Tupo katika harakati za kutegemea umeme unaozalishwa na maji na gesi bado tena tunapokea mikopo ya umeme wa jua hii ina maana gani?
Nimefikiria sana sawa ni vyema kuwa na kutumia nishati aina mbalimbali.
Lakini kwanini tusingejikita kukamilisha miradi ilioanzishwa (Bwawa la Nyerere na gesi)...
Naombeni msaada kwenye mchanganuo wa tozo ya 6% na 10% iliyokua inatozwa na bodi ya mikopo ambayo Mheshimiwa rais alizisamehe siku ya Mei Mosi. Nataka kujua utofaut wake upoje na zilkua zinatozwaje?
Naomba wenye uelewa wa mambo ya uchumi wa nchi wanipanue ufahamu kidogo kuhusu mambo ya mikopo.
Nimekua nikisikia kwamba serikali imekopa au itakopa mikopo yenye masharti nafuu, na mara nyingi hatuambiwi inapokua imekopa yenye masharti magumu.
Ndipo nikahitaji ufafanuzi toka kwa wataalam wetu...
Lazima kutambua wakati wote benki ya dunia ni benki tu kama zingine kipaumbele chake ni faida. Wenye hisa wakubwa ni marekani na nchi za ulaya. Kwa mfumo wa kibepari wafaidika namba moja na benki ya dunia ni mabepari wakubwa wa nchi hizo.
Kutokana na hivyo nchi changa sio rahisi kupata...
Wiki jana nimeingia benki moja Mikoa Fulani nikakuta watumishi wamejikusanya kwa majonzi. Baadhi yao niliwafahamu Na nilipowadodosa wakadai mikopo yao kukwamishwa na maafisa utumishi.
Walidai kupewa majibu hayo na maafisa wa benki. Kuwa maafisa utumishi wamegoma kuingiza makato kwenye mfumo...
Ni takribani mwezi sasa wafanyakazi walioomba mkopo benki hawapewi pesa kwa kile kinachodaiwa ni mfumo wa mawasiliano kati ya benki na mwajiri kuwa na hitilafu.
Hoja hapa ni je, huo mfumo pia umechezewa ili kumchonganisha mama na wafanyakazi?
Na kwanini mamlaka inayohusika na mfumo huo haitoi...
Jamani serikali fungueni basi mifumo ya mishahara ili Maafisa utumishi waweze kuingiza makato ya mikopo,sasa imekuwa kero zaidi ya wiki mbili sasa watu wanashindwa kupata mikopo Benki kwani tatizo nini?
Watu wanahitaji ada za watoto, kuna wagonjwa na mengineyo lakini mifumo haifanyi kazi wiki...
Nimependa mapendekezo ya Spika leo.
Anataka kuona sheria inayowapa mikopo wanafunzi wa TCU, VETA, NACTE.
Anataka 70% ya fedha za HESLB ziende ktk sayansi na teknolojia.
Ameyasema haya kwenye kilele cha mashindano ya sayansi, teknolojia na ubunifu.
Kila la kheri wabunge wetu. Tumieni hati ya...
Serikali itaondoa tozo ya asilimia sita ya kulinda thamani ya fedha katika urejeshaji wa mkopo kuanzia 1 Julai 2021, iliyokuwa inatozwa kwa wanufaika wa Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu, ikiwa ni agizo la Rais Samia Suluhu Hassan
Waziri wa Elimu Prof Joyce Ndalichakob ameeleza bungeni kuwa...
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Nimekua nikisikia kutoka kwa baadhi ya watu(wateja wa benki ya CRDB) kuwa wameomba Mikopo kutoka katika benki hiyo lakini kwa muda mrefu hawajapatiwa fedha/mkopo huo lakini wameshaanza kukatwa fedha kwa ajili ya mkopo huo
Hivi karibuni...
Mimi ni mnufaika wa Bodi ya mikopo ya Elimu ya juu (HESLB). Nilianza kulipa deni langu la shilingi milioni 6.5 mwaka wangu wa pili tu baada ya kuajiliwa.
Nililipa deni langu katika kipindi cha miaka nane. Nimeshtushwa na barua niliyoandikiwa ofisini kwamba nina deni HESLB.
Nimemaliza deni...
Ikumbukwe kwamba mtumishi ngazi ya cheti anaanza na TGTS B, akijiendeleza akapata shahada anatakiwa kubadilishiwa muundo na kufikia TGTS D ambayo ni mshahara ngazi ya degree.
Kwa wale waliojiendeleza wakati wa awamu ya tano (certificate na diploma) na wameshamaliza shahada zao na wakati wa...
Watumishi wa umma watamkumbuka sana Magufuli kwenye mikopo.
Kabla Magufuli hajachukua nchi mwaka 2015 riba za mikopo ya kawaida ya watumishi ilikua ni kuanzia 20% hadi 25% kwenye mabenk yetu. Ilikua ukokopa milioni 10 kwa miaka 5 utalipa milioni 20.
Baada ya Magufuli kuingia alizishawishi bank...
Mama Samia aangalie suala la kutoa mikopo kwa wanafunzi wa diploma maana elimu ya diploma ni taaluma ile tena taaluma nyingine za diploma zina tija kuliko hata za degree.
Aangalie mfano chuo cha maji wanafunzi wa diploma wanapewa mikopo kama kawaida.
Mbunge wa Viti Maalum, Juliana Shonza, amesema kumekuwa na kesi nyingi za Ubakaji na Ulawiti wa Watoto katika Jamii lakini Maafisa waliopewa kazi ya kutatua changamoto hizo hawafanyi majukumu yao
Amesema kumekuwa na kesi nyingi za matukio ya Unyanyasaji lakini nyingi zinaishia kwenye Jamii bila...
Wakuu salaam.
Nimeonelea nitumie ukurasa huu kutoa pendekezo ninaloona ni la manufaa sana kwa mustakabali wa taifa letu.
