wizara kurundikana makao makuu ya Wizara. Hivi karibuni, watumishi kadhaa wakihusisha madaktari waliajiriwa katika hospitali za...
  9. real G

    JamiiForums Tanzania Tanzania yatajwa kwenye orodha ya nchi zenye mishahara mikubwa Afrika

    Shirika la Numbeo limetoa orodha ya nchi kumi zenye mishahara mikubwa zaidi barani Afrika. Hili ni shirika kubwa zaidi duniani la ukusanyaji wa taarifa za majiji na nchi. Shirika hili linatoa taarifa za mara kwa mara kuhusu hali za maisha duniani ikiwemo gharama za maisha, upatikanaji wa nyumba...
Back
Top Bottom