mimi

  1. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Msaada: Ndugu yangu (22) kaanza ubabe kwangu (31), kisa karefuka na anabeba vyuma

    copy paste fb 😂😂 JE NICHUKUE UAMUZI UPI KAMA MTU MZIMA. Ni mtoto wa ndugu yangu, mara ya mwisho kuonana nae ilikuwa kama miaka 7 iliyopita, kipindi hicho tulitokea kuwa na mazoea sana, kahamia mkoani kwangu huku kiukweli dogo kapanda hewani yupo kama futi 6 .3,,,mimi nipo 5.9 Sasa kahamia...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Hatimaye nimekuwa baba. Ni raha iliyoje na mimi kuwa baba wa mtu

    Mwezi December 2021 nilileta hii mada hapa kwamba natarajia kua baba, na kweli ndani ya mwezi January 2022 nikapata nafasi ya kua baba Kweli. https://www.jamiiforums.com/threads/baba-mtarajiwa-nini-natakiwa-kufanya.1943235/page-3 Girl friend wangu alijifungua salama Salmin mtoto imara wa kiume...
  3. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Diana Bundala aka Mfalme Zumaridi, afikishwa Mahakamani akikabiliwa na kesi tatu ikiwemo usafirishaji haramu wa binadamu

    Mchungaji Diana Bundala maarufu 'Mfalme Zumaridi' na wenzake 92 wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Mwanza na kwa ajili ya kusomewa mashtaka yanayokabili. Msafara wa magari matatu aina ya difenda zilizolindwa na askari waliojihami kwa silaha umewasili katika mahakama hiyo saa...
  4. Faana

    JamiiForums Tanzania Nani alikwenda kumuuliza Mzee Ally H. Mwinyi "Mzee na mimi?"

    Inatajwa kuwa miaka ya 1980s kuelekea 90s Mzee Mwinyi akiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania alivunja Baraza lake la mawaziri. Nini kilimfanya alivunje baraza hilo Inasemekana kuna waziri mmoja alimfuata Mzee Mwinyi in person kumuuliza kama na yeye (huyo waziri) anahusika (inasemekana...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Msinililie mimi bali jililieni ninyi nafsi zenu na watoto wenu

    Leo nakuja na aina nyingine ya mawazo kwa dhamira njema ya nchi yangu na taifa, hii siyo kwa ajili ya maslahi ya mtu mmoja mmoja ila kwa maslahi ya nchi Hivi toka uhuru hakujawahi kutokea mjumbe, balozi wa nyumba kumi, mwenyekiti wa mtaa au mjumbe wa kamati ya ya ulinzi na usalama wa mtaa...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Sijui ni mimi tu au kuna wengine pia?

    Jamani mimi hata mwanamke awe mzuri namna gani, kama anachonga/ananyoa/anapunguza nyusi lazima anishinde. Sipendi kuona nyusi za mwanamke zimechongwa. Yaani niko tayari kumvumilia mwanamke mchafu, mvaa mawigi, muweka mikope ili mradi tu hachongi nyusi. Siku hizi najitahidi sana ninapozungumza...
  7. Surya

    JamiiForums Tanzania Mimi Mwanaume na hekima zangu zote, mwenzenu nalizwa na mapenzi

    Mapenzi yamenitoa machozi, Nimempenda huyu dada kiasi kwamba nikijishahuri kumuacha roho inaniuma, inauma sana. Nikimuona na wanaume wengine naumia sana. Hasa pale atakapokua akiongea na wengine anakua na furaha, wakati akija kwangu anakuwa mkimya na mnyonge. Yani natamani nimfurahishe kwa...
  8. Kichwamoto

    JamiiForums Tanzania Nimeomba “threesome” na Wanawake wawili kiutani wamekubali, nipo njia panda

    Wanajukwaa am puzzled! Nimeduwaa! Nimekuwa naenda kiwanja fulani basically nina asili ya upole, utu, busara, hekima, mapungufu hasira na pia ni typical introvert (reserved), kawanda sana sipendi show off kbsa na I put on low profile always always, sio mgomvi na sipendi ugomvi, nina weakness...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Tundu Lissu ni mdogo wangu tu, mimi ni Rais na ni dada yake

    Binafsi na kwa Umri wangu huu sijawahi kuona Rais mnyenyekevu na mpole kama huyu (She is so simple ever). Kwa unyenyekevu mkubwa nawaomba na kuwasihi watanzania wote wanaopenda amani, utulivu na ustawi wa mtu mmoja mmoja tumuungeni mkono Rais wetu kwani ni hakika anatupenda sana kama Taifa...
  10. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Mimi na wenzangu tumefurahishwa na kiwango cha Peter Banda

    Huyu dogo ana kipaji nina hakika hapa Simba Sc anapita tu kama njia. Ukimtazama kwa jicho la karibu utaona mpira mkubwa anaocheza. Mechi ya Asec aliupiga mpira mkubwa sana pamoja na kukosa magori kadhaa. Jana nilimfuatilia kwa karibu sana nimebaini ana madini mguuni. Huyu akipata striker...
  11. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Alichofanyiwa Shaffih Dauda ni udikteta, nimeambatanisha post ya Shaffih iliyowatibua madikteta

    Binafsi ni shabiki wa Yanga na linapokuja imapokujaga ishu ya kumtathmini Shaffih huwa hauhitaji degree kujua kwamba ni shabiki wa Simba na mapenzi yake ya simba yanaleta mgongano wa maslahi katika kazi yake ya uchambuzi, mzani wake katika uchambuzi unapoegemea upande flani hapo ndipo anapotoka...
  12. Ikaria

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Dkt. William Ruto: Sitaki miaka 10 ya Urais, nipeni mitano. Kazi yangu ikiwavutia niongezeni mitano tena

    Naibu wa Rais #Kenya Dr. William Ruto amezua hisia mseto miongoni mwa wananchi baada ya kusema hatamani kudumu kwenye urais kwa kipindi cha miaka 10. Hayo aliyasema wakati akinadi sera zake za 'Hustler Nation' yaani taifa la wapambanaji katika kaunti ya Nyeri. "Sina haja na miaka 10 ya urais...
  13. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Huu muujiza wa maombi na mimi umenishtua

    Asubuhi ya jana nikiwa nasikiliza redio kipindi cha dini. Kwenye kipindi kulikuwa na mchungaji anaombea wenye shida na wengine wakawa wanatoa ushuhuda. Jamaa mmoja akapiga simu kueleza shida yake kwamba kuna hela zimepotea kiutatanishi hapo kwake. Kabla hajamaliza mchungaji akadakia na kuanza...
  14. Kasie

    JamiiForums Tanzania Mimi na wewe milele...

    Njiwa🐦 peleka salamuu kwa yule wangu muhibu 🥰 Umueleze, afahamu... yeah ndio wangu wa kuzikana...😇. Hali yangu hamuhamu, Mahaba yamenisibuu.. Mchana kutwa nachekaa (tabasamu), na yeye ndio sababu. Na jioni ikifika, kumbato lake nahitaji.. 🤗 Pendo langu kwake halichuji, ndilo laniongezea Mahaba...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Ni lipi kosa la Lutenant Denis Urio? Au Mimi kuna sehemu nimepitwa?

    Lutenant Denis Urio kwa Sasa anateseka na pande mbili, upande wa Kwanza ni upande watetezi wa Mbowe na washitakiwa wenzake. Pia upande wa pili ambao unamtesa Leutenant Denis Urio ni upande wa wanaomshitaki Mbowe na wenzake. Nitaanza na upande wa pili Hawa iko hivi, kwa mtazamo wa nje Urio...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Anayejua sehemu yoyote penye ujenzi wa barabara kwa sasa anistue. Mimi sijaona tangu awamu ya 6 iingie madarakani

    Wakuu naona kama tumepigwa. Sijui pesa za serikali na mikopo zinaenda wapi. Mimi kama mtanzania wa kawaida najaribu kutupia jicho huku na kule kuona kama kuna chochote cha maana kinaendela hasa miundo mbinu ya barabara na ambayo ina faida kwa wanyonge. Sisi hatupandi ndege kama wao. Barabara...
  17. Unique Flower

    JamiiForums Tanzania Mimi natafuta mchumba nipo serious

    Kweli na tafuta mchumba serious nimekuwa mtu mzima nahitaji familia Vigezo serious awe handsome wa kiasi . Awe 32 -40 Awe hajawahi kupata mtoto kokote. Awe anafanya kazi kaajiriwa . Elimu Anizidi mimi na Diploma . Awe mweupe au maji yakunde awe mrefu wastani. Asiwe mzubavu awe anachangamkia...
  18. love life live life

    JamiiForums Tanzania Kama Bagonza ameona mema ya Magufuli mimi ni nani!?

    Kwa mara ya kwanza Bagonza kwa kinywa chake anataja upande wa pili wa Magufuli wazi wazi. Kama huyu mwamba(Magu) alikosea naamini ni katika mapungufu yakibanadamu kama mtu mwingine yeyote.
  19. M

    JamiiForums Tanzania Kama Mbowe anaweza kuonewa. Je, mimi na Wewe tuko Salama?

    Mbowe ni kiongozi wa kitaifa, tena mtu mashuhuru ambaye anatetewa na wanasheria mahiri, na dhahiri kabisa kwamba kesi yake haina mbele wala nyuma. Tujiulize, mimi na wewe tusiokuwa na uwezo wa kifedha au tusiokuwa na majina. Kesi hizi za kubambika zimewaweka watu wangapi jela au kuvuruga Maisha...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Nimeona post za kumkumbuka Magufuli zimeongezeka sana mitandaoni. Je, sababu ndiyo hii ninayohisi mimi?

    Inavyoonekana katika siku za hivi karibuni kumekuwa na ongezeko kubwa sana la watu mbalimbali katika mitandao ya kijamii, wakipost picha za hayati Magufuli na kuambatanisha na jumbe za kumkumbuka na wakati mwingine emoji za majonzi au moyo kuchanika. Hii ikanifanya nijiulize, mbona viongozi...
Back
Top Bottom