Japo Mimi ni Simba SC lia lia, ila kwanini nimesikitika Yanga SC juzi kutoka Sare ma Ruvu Shooting FC Kigoma?

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
8,011
16,748
Majibu yangu......

Endapo Simba SC itamfunga Ruvu Shooting FC Siku ya Jumapili tofauti ya Alama ( gap ) na Yanga SC itakuwa ni Alama ( Points ) Kumi ( 10 )

Endapo katika hizi Tano kati ya Saba Yanga SC ilizozibakisha atakazocheza na Prisons, Mbeya City, Coastal Union, Mtibwa Sugar na Biashara United atatoka Sare zote Tano ( 5 ) na Siimba SC akashinda zake zote Tano ( 5 ) basi tofauti ya Alama na Yanga SC itakuwa ni Sifuri ( 0 ) ila Yanga SC ataendelea Kuongoza kwa kuwa na Magoli mengi ya Kufunga na hata Kufungwa.

Yanga SC acheni Dharau na Kubweteka kwani japo MINOCYCLINE nilishasema nyie ni Mabingwa wapya wa NBC Premier League lakini endapo Simba SC wakiamua kufanya Umafia ( Football Fitina ) na Vilabu vitakavyocheza na Yanga SC navyo Kuamua 'Kukaza' ili Wasishuke daraja upo Uwexekano mkubwa wa Ndoto za Yanga SC Kuutaka Ubingwa Kukosekana na Wakauwana kama siyo Kuchapana Bakora.
 
Yanga huu msimu wetu wacheni tudeke
Sawasawa. Tumewapa mwaka mmoja wa furaha. Mwakani mrudi tena kwenye hali yenu mlioizoea.
IMG-20211020-WA0006.jpg
 
Inaonekana wewe ni mchanga kwenye soka la Bongo. Simba aliweza kutwaa ubingwa mfululizo kwakua Yanga hawakuja vizuri kwenye maswala ya Fedha.
Yanga ikiwa stable kwenye fedha haiwezi kukosa ubingwa maana kwenye fitina za mpira Yanga wako vizuri kuliko timu yoyote Nchini. Ata kama Simba watakua na fedha hawezi kuchujua ubingwa Kwa Yanga yenye fedha.
Kama Hali ya Yanga kifedha ikiendelea kuimarika, Simba wasahau ubingwa wa nchi hii. Ili mlazimu Makonda amuondoe Manji ki katili Ili Simba wawe Mabingwa ila kwasasa Simba watalia Kwa miaka mingi ijayo labda GSM atimuliwe pale Yanga.
 
Hizi fitina zinaishia humu ndani tu. Haziwezi hamishiwa mashindano ya nje? Na zikatumika kuisaidia timu ya taifa?
 
Wewe jamaa kilaza sana. Eti makonda alimuondoa manji. Simba kwa sasa haiwazi yanga anawaza kimataifa tuu
 
Hizi fitina zinaishia humu ndani tu. Haziwezi hamishiwa mashindano ya nje? Na zikatumika kuisaidia timu ya taifa?
Mpira ni uwekezaji na Muda, Yanga imeanza uwekezaji inahitaji kuwa na nguvu ya uhakika ya kifedha kutoka katika vyanzo vya uhakika. Yanga wakifanikiwa katika mapato yake na usimamizi mzuri itaweza kupata wachezaji wenye ushindani wa uhakika.
Ukishapata wachezaji wazuri, fitina ni nyongeza tu ukishakua na timu imara utashinda Mataji.
 
Simba ina mechi nyingi za ugenini kuliko Yanga! Na kwa bahati mbaya simba huwa bora sana kwenye dimba la Mkapa! Nje ya hapo, hupata matokeo kwa shida sana.

Na Yanga haiwezi kutoa sare mechi 5 mfululizo! Hivyo siyo vibaya kujipa matumaini! Ila kiukweli Bingwa wa Ligi Kuu msimu huu atabakia kuwa Yanga.
 
Inaonekana wewe ni mchanga kwenye soka la Bongo. Simba aliweza kutwaa ubingwa mfululizo kwakua Yanga hawakuja vizuri kwenye maswala ya Fedha.
Yanga ikiwa stable kwenye fedha haiwezi kukosa ubingwa maana kwenye fitina za mpira Yanga wako vizuri kuliko timu yoyote Nchini. Ata kama Simba watakua na fedha hawezi kuchujua ubingwa Kwa Yanga yenye fedha.
Kama Hali ya Yanga kifedha ikiendelea kuimarika, Simba wasahau ubingwa wa nchi hii. Ili mlazimu Makonda amuondoe Manji ki katili Ili Simba wawe Mabingwa ila kwasasa Simba watalia Kwa miaka mingi ijayo labda GSM atimuliwe pale Yanga.

We Jamaa umeongea ukweli.
Uwezo wa kifedha wa Yanga ndio ulionunua huu ubingwa wa masimu huu. Gsm walishasema kuwa Yanga isipokuwa Bingwa waulizwe wao.

Walianza mkakati wa kuwa mdhamini mwenza wa ligi na kumwaga fedha pale TFF na kulipa posho za waamuzi wote.

