Hili jambo nimeliongea mara kadhaa huko nyuma na leo napenda kuliriudia kwani ni kikwazo kwa watu katika kujitafutia maendeledo yao na pia katika kutatua changamato zao za kifedha.
Kwa wasiolewa, sheria hii inalenga kuhakiksha mtumishi habaki na take home ndogo isiyokidhi mahitaji yake na ya...
"ANDIKO HILI LIMETOLEWA NA WAFANYAKAZI WA RADIO 5 ARUSHA"
"Habari za wakati huu wanahabari wenzetu.
Sisi ni Wafanyakazi wa Radio5 Arusha iliyo chini ya TAN COMMUNICATION MEDIA ambayo inamilikiwa na Familia ya Mzee Edward LOWASSA kwa masikitiko kabisa tunalazimika kuandika ujumbe huu kueleza...
Ni Rais ghani Afrika anayepokea mshahara mkubwa kuliko wote Afrika , kwa mujibu wa mtandao wa Africa business , walichapisha chapisho la viongozi wa Afrika wanaopokea mshahara mrefu kuliko wote, ambapo wengi wa viongozi hao wana utajiri wao binafsi ukiachana na uongozi.
Ambapo kipindi cha...
Hali ni mbaya kwa kweli laana inatutembelea kwenye Tozo
Hivi kweli Tozo mmeigeuza kama KODI jaman? Hadi akaunti za Shariah mnakata tozo? daah.
Nijuavyo mie kwanza ilitakiwa kila mwezi tuambiwe imepatikana kiasi gani hilo limeshapotezewa skuhizi.
Pili je hii tozo ni mpaka lini au ndio milele...
Ni hivyo tuu, huu utaratibu urudishwe haraka. Sababu iko wazi, makato mapya ya kutoa na kuweka pesa bank hayavumiliki hata kidogo na yanamnyonya mfanyakazi directly sababu hajapewa option(s), yaani automatically anafosiwa kukatwa sababu hakuna njia ya kuuchukua huo mshahara bila kukatwa...
Habari za huko?
Kuna hii kauli naisikia toka zamani Sana kwamba kuwaongezea watumishi mishahara au motisha Basi kunapunguza tamaa za wao kufanya ufisadi.
Hebu tuchukulie kwa mfano kada Kama za udkatari au uaskari let's say mfanyakazi analipwa Million moja kwa mwezi na kila siku ana force apate...
Kama sehemu ya Mikakati inayolenga kuboresha Maisha yao, Walimu wa Shule za Msingi Nchini Rwanda watapata nyongeza ya 88 katika Mishahara kuanzia Agosti
Mbali na nyongeza hiyo kwa ngazi na Msingi, Waziri wa Elimu amesema Mishahara ya Walimu wa Shule za Sekondari nayo itaongezeka kwa 40%
Pamoja...
Watu wengi tumekuwa tukiamini udogo wa mishahara ni moja ya chanzo au Sababu kubwa ya rushwa Jambo hili halihitaji akili kubwa kulielewa wewe vuta picha tu maisha ya leo alafu unakuta mtu analipwa laki tatu au nne mpka saba jumlisha ana watoto na mahitaji ya kila siku hapo ukikutana na mtu...
Kuna mambo yako wazi sana wala hayahitaji rocket science kujua kwamba hawa wanasiasa wamejifavor wao, ukitumia hesabu za kawaida kabisa unaona lengo lilikuwa kujilipa vizuri wao na sio watumishi wa umma.
Watumishi ambao wanalipwa kima cha chini nchi hii ni wachache sana, hata wale wa daraja la...
Waziri Mkuu, Kasimu Majaliwa amesema wengi wanaolalamika kupata ongezeko dogo la mishahara ni wale ambao wana mishahara mikubwa. Ametolea mfano wa mawaziri kuwa wako baadhi ambao ongezeko lao ni 0.02%
Amewaomba watumishi kuwaamini viongozi wa vyama vya wafanyakazi. Amesema wengi waliopata...
Sina mengi ni kuanzia saa kumi jioni. Japo wadau wengi hawana imani tena baada ya kupitia uzoefu fulanifulani zilizo tolewa ufafanuzi kupitia ofisi ya Waziri Mkuu.
===
Aliyoyazungumza waziri Mkuu.
Rais Samia Suluhu Hassan tangu ameingia madarakani amehakikisha watumishi wanapata amani mahali...
Naomba kutoa Rai kwa serikali!
"Ukicheka na nyani Utavuna mabua" TUCTA must watch out!
Kuna HAKI na WAJIBU wa kila MTU
Haki ya mfanyakazi ni kulipwa ujira wake kama kanuni zinavyosema! LAKINI wajibu wa mfanyakazi ni kufanya kazi bora ili mwajili awe na sababu ya kulipa ujira huo hata Zaidi...
Andiko hili litakua katika sehemu tatu. Sehemu ya kwanza itakua utangulizi hapa nitaelezea maana ya mfumo wa malipo ya mishahara ya waajiriwa, Sehemu ya pili hapa nitatoa changamoto au madhaifu ya mfumo wa malipo ya waajiriwa wapya, Sehemu ya tatu na mwisho nitatoa mapendekezo au mtazamo wangu...
Msemaji wa serikali ndg Gerson Msigwa akitoa mrejesho wa kinachoitwa kikao cha serikali na TUCTA leo tarehe 26/7/2022
Lugha gongana. Msemaji wa serikali anasema hivi, TUCTA wanasema vile. Ni kama kuna kurushiana mpira. Gerson Msigwa anaongea kana kwamba TUCTA ndiyo mwajiri na mlipa mshahara...
Msemaji wa Serikali Gerson Msigwa amesema wameipa TUCTA muda wakajadiliane kuhusu mishahara mipya kisha walete mapendekezo yao serikalini.
Naye Rais wa TUCTA Tumaini Nyamhokya amesema TUCTA wameipa muda Serikali ikaje na ufafanuzi juu mishahara kuwa pungufu ya Kima kilichoahidiwa.
Rais...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.