mimi

  1. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Hizi ndio akili za wananchi wanaotaka mabadiliko?

    Hapo si kujichotea tuu aisee, ni kama tuu shamba la urithi ukiishiwa unakata kipande 20*20 unauza, ndugu hawana noma.
  2. Troll JF

    JamiiForums Tanzania Mimi Kama Gen- Z naona aibu kwa kilichotokea jana Tulikurupuka sanaa naomba Samia na Watanzania wote mtusamehe

    Jana katika harakati zingine za kuharibu taswira ya Tanzania tulishindwa kwa sababu tulikua disorganised sana. Nakupenda na kusababisha aibu tuliyoipata naweza kukiri kuwa tulikurupuka sana kwa sababu viongozi wetu waligawanyika kwa kiasi kikubwa kwa sababu ya maslahi yaliyotoka kwa mabeberu. We...
  3. itscowboy98

    JamiiForums Tanzania Mimi ni mgeni tafadhari naomba mnipokee.

    Habarini wanajukwaa. Naomba mnipokee kwa mikono miwili Mimi ni mgeni humu jukwaani, natanguliza shukrani 🙏🏿
  4. secretarybird

    JamiiForums Tanzania Bila VPN JF inashindwa kufunguka. Je, imefungiwa tena?

    Wakuu, Mchana nilikuwa naingia bila kutumia VPN lakini muda huu nashindwa kuingia. Shetani gani tena huyu? Binti wa zamani
  5. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Paroko wangu wa KANISA la Karanga umenikosea Leo ibadani, Mimi sikuwa tayari kuwaombea wanahabari na viongozi wa serikali

    Baba paroko Tumsifu Yessu Kristo! Paroko wangu wa KANISA KATOLIKI karanga hapa Moshi vijijini Leo umenikosea ulipo niambia niwaombee viongozi wa serikali Ili watimize wajibu wao wa kutenda haki Pili umenilazimisha kuwaombea wanahabari Hawa washenzi wasio jua walifanyaro Hawa vikaragosi wa...
  6. Mudawote

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mimi siyo Mchawi ila Wafuatao inabidi wapotee kiushahidi MO29 kabla ya kesi ya ICC

    GTs, Mimi siyo mtabiri ila naona kabisa wafuatao (ongezea) inabidi wapotezwe na yule aliyewatuma wafanye mauaji MO29. Yaani iko hivi kesi ya ICC ili iwe na nguvu lazima pawe na watu watakao kiri kuwa walitumwa na aliyewatuma kuua. Ila kama hawapo kesi ya MO29 itakuwa haina nguvu. Hivyo...
  7. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Kulikuwa na tatizo la internet usiku wa kuamkia leo? Au mimi pekee ndiyo nimeona

    GT Majira ya sa tisa kama na nusu hivi Internet kama ilikata mpaka saa kumi na moja alfajiri Siyo Internet tu lakini hata simu zilikuwa hazitoki. Niliogopa na kufurahi kwa wakati mmoja nikahisi labda Bi kidude kaenda kusalimia malaika
  8. adriz de mbusii

    JamiiForums Tanzania Sababu za kuwapinga Hamas japokuwa Mimi Muislamu na wanaonewa ndio hizohizo ninazotumia kupinga Maandamano pamoja na utanzania wangu.

    Moja kwa moja. Baada ya tukio la October 7 Hamas kushambulia Israel nilikuwa kinyume na Waislamu wengi wa Jf katika mijadala ya humu tokea siku ya kwanza , na supporters wa Hamas walinipinga wakidai. 1. WaPalestina wanaonewa kila siku kwa miaka mingi tena kwa dhuluma hivyo lazima wapambane...
  9. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais niamini Mimi amani hulindwa na walioshiba, wenye NJAA hawaelewi, waliomwambia mbunge hawataandamana, wamemalizia na neno "Tuna NJAA"

    Najiuliza Mzee kikwete yupo kweli? Butiku je? Warioba je? Peter msigwa je?😂😋🤣? Yule mjaruo Koko, Wenje je? Hivi peter msigwa na wenje mnaweza vaa mashati ya ccm Leo hii mkaitisha mikutano majimboni MWENU Leo hii?🤣😋😂? Sio agenda yangu asubuh ya Leo ya mwezi mpya. Mh RAIS, watu hawataki...
  10. Pakome

    JamiiForums Tanzania Watanzania tulipotembelea nchi za kigeni na kuwaeleza asili yetu, walifurahi sana wakatutania wajukuu wa Mwl Nyerere

    Watanzania tunapotembelea nchi za kigeni na kuwaeleza asili yetu, wanafurahi sana nakututania wajukuu wa Mwl Nyerere na hii ndiyo sababu kubwa inayonifanya niheshimu sana nchi ya Tanzania na nishindwe kamwe kukosea adabu Chama Cha Mapinduzi cha Babu yetu Mwl Nyerere Ni vigumu sana kutamka Chama...
  11. jabirimnaguzi

    JamiiForums Tanzania Wakuu naombeni kazi au mwenye connection yakazi anae jua mahali flani sikosi. Mimi ni dereva, popote nafanya kazi

    Mimi ni kijana umri miaka 26 elimu kidato cha sita 6 nimepita veta kupata basic driving, NIT kua VIP driver na ninauzoefu wakutosha kabla ya kwenda kuongeza ujuzi nabaada ya kwenda kuongeza ujuzi udereva nikazi ninayo ipenda nipo tayari kufanya kazi popote hata na mtu binafsi
  12. A

    JamiiForums Tanzania Yamenikuta na mimi kwa mke wangu

    Katika mambo ambayo mwanzo niliyapinga sana kutoka wanaume wenzangu Ni jambo la kusema kuwa mwanamke hawezi kuachana na Ex hasa hasa mwanaume wake wa kwanza Nilikuwa nafikiria ni uongo na kuwazushia tu wanawake ila kama mnavyoona kutoka kwa mke wangu niliye muamini na kumthamini ndo...
  13. Hornbil

    JamiiForums Tanzania Wakuu Mimi ni winga wa electronics, naombeni sana mniunge mkono

    Mimi ni winga wa electronics za aina zote. AC,Redio, speakers,TV, washing machine,fan , fridge, freezer. Bei zangu sio kubwa Wala sihitaji ganji kubwa wakuu. Kama unahitaji bidhaa yoyote niulize tu. Niungeni mkono wakuu🙏 Nipo kariakoo 📍 For quick response Whatsapp 0617129135
  14. L

    JamiiForums Tanzania Mimi ni Mkristu lakini Sintainua mkono wangu Kumpiga muislam

    Tumsifu Yesu Kristu, Mimi ni Mkristu wa madhehebu ya Kikatoliki,nasema hivi kwa namna yoyote Ile Sintainua mkono wangu Kumpiga muislam na wala sikubaliani na Mkristu yoyote Kumpiga muislam. Hata nikiona Mkristu anampiga Muislam nitafanya Kila niwezalo kumzuia asimpige. Toka nikiwa mtoto...
  15. Bawabu wa pili

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kihongosi: Watanzania wengi walipiga kura kabla ya vurugu, ni maeneo machache yaliyokuwa yameaithiriwa na vurugu na ndio maana hatukupata 100%

    Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Kenani Kihongosi amethibitisha kuwa ushindi wa CCM katika uchaguzi uliofanyika Oktoba 29 ulikuwa dhahiri na sivyo taarifa zinavyosambaa kuwa batili akilinganisha kuwepo kwa idadi nyingi ya vituo vya kupigia...
  16. Tajiri wa kinyankole

    JamiiForums Tanzania Nawakumbusha viongozi wa Vyombo vya Dola: Utekaji unaoendelea baada ya kiini macho cha uchaguzi siyo afya kwa jamii, mnachochea moto

    Mimi najiuliza hivi ni kweli IGP wambura hana washauli wazuri wakumshauli namna bora ya utendaji kazi wa jeshi la polisi katika kutekeleza majukumu yake zaidi ya haya mambo yanayoendele ya utekaji baada ya kiini macho cha uchaguzi yaliyofanyika october29. ? Hawa viongozi hawajui kama kuendelea...
  17. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Ni mimi tu ndio siwezi kukaa kumsikiliza Samia na Serikali yake yote au tupo wengi?

    Ni mimi tu ndio siwezi kukaa kumsikiliza samia na serikali yake yote au tupo wengi ? Karibuni wadau kwa maoni
  18. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Sigrada: Mimi ni mbunge wa wananchi, sina ubia na serikali

    Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Njombe kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Sigrada Mligo, ametoa wito kwa taasisi zote za Serikali na umma mkoani Njombe kushirikiana naye ili kuharakisha maendeleo kwa wananchi. Akizungumza mara baada ya kurejea mkoani humo, Sigrada amewashukuru...
  19. Alex khalifa

    JamiiForums Tanzania Wabongo nimewakosea sana. Naomba radhi kwa kupiga magoti mbele yenu

    Katika harakati za uchaguzi nilikua mwana CCM damudamu, nikimuombea kura rais wetu Samia. Nilileta Uzi, rejea Uzi wa tumuache Samia amalize muda wake, ukiisha ataondoka. Lengo lilikua kumpigania ili aendelee na awamu nyingine. Sikufahamu kesho yangu na yetu. Nilipiga kura na kuondoka zangu...
  20. Aen Urner

    JamiiForums Tanzania Nachoka baba yenu juu ya huyu workmate

    Habari zenu wana JamiiForums, Nimekuwa nikifanya kazi sehemu moja na msichana mmoja kwa miezi 3 sasa, hatufanyi majukumu sawa na Wala hakuna namna tunategemeana, lakini tangu siku ya kwanza tulipokutana, hajawahi kunisalimia yaan Ile "good morning" , "shikamoo" or whatever. Hata nikianza...
Back
Top Bottom