mimi

  1. mwehu ndama

    JamiiForums Tanzania Mimi ndie member wa jeiefu folamu mwenye nidhamu na utii kuliko wote

    Kwanza nawashukuru wote mlionifikia inbobo na kunitumia jumbe mbalimbali za kunipongeza Kwa kua member mwenye nidhamu na utii kuliko members wengine hapa jukwaani, Hasa Katika kipindi hiki ambacho jukwaa limekumbwa na taharuki ya kinidhamu. Mimi mwehu ndama nimekua nikionyesha Kwa maandishi...
  2. SweetyCandy

    JamiiForums Tanzania Mwanaume akifumaniwa, mwanamke anaambiwa asamehe eti wakalee familia ila Mwanaume anaambiwa amuache mwanamke na Si asamehe alee familia?

    Naomba niwaulize ,. Inakuwaje mwanaume akifumaniwa mwanamke anaambiwa asamehe eti wakalee familia. Ila mwanaume akimfumania mkewe anaambiwa achana na huyo malaya anaacha familia yake anaenda kukutwa alikokutwa Kwani mwanaume anapoenda kufuata malaya hukoo yeye haachi familia yake au huwa...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kuna Mwanamke alinikataa kabisa baada ya Mimi kijitambulisha kwake ni mwalimu

    Nilikuwa nimemwelewa single mother flani yupo tunduma, so mara kazaa nilikuwa napita mtaani kwake karibu na ofisi yake anakojumlisha viazi . Ukizingatia umri wangu umeenda soon naikuta 40, umri niliopanga kuoa ,nilitokea kuvutiwa na yule Binti ambaye age yake 25, basi nikaomba mahusiano ...
  4. Vien

    JamiiForums Tanzania Aliyekatazwa asicheze na mimi utotoni, leo anashangaa maisha ninayoishi. Tatizo halikuwa mimi, bali namna alivyolelewa

    Habari wana JF. Katika jamii nyingi za Afrika, ni jambo la kawaida kabisa kusikia mzazi akimwambia mtoto wake: "Usicheze na yule mtoto." "Huyo atakufundisha tabia mbaya." "Usiende kwao." Lengo mara nyingi huwa ni jema. Wazazi wanataka kuwalinda watoto wao wasiharibiwe na mazingira. Tatizo...
  5. TUKANA UONE

    JamiiForums Tanzania Mimi ni Millenials ninayemkubali Diamond Platnumz, But kwenye Live Alikiba ni Balaa!

    Ndugu zangu wana jamiii Forums,Natumai mko salama! Binafsi nimekulia kwenye kizazi za kina Dully Sykes lakini ukweli ni kwamba,Namkubali sana msanii wa kizazi kipya aitwaye Diamond Platnumz!,Nimekuwa mshabiki wa muziki wa kizazi kipya tangu enzi za wasanii wenye umri wangu!,Nilishawishika sana...
  6. venchwa

    JamiiForums Tanzania ***** kuna ka bibi kana miaka 55 kanasumbua sili mabibi Mimi

    Yaan ujana awape Wengine aalafu uzee alete Kwangu ! Mi nakula naotaka hapa Singapore Kanatoka Slovenia kana mpunga Ila Mimi sitakagi Pesa ya mwanamke Sitaki mabibi Mimi alafu kanakazana kutuma wahudumu 😀😀😀 Baada ya kuona Nina minyama yangu...
  7. Superbug

    JamiiForums Tanzania Mimi na mke wangu Seran.

    At Boston terrier ila namuwaza mke wangu Seran Tanzania. Leo nanunua mbwa Nampa jina kwereseran. Karibuni Boston.
  8. de Gunner

    JamiiForums Tanzania Mimi kama mtanzania Mzalendo nawaasa wa Tz 🇹🇿 tukubali tu

    Mimi naona sasa ifike wakati wa Tanzania tukubali ya kuwa hii inchi hatuwezi kuikomboa. Nchi haiwezi kukombolewa kwa sasa, maana hakuna opposition nje ya chama kilichopo madarakani chenye nguvu ya kuwatoa... They've built mifumo ambayo no amount of inate opposition wanaweza kuivunja. Sio kwa...
  9. venchwa

    JamiiForums Tanzania Wakati mnasambaziana Mabundiki Mimi venchwa Nipo natumia huku

    tule vitu
  10. de Gunner

    JamiiForums Tanzania Hivi mnawezaje kumfuta mtu katika fikra na hisia zenu? Mimi haikuwezekana

    This is one of the most secretful things nimekaa nayo for years, na sijui kama kuna mtu atanielewa humu.. Nianze kwa kuuliza je, kuna mtu alishawahi kuwa connected to someone katika namna isiyo ya kawaida? Yaani unakuwa unahisi like huyu mtu ni kama kuna cord flani invisible na instinctually...
  11. Marry Diana

    JamiiForums Tanzania Jamani Mimi siyo Malaya, tuheshimiane

    Mnakera,mmenikera hamnijui , siwajui. Kuna post ya Nusrat imepostiwa si muda mwingi,anasema sijui alikuwa anajiuza sasa kaacha,sijui anataka kuacha. Cha ajabu kwenye komenti kuna mijitu inasema eti watabaki na Mimi Malaya,kivipi niliwahi kuwauzia wapi, Mnikome,mnikome sipendi. Wewe mbaga na...
  12. Eunice selin

    JamiiForums Tanzania Mimi Mgeni, naombeni ukaribisho mzuri

    Habari zenu wanajukwaa Mimi ni mgeni naombeni ukaribisho mzuri na pia nahitaji marafiki wapya wakubadilishana mawazo 🙏🙏
  13. Harrykany

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kazi Arusha mjini au Moshi mjini, Mimi nipo iringa

    Mimi ni kijana mwenye umri 28 nipo iringa ni fundi sofa na vitanda vya sofa kwa pamoja, najua kutumia cherehani na kukata vitambaa kwa jiri ya kushonea sofa, hivyo kama Kuna mtu anahitaji mtu wa kazi iyo naomba anitumie ujumbe, inbox kwa mawasiliano zaidi, hata kama ipo kazi nyingine yoyote...
  14. Best home tutor

    JamiiForums Tanzania Haya mambo mambo gani na mimi niyajue nikonde?

    "Haya mambo ya nchi hii ukiyajua unaweza kufa kwa presha ndo maana mimi nakonda kila siku, kwasababu unawaangalia unasema hawa ni banadamu wa kawaida au wamelogwa alafu unakuta kamtu kanakonyonywa na wachache wenye nchi anashangilia mimi ni CCM unashangilia hapa ili matajiri wachache wafaidike "...
  15. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu, MBUNGE Bora wako ni yupi? Mimi ni Baba Levo.

    Mi nshamaliza kwenye title
  16. Fbn

    JamiiForums Tanzania Ukiunganisha uongozi wa Uganda wanacho kifanya ndio Tanzania wanacho kifanya

    Kuna kauli za Museveni na mwanae kama inavyoonekana Tanzania imeshakuwa mali yao bado kenya kwa mfumo wake wa utawala. Kitu kinacho nipa kufikiria zaidi embu mfatilie museveni na mfatilie samia kauli zake na matendo ya serikali .
  17. AXIOM APEX VERBOSE

    JamiiForums Tanzania Sisemi kitu Picha yenyewe inajielezea, angalia Picha kisha jaribu kujiuliza ungekua wewe ungefanyaje?

  18. Isenye

    JamiiForums Tanzania Hili tatizo la wanawake kuwa wakavu ni mimi tu nakutana nalo au ni janga la Taifa?

    Asalam aleiko Moja kwa moja kwenye Mada Siku za hivi karibuni nimeanzisha harakati za kuzitandika mbususu ipasavyo na tena bila huruma. Sasa cha ajabu kati ya mbususu 10 ninazokutana nazo basi 8 lazima ziwe kavu. Soo nauliza ni mimi ndio nina bahati mbaya au k kavu ishakua janga la taifa?
  19. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Ruangwa: Miradi mingi iliyozinduliwa na Mwenge imekomea palepale bila kumaliziwa

    Mimi nipo Wilaya ya Ruangwa. Miradi mingi iliyozinduliwa na mwenge imekomea palepale bila kumaliziwa. Mfano ni kituo cha afya Chienjere na Shule ya Sekondari Namakuku. Miundombinu hii imetelekezwa na Wazabuni na kwa kuwa ipo pembezoni mwa mji inakuwa ngumu kufuatiliwa na kuonwa na viongozi...
  20. TheForgotten Genious

    JamiiForums Tanzania Yaani upwiru wako,halafu nikutumie nauli mimi tena?

    Utakuta mdada anakupigia simu au anakutumia sms"Nimekumiss" unamjibu njoo,anasema umtumie nauli aje,woiii,upwiru wake nimtumie nauli tena?,tutatuma nauli tunapowahitaji tu kama hatuwahitaji mnatuhitaji mje na nauli zenyu. Na bado akija anataka uichape mpaka itoe moshi alie kama kasongo,akojoe...
Back
Top Bottom