Kusema ukweli tangu nazaliwa sijui kitu inaitwa club au disco naskiaga tu hii kitu ila binafsi sijawahi
kabisa kwenda disco nikajua kupoje au huwa kunakuaje,ninachokumbuka nikiwa shule moro kuna
Shule yetu ilikua ni ya boys tupu (st fransis) ila pembeni ya shule yetu mtaa huo huo kuna shule...