mimi

  1. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Ni aibu gani uliipata kwenye Interview yako ya Kwanza? Mimi yangu hii

    AIBU NILIYOIPATA KWENYE INTERVIEW YANGU YA KWANZA. Anaandika Robert Heriel. Simulizi hii ni ya kweli, nimekumbuka tukio hili nikabaki nacheka Sana, naomba nishiriki pamoja nanyi huenda kuna atakayepata somo. Baada ya kumaliza elimu ya Chuo kikuu nikaamua kuwa fundi cherehani, nikiwa nashona...
  2. Izrael k Adam

    JamiiForums Tanzania Mwanamke asiye jirekebisha utaishi naye vipi?

    Hivi ukimvumilia mpenzi wako madhaifu yke lakini akawa harekebishiki ukiongea ukimuelekeza anakubali kutii hawezi mkigombana anakuja juu na anakiburi anakuwa naroho yakutaka kukucontroll. Utafanyaje wadau na unakuta unampenda sana kumuacha inaumiza ukifikiria kufanya hivyo pia naombeni...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Kwa Yanga hii ubingwa wa mwaka huu wanauchukua

    Hongereni sana Timu ya Wananchi(Dar Young Africans). Mchezo mliouonyesha imeonyesha kuwa Timu ya Simba bado sana na inabidi wajipange kisawasawa. Usajili wa mwaka huu kweli kama mashabiki tumeridhika sana. Ubingwa mwaka huu ni wetu kinachotakiwa ni kuongeza juhudi. HONGERENI SANA.
  4. gubegubekubwa

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akiipanua tu hii barabara, nitaanza rasmi kumpigia debe

    Wakuu barabara ya kutoka Kibaha maili moja hadi Morogoro ni kelo Sana, maroli ni mengi sana hii barabara imezidiwa Sana. Unaweza ukatoka mkoani huko vzr tu unakuja kupoteza muda kipande hicho. Mimi mheshimiwa Rais Samia akiipanua tu hii barabara kuwa njia sita kuanzia alipoishia Magufuli...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mimi naona haiko sawa, wewe je?

    Wachezaji wa yanga wakiwa wamepanda bodaboda baada ya kuwasili jijini DSM wakitokea Zanzibar
  6. Stroke

    JamiiForums Tanzania Sio Lazima Mzazi wangu awe Kada, Mimi kuwa mwana CCM kindakindaki

    Kama kijana nimekuwa nikipata maswali mengi sana toka kwa vijana wenzangu pale ninapojaribu kuonesha husia zangu au pale ninapotoa hoja zangu zinazoonesha kuiunga mkono iwe hapa ama mahali kwingine kokote. Maswali hayo yamekuwa wakati mwingine yakiuliza chanzo changu cha hamasa ya Chama...
  7. MR.NOMA

    JamiiForums Tanzania Hongera sana Nape, Mimi ni Miongoni mwa tulioumizwa sana kutolewa kwako bila sababu

    Hongera Sana Mkuu, Umerudi kwenye Jungu Kuu, Wahuni walifanya sikukuu, Pale ulipokamuliwa jipu na Mkuu, Waoneshe kazi unaiweza, Wala usihangaike nao. Ulikuwa ukitimizaajukumu Yako, Tena Kwa kutumia weledi wako, Ukakumbana na likambako, Ambalo baba alilipaka upako, Waoneshe kazi unaiweza, Wala...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Nimeshaelimisha jamii sana hapa JF ngoja Leo nijisifu,ofcoz ukiweza kuwa neutral kama Mimi jisifu

    Naitwa mwana wa Kamugisha, mzaliwa wa Bugandika nakukulia mtaa wa Pepsi Bukoba Town. Nikawa Mwalimu weee but no mafanikio. Nikaenda chuo kikuu kuongeza maarifa( SI unajua mhaya asifiwi wingi wa Mali anasifiwa Kwa ukubwa wa CV) nakufanikiwa kupata lower second in short sikuwahi kuwa na akili sana...
  9. IKUNGURU IJIRU CHUKU

    JamiiForums Tanzania Tukumbushane maneno haya kuhusu maisha

    Tunakumbushana tu wala sina jipya sana! __________________________________________________________ Moja Wema na ubaya vyote ni mbegu na vyote ukivipanda vinaota na mvunaji ni wewe uliyevipanda! Tunakumbushana kwamba ukipanda bangi huwezi kuvuna mahindi! Mbili Unaweza kuishi miaka mingi...
  10. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Mimi ndiye niliyefanya soda iuzwe shilingi 500 badala ya shilingi 600

    Mwaka 2013 Agosti nilipewa kazi ya MBR (Marketing Representative Body) mkoa wa Lindi. Kipindi hicho soda ya chupa ilikuwa ikiuzwa sh. 600 kwa kampuni zote za COCA-COLA na SBC/ Pepsi almaarufu. Kipindi hicho kampuni ya coca-cola ilikuwa na mauzo makubwa zaidi ya Pepsi nikapendekeza mapendekezo...
  11. W