Matunda tumeshayaona waamuzi wakiibeba timu inayowalipa posho na kusababisha ligi ionekane dhaifu kumbe kuna watu wana jambo lao.
 
Mpira ni uwekezaji na Muda, Yanga imeanza uwekezaji inahitaji kuwa na nguvu ya uhakika ya kifedha kutoka katika vyanzo vya uhakika. Yanga wakifanikiwa katika mapato yake na usimamizi mzuri itaweza kupata wachezaji wenye ushindani wa uhakika.
Ukishapata wachezaji wazuri, fitina ni nyongeza tu ukishakua na timu imara utashinda Mataji.
Kwa timu za Tanzania ni ngumu kua na kikosi kwakua wananunuliwa wachezaji ambao wanakaa miaka miwili au mwaka halafu wanaletwa wapya. Kila misimu miwili timu ina kazi ya kuzoeana.
 
We Jamaa umeongea ukweli.
Uwezo wa kifedha wa Yanga ndio ulionunua huu ubingwa wa masimu huu. Gsm walishasema kuwa Yanga isipokuwa Bingwa waulizwe wao.

Walianza mkakati wa kuwa mdhamini mwenza wa ligi na kumwaga fedha pale TFF na kulipa posho za waamuzi wote.

Matunda tumeshayaona waamuzi wakiibeba timu inayowalipa posho na kusababisha ligi ionekane dhaifu kumbe kuna watu wana jambo lao.
Yanga walisha chukua ubingwa kabla ligi haija anza, Walivyo weza kuishinda Simba katika vita ya usajili wa Djuma Shabani, Khalid Aucho, Bangala ao wachezaji Simba Ili shindwa kwenye dau la wachezaji ilipo ongeza Mayele, Diara na Sure Boy mchezo umekwisha.
Kwasasa Yanga ikiongeza namba 4,7,10, 11wa viwango basi Wata cheza nusu fainali ya Mabingwa Afrika bila shida yoyote.
Ukishakua na timu nzuri, fitna ni kidogo tu unachukua ubingwa.
 
Ni kweli. Ukiwa na wachezaji wazuri unabebeka kirahisi.

Shida ipo kwenye michezo ya CAF bado timu zetu hazina ubavu. Natamani sana kuziona timu zetu walau mbili zikiingia robo fainali ya CAF kama zile za Libya lilivyofanya msimu huu.
 
Mbona Sudani waliweza ila migogoro ya kisiasa ndio imewaangusha hivi karibuni.
Kikubwa wachezaji wazuri tu, Msimu huu Simba wamehonga na kuroga sana hasa pale Kwa Mkapa, Shida Yao ilikua timu.

Timu Yao inamapungufu sana ata uroge na uhonge isingekwenda mbele zaidi kwakua kadri mashindano yanavyo kwenda inatakiwa quality iamue na si chupri pekeyake.
Ahly wanafanya sana Chupri lakini timu Yao iko vizuri na ndio maana Wana fanikiwa.
 
Simba wachezaji wanao ila wengi wao msimu huu wameshuka viwango kutokana na umri mkubwa, maana kikosi chao cha msimu uliopita aliondoka Chikwende, Luis na Chama tu.

Viongozi wa Simba walianza kujenga ukaribu na viongozi wa CAF na Al-Ahly wakajifunza jinsi ya kufanya chupli- chupli, ndio maana njia zote walizijua. (Husikii wachezaji wao wakibambikiwa zengwe kuwa wana Covid, wala hawapigi kelele za uonevu wakiwa ugenini)

Ubora wa timu pekee hausaidii maana tumeona jinsi Mamelod inavyoishia robo fainali kila msimu huku wakiwa bora sana uwanjani. Ni kweli Kuna kitu cha ziada kinfanyika huku nje ya uwanja.
 
Yanga walisha chukua ubingwa kabla ligi haija anza, Walivyo weza kuishinda Simba katika vita ya usajili wa Djuma Shabani, Khalid Aucho, Bangala ao wachezaji Simba Ili shindwa kwenye dau la wachezaji ilipo ongeza Mayele, Diara na Sure Boy mchezo umekwisha.
Kwasasa Yanga ikiongeza namba 4,7,10, 11wa viwango basi Wata cheza nusu fainali ya Mabingwa Afrika bila shida yoyote.
Ukishakua na timu nzuri, fitna ni kidogo tu unachukua ubingwa.
Yanga hata isajili akina Ronaldo , Mess na mastaa wengine wa dunia haiwezi kuvuka hatua ya makundi. Ilishalaaniwa hiyo sababu ya midomo michafu na usaliti wa nchi wa Mashabiki wake. Amini nakwambia dada redio.
 
Inategemea na umri ulio nao au uchanga katika soka la bongo maana Yanga amecheza robo fainali ya mashindano mbalimbali ya Caf zaidi ya maratano.
1969, 1970, 1998 robo fainal Caf champion league, 1995 robo kombe la washindi Tena wakiwa na kikosi Cha wengi wa vijana waliotoka Yanga B, 2016 robo final ya confederation Caf.
 
Back
Top Bottom