mimi

  1. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Mimi nashangaa huyu Mwanamke kila Muda namwambia aachane na Mimi lakini anielewi

    Huyu Mwanamke Kama anailewi nimemwambia aniache nifocus na Maisha yangu lakini yeye kutwa kulazimisha yaani hata sielewi anatafta Nini kwangu. Mimi sasahv nataka kukaa single nimemwambia lakin ndo kwanza anafosi niwe naye. Sasa leo Nampa Brock za maana najua yupo humu Jf na anasoma huu Uzi...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Japo Mimi ni Simba SC lia lia, ila kwanini nimesikitika Yanga SC juzi kutoka Sare ma Ruvu Shooting FC Kigoma?

    Majibu yangu...... Endapo Simba SC itamfunga Ruvu Shooting FC Siku ya Jumapili tofauti ya Alama ( gap ) na Yanga SC itakuwa ni Alama ( Points ) Kumi ( 10 ) Endapo katika hizi Tano kati ya Saba Yanga SC ilizozibakisha atakazocheza na Prisons, Mbeya City, Coastal Union, Mtibwa Sugar na Biashara...
  3. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Wimbo wa kumsifu rais Samia

    Kwakweli mama anastahili pongezi kwa kazi kubwa anayofanya ya kuifungua hii nchi na haya ndio malipo yake. Mama amefungua mipaka. Wawekezaji wameanza kumiminika. Mikataba ya Trillioni za pesa inasainiwa. Na mengine mengi tutazidi kuyaona.
  4. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Prof. Hoseah: Mimi siyo Rais wa TLS mropokaji

    "....mimi siyo mtu wa kutaka sifa na vyeo. Kama ni cheo mimi ni mstaafu tena wa ngazi ya juu! "....vilevile mimi siyo aina ya Rais wa TLS wa kutaka kila kitu ninachokifanya nijioneshe nimefanya. Mimi siyo mropokaji kama wengine mlivyojaliwa (dongo kwa TL) na kupenda kujipendekeza." "....wakili...
  5. Michael mbano

    JamiiForums Tanzania Degree tatu huwa zinakuwaje?

    Mtu anayekuwa na digrii 3 au zaidi je anakuwanazo ktk fani tofauti? Na je ipi maana ya phd kwa kirefu? Na masters nini na ktk hao yupi yupo juu? Nasubiri
  6. Kichwamoto

    JamiiForums Tanzania Wapenzi wawili hawanitoshei, Je ni mimi tu au tupo wengi?

    Hello JF, Niende kwenye maada, ebana eeh I have tried lots mi kuwa na mademu wawili nimeshindwa hawanitoshi, for two years nimejaribu nibaki na wawili nimeshindwa nilikuwa na Vaileth na Glory, ila wapi imebuma nimeongeza. Jack na Mary, am trymng but when I see women with diverse features...
  7. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania huyu dada kanijibu ovyo acha na mimi nikae kimya

    Nimekaambia mambo sista kakasema hakaongei na watu wenye sura kama mafenesi ngoja nikaache kapate hasara
  8. Unique Flower

    JamiiForums Tanzania Pleasee eleweni siitaji tena mchumba na wala siitaji tena watu wanisumbue inbox ukihitaji mpenzi toa post

    Please understand muelewe siitaji tena mchumba no more. Mume hutoka kwa bwana sio hapa very sorry Asanteni kwa wote waliokuja ila for now noo. Siitaji.
  9. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Kwa kweli kila nikitizama wenzangu walivyo nahuzunika, nakuwa mnyonge sana. Nimekosa nini mimi?

    Siku hizi mpaka naogopa kuingia JF. Kila nikiangalia wenzangu JF wana maisha mazuri sana. Wana magari ,wanapata mademu wakali,wana piga stories za Uk,Usa, Pretoria,Joburg n.k aisifuye mvua imemnyea. Wengine wanakula issue kimasikhara....mimi tu ndo naishi maisha haya.najiuliza nilikosea wapi...
  10. Myebusi Mweusi

    JamiiForums Tanzania Muhindi anatangaza picha zangu mtandaoni anadai mimi ni basha wake

    Huyu muhindi amekuwa akiweka picha zangu kwenye Instagram account yake na Facebook huku akiniita mume wangu. Muhindi huyu aliniomba urafiki kisha baadae akaomba tukutane kwa ajili ya kufahamiana, maana yeye anakaa Arusha na mimi Dar, so alipokuja Dar akaniomba tuonane, sikuona ubaya. Tulipiga...
  11. kikoozi

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nataka kuuza nyumba maana baba yangu mzazi anadai mimi sio mtoto wake

    Habarini ndugu zangu, Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 41 baba yangu baada ya kuuza nyumba yake na kugoma kunipatia na mimi japo pesa kidogo nikaanze maisha na ikanipelekea mimi kwenda polisi na mpaka mahakani na mahakama ikaamua kuwa mimi sina ninacho dai kwenye iyo nyumba ya baba...
  12. runtown

    JamiiForums Tanzania Kuna fursa hapa au mimi ndio fursa

  13. kavulata

    JamiiForums Tanzania Ningekuwa na dhamana, nyumba za Magomeni Kota wangeishi wafanyakazi wa Hospitali ya Muhimbili na Magomeni

    Unapotamani mfanyakazi wa hospitali a-smile kwa mgonjwa kuna mambo mengi sana lazima afanyiwe kabla ya kukutana na wagonjwa. Miongoni mwa mambo hayo ni mahali pa kuishi karibu na hospitali. Wafanyakazi kazi wa Muhimbili pale wanaishi mbali sana, wanatoka na kurudi usiku sana kutoka na kufika...
  14. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Wilbroad Slaa: Sina chama tangu nilipojiuzulu Ukatibu Mkuu wa CHADEMA

    “Mimi sina chama chochote, naomba niiweke hii sawa tangu Septemba 1, 2015 nilipojiuzulu ukatibu mkuu wa Chadema, lakini niliweka wazi kuwa katika masuala ya kitaifa, nitatoa kauli yangu, nitafanya hivyo bila uwonga wowote,” Balozi Dkt. Wilbroad Slaa, amesema hayo katika Kongamano la...
  15. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Ngono jijini Dar inatisha, yazidi kunawiri

    Jana tulianza kuchapisha makala maalum kuhusu kushamiri kwa biashara ya ukahaba kwenye maeneo mbalimbali jijini Dar es Salaam. Hata hivyo, katika uchunguzi huo imebainika kuwa, kuna kushamiri zaidi kwa watoto wadogo chini ya miaka 18 kujiingiza kwenye biashara hiyo haramu. Timu ya waandishi wa...
  16. H

    JamiiForums Tanzania Imeandikwa ishi nao kwa akili, sikusikia yamenikuta

    Toka hapo awali nilikuwa nina ndoto na hamasa ya kufikia mafanikio kwa kutatua matatizo ya Jamii inayonizunguka. Nilianza kupenda habari za anga za juu na Sayari KWA ujumla , nilijisomea kila kitu kuhusu anga kilichokuja mbele yangu . Katika harakati za kutafuta mwekezaji nikaangukia KWA huyu...
  17. my name is my name

    JamiiForums Tanzania Aliniambia hutokuja kupata Mwanaume kama mimi

    Nakumbuka wakati naachana na x wangu aliniambia "hutokuja kupata mwanaume kama mimi maisha yako yote" 🤦‍♀️ Watu wengine sijui hua wanajiamini nini mpk wanaeza kutamkia mtu maneno km haya. Matokeo yake yeye ndo hakupata tena mwanamke km mimi. Baada ya kuachana na mimi amekua akibadikisha...
  18. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Kesho naondoka, siwezi endelea kukaa hapa. Siwezi acha anielewe vibaya ila nimeshindwa mimi...

    Jamaa yangu zamani alikuwa vizuri tu kichwani. Mnakaa mnaongea mambo ya akili. Nimekuja mkoani kaniomba nisifikie lodge nifikie kwake. Nikasema huyu mwana toka kitambo ngoja nifikie tu kwake. Maana ananisaidia pia huko hotel nisilale na vicheche. Tumekula tumemaliza. Mlo wenyewe tunaanza kula...
  19. Ferruccio Lamborghini

    JamiiForums Tanzania Mjue 'mfalme' Zumaridi kiundani zaidi

    Kwa miaka kadhaa sasa, ‘Mfalme Zumaridi’ ambaye jina lake halisi ni Diana Bundala, ni miongoni mwa wahubiri wa dini wanaovuma ndani na nje ya Jiji la Mwanza. ‘Mfalme Zumaridi’ (39) ambaye pia hujiita mungu wa duniani amesikika akitoa huduma ya maombezi, mahubiri na hata tiba kwa magonjwa kadhaa...
  20. Nyuki Mdogo

    JamiiForums Tanzania Siwezi kupanga chumba mimi sio mwanamke😬😬

    Mwanaume kwanza unalalaje ndani😜😜
Back
Top Bottom