Mimi bado sielewi kabisa huu uchezaji wa sinema

Mwanamayu

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2010
Posts
11,701
Reaction score
6,936
Kusema ukweli hili ni jipya sana kwangu kuona Rais anacheza sinema na raia wa nchi nyingine.

Nilitarajia kuona sinema imechezwa na Watanzania tu, na kuongozwa na Watanzania, na si vinginevyo. Hivi shida ni nini hasa, kama shida sio mimi?

Kwani tangu muambiwe ni double standard bado ulikuwa hujaamini? Bado ya Filauni
 
Kusema ukweli hili ni jipya sana kwangu kuona Rais anacheza sinema na raia wa nchi nyingine.

Nilitarajia kuona sinema imechezwa na Watanzania tu, na kuongozwa na Watanzania, na si vinginevyo. Hivi shida ni nini hasa, kama shida sio mimi?

IMG-20220511-WA0004.jpg
 
Rais anaamini kila kitu bora ni kutoka Nje haamini vya ndani usifikirie kumuona Idris mule au msanii mwingine.
 
Kwani hujui kuwa sisi ni halfcast sasa hapo nini hukielewi
 
Back
Top Bottom