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima: Spika Ndugai ni boss wangu lakini namshangaa sana, ajiuzulu haraka sana

    Mbunge wa Jimbo la Kawe, Askofu Josephat Gwajima amemshauri Spika wa Bunge, Job Ndugai ajiuzulu kutokana na mpasuko ambao amesema anauona Gwajima amesema anaona Ndugai anataka kuchonganisha wananchi na serikali kwa kauli yake ya kusema '2025 mkimuweka mwingine sawa' Aidha amesema suala la...
  12. lee Vladimir cleef

    JamiiForums Tanzania CCM wote ni walewale, lakini kwangu mimi Naona afadhali kuongozana na Rais Samia kuliko aliyepita

    Nchi sasa imepumua, hakuna kupotezwa, hakuna kutekwa, hakuna kutukanwa,hakuna kufokewa hakuna uongo, hakuna vitisho, hakuna kubaguliwa hakuna kunyanyaswa kwenye nchi yeti wenyewe. Kama ukiniuliza kati ya wawili hao mimi ni bora samia.Yule jamaa hakua mtu. Hofu inapungua taratibu kwa sababu...
  13. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwangu Mimi Manyerere Jackton aliyepata 'Masters' yake SAUT juzi ndiyo Msomi na siyo wale 'Wasanii' Wawili waliopata 'PhD's' zao za UDOM hivi karibuni

    Awali ya yote nianze kwa Kukupongeza sana na kwa Furaha mno 'Poti' wangu wa Kizanaki kutoka Mkoani Mara na Mkurugenzi Mwenza wa Gazeti la JAMHURI Kaka Manyerere Jackton kwa kupata Masters Degree yako ya Mass Communication kutoka Chuo Kikuu changu 'pendwa' Tanzania nzima cha SAUT Mwanza. Kwa...
  14. The king mswati

    JamiiForums Tanzania Hivi ni mimi tu binafsi siipendi hii tabia wakati wa kunyanduana au tuko wengi

    Wanajamvi habarini za asubuhi. Binafsi kuna tabia moja huwe siipendi wakati wa kunyanduana, sijui ni mimi tu ndo mhanga wa hiki kitendo au tuko wengi. Tabia yenyewe ni hii "sipendagi wakati wa kunyanduana baada ya kupizi eti mimi ndo nijifute na kumfuta yeye genye zilizomwagika badala ya...
  15. A

    JamiiForums Tanzania Hatimaye na Mimi yamenikuta

    Nawasalimu wote. Nyie wanandoa aisee hebu heshimuni ndoa zenu. Nimeoa miaka 5 Sasa juzi nimegundua wife anachepuka na Jamaa. Tena kirahisi rahisi tu. Huyu mwanamke nilikuwa Nampenda aisee, Ila kaniona Fala. Kinachoniuma zaidi sijawahi kuchepuka pamoja na vishawishi vyote navyokutana navyo Ila...
  16. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Kwangu mimi hiyo ndiyo hotuba ya maana kuliko zote zilizopata kuhutubiwa na Hayati mzee Nyerere

    Mzee Nyerere alijaaliwa hekima na busara za pekee mno na mwenyezi Mungu. Ukiisikiliza hotuba hiyo hapo juu kwa mfano ni wazi unaona u Walimu wake kwenye muktadha wa kuonya,kuelekeza na kutabiri yawayo huko mbele ya safari. Mengi kama si yote aliyopata kutuasa mzee wetu yule yalitimia ama...
  17. Kijogoodi

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai ahoji shughuli za Serikali kurudi Dar, ataka kujua ni nani anayedhibiti matumizi ya Serikali kwa sasa

    Spika wa bunge mh Job Ndugai leo wakati wa kuahirisha shughuli za Bunge, amewahoji mawaziri ni kwa nini kwa sasa wameamua kufanyia makongamano, warsha na semina nyingi Dar es Salaam na kuacha kufanyia Dodoma ambayo ni makao makuu ya nchi. Ndugai ametaka kujua ni nani anayecontrol expanditure za...
  18. Mbomozo

    JamiiForums Tanzania Urafiki na Ushemeji wa hivi Mimi siwezi na nimeujivua SITAKI LAWAMA

    Salaam ndg zangu rehma za mwenyezi mungu ziwe nanyi... Kufupisha maneno mwaka 2017 kuna rafiki wa mke wangu automatically ni shemeji yangu tulikuwa tunapanga nyumba moja nitamuita XY. Sasa familia yake especially mumewe alikosa kazi halikuwa yy mjamzito, akaja home analia kuhusu Huduma zake za...
  19. Kelela

    JamiiForums Tanzania Mwaka Unaisha, Mimi nimejitathmini hivi

    Kujitathmini umefanya nini ndani ya mwaka husika na miaka iliyopita kutakusaidia kujua hali ya maendeleo yako. Mimi mwaka huu nilijiona kama sijafanya chochote vile , Lakini nikasema ngoja kwanza. Nikafungua Microsoft Word Document Nikaanza kuangalia Pesa niliyoiweka kwenye Investments...
Back
Top Bottom