mimi

  1. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mimi binafsi riport ya Tume ya Jaji Chande naona kama wamepoteza kodi zetu kuandaa ujinga

    Unaweza kudanganya lakini huwezi kudanganya miaka yote hiyo tume imepoteza kodi zetu na kuja na riport ya kijinga namna ile ? Uliona wapi mtu ambae ndo anatuhumiwa kwa mauaji anaunda Tume ya kujichunguza? Kwenye hiyo Tume...
  2. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Unataka kuoa unakuta demu ana sifa nyingi nzuri lakini ni Kiholoholo. Hapo mimi siwezi kabisa

    Demu kiholoholo ni demu kimbaumbau. Nimejarib mara kadhaa kula.... Huwa kwa kweli sivutiwi kabisa. Napenda demu awe na makebo makubwa. Hapo sawa. Lakini akiwa kiholoholo.... Aaargh labda ELI COHEN na Intelligent businessman wanaweza elezea kwa uzoefu wao. Maana hawa jamaa wana exposure kubwa...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Rafiki zangu wengi niliosoma nao primary na O level wapo vizuri kimaisha. Mimi sijatoboa kwa kweli pamoja na kupambana

    Wadau leo niko very stressed. Nimeamua nianze kula konyagi mapema tu maana kazi siipendi tena. Naenda kazini nikiwa sina raha. Mkuu wa shule anafuatilia maisha yangu. Kijibiashara cha kuuza kangala hakilipi zaidi ya kupata hela ya kula. Rafiki zangu wengi wana maisha mazuri na wametoboa...
  4. Lavit

    JamiiForums Tanzania Hivi ni mimi tu ninayekerwa na hawa polisi wenye mitutu ya bunduki barabarani!??

    Mimi kwa nature yangu ya kazi huwa sitoki kila siku kwenda mjini, sasa ikitokea siku nimeenda nimekuwa nikiona hawa polisi wakiwa na mitutu ya bunduki kwenye mataa achilia mbali vituo vya mwendokasi! Kiukweli mimi hii hali inanisumbua sana, imekuwaje tumefika hapa? Je hii inaleta picha gani kwa...
  5. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Mimi nakubali walikufa 500 siku je ni wachache hama wengi? Je waliuwa ili waingie ikulu? Au walikuwa wanazuia watu batili wasiingie ikulu?

    Hahahahahhhhhh hicho ni kilio sio kicheko, je walikufa ni wachache au wengi? Nauliza je walikuwa wanawapinga wakina naninwasiingie ikulu?je uliepinga uliua 500 watu wajiskiaje?
  6. M

    JamiiForums Tanzania Niko njia panda, Mzazi mwenzangu hataki kuwahudumia watoto kisa naishi nao mimi

    Miaka mitano ya ndoa ilitosha kutufanya tuwe wazazi wa watoto wawili wa kike na kiume, wa kwanza kike na wa pili wa kiume, aliye mkubwa kabisa kwa sasa ana umri wa miaka 6 na mdogo ana umri wa miaka 3 na nusu japo baada ya watoto hawa, ukurasa wa ndoa ulifungwa kwa kuwa tulishindwa kuendelea...
  7. kijana mpambanaji

    JamiiForums Tanzania Vibaka wana ajenda yao, niliwaambia mkacheka; mwingine aporwa milioni tano, kama nilivyovamiwa mimi

    Kijana mmoja mtumishi wa serikalini, avamiwa na vibaka, maeneo ya kijangwani na kumpandikizia eti kamshika mtu bega kumbe ni mkakati wa kumpora, kapewa kichapo, na pesa milioni tano wamesepa nazo wahuni. Ni wiki kadhaa tu tangu tukio la mimi kutolewa visu mchana kweupe na kunipora pesa na...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Nachoka Mimi; ujinga wa kishirikina umeenea lakini wasomi wa 'piechi di' wapo na serikali ya Samia tu.

    Na kale kambaumbau kao kule duniani kako bize na 'vimbavu' vyake eti "hizo ni drama tu kupotezea kupanda mafuta". Hivi wapi hakujapanda mafuta?!!!! Nyambaaaf
  9. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Sal Davis na Mimi 2006 -2016 (4)

    SAL DAVIS NA MIMI 2006 - 2026 Katika urafiki wangu na Sal Davis nimeweza kumsikiliza akizungumza maisha yake kuanzia kitongoji cha Makadara, Mombasa (Sasa Prof. Ali Mazrui) alikokulia hadi anapelekwa Manchester akiwa kijana mdogo kusoma shule ya msingi hadi anakuwa mwanamuziki wa sifa wa...
  10. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Mimi na Sal Davis (2)

    https://youtu.be/S5dZheEpOh8
  11. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Mimi na Sal Davis 2006 - 2016 (1)

    https://youtu.be/qZ8uN6xusgM?list=RDqZ8uN6xusgM
  12. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Al Jazeera Walipokuja Kufanya Mazungumzo Tanzania na Mimi 2007 (Dar es Salaam) na 2008 (Tanga)

    AL JAZEERA WALIPOKUJA KUNIHOJI TANGA NA DAR ES SALAAM Mahojiano na Al Jazeera nyumbani kwangu Masaki, Dar es Salaam 2007 Mohamed Val Mtangazaji wa Al Jazeera akinihoji nyumbani kwangu Bombo, Tanga (2008) Huyu kijana kutoka Al Jazeera sikumbuki jina lake alinifahamisha kuwa alipata kuishi...
  13. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Arusha DC kuna jambo linastahili kufuatiliwa katika Sekta ya Elimu

    Mimi ni mwalimu wa Shule ya Sekondari katika Halmashauri ya Arusha DC. Hivi karibuni wanafunzi wa kidato cha nne walifanya mitihani ya pre-mock, ambapo kila mwanafunzi alitozwa shilingi 12,000 kwa madai ya kugharamia usahihishaji wa mitihani hiyo. Cha kushangaza na kusikitisha ni kwamba...
  14. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kero ya Uchafu Zanzibar, mkoa wa Mjini Magharibi, Wilaya ya Mjini Jang'ombe - Shehia ya Kidongo Chekundu

    Kwa shehia ya Jang'ombe, Kidongo Chekundu na Baraza la Manispaa mjini ishughulikie takataka zinazozagaa na kutelekezwa katika jalala la Jang'ombe, Kidongo Chekundu. Hii hali imekuwepo muda mrefu bila uchafu kuja kuchukuliwa, ukizingatia jalala lipo kwenye makaazi ya watu na karibu na skuli...
  15. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania Mimi ni mgeni Dar, je kukaa baadhi ya sehemu kunaweza kushape maendeleo yako?

    Kukaa sinza, Kinondoni, Mbweni na Goba Au kukaa Buza, Mbagala, Mbande, Kongowe, Manzese, Tandika nk Ipi Bora?
  16. R

    JamiiForums Tanzania Kilio na sala ya Lissu toka Ukonga: Watanzania mmelala? Mimi sijalala

    Watanzania, mmelala? Mimi sijalala hadi sasa! Hii si leo, hii si kesho – hii ni vita ya maisha na uhai wangu! Niko hapa peke yangu, njaa inaungua ndani yangu, sina chochote kinywani, wala sijui nini kinachoendelea kuhusu hatima yangu! Mimi si jambazi, si gaidi. Kama ni hivyo, nipelekeni mbele ya...
  17. A

    JamiiForums Tanzania KERO Nakerwa na Kampuni hii kuni-SMS kila wiki kutaka kununua mkopo wangu wa HESLB wakati mimi siwajui

    Juzi kati niliona kuna Mdau amelalamika kuwa kuna kampuni imekuwa ikimtumia ujumbe na wakati mwingine kumpigia kwamba wanataka kununua mkopo wake uliosalia kutoka Bosi ya Mikopoy a Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB), sasa nami nimeona niweke hapa kero yangu inayoendana na hiyo. Kuna hii kampuni...
  18. fimboyaukwaju

    JamiiForums Tanzania Mimi ningekuwa Ayatollah Ali Khamenei

    Mimi ndio ningekuwa yeye,ningeufyata mapema,ningejiuzulu na kuwaachia wananchi kuchagua viongozi wanaowataka.Ningeisalimisha nchi kipigo chote hiki na kusalimisha nchi kuharibiwa.Sasa angalia watu wanakufa,viongozi wote wanauliwa kila siku na nchi inabomolewa na watarudi nyuma miaka 100 na sijui...
  19. Tundusami

    JamiiForums Tanzania Punyeto haimalizi nguvu za kiume mimi ni shahidi.

    Nimepiga puchu tangu nikiwa na miaka 11 leo nina miaka 44 lakini bado nipo ngangari kitandani.msidanganywe na wauza madawa mkapotezq ela zenu bule.
  20. L

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mchumba wa Ndoa, Mimi siyo Mtu wa kujichanganya sana na watu huko Mitaani ndiyo maana nimeleta hoja zangu hapa

    Habari wanajamii, Mimi ni mwanaume mwenye umri wa early 30’s, Mkristo, ambaye kwa sasa sina mtoto na sijawahi kuwa kwenye ndoa. Nafanya kazi kama muajiriwa katika sekta binafsi. Kwa ufupi kuhusu mimi: Urefu: sentimita 185 Muonekano: Mwembamba, mweusi Mtindo wa maisha: Baada ya majukumu ya siku...
Back
Top Bottom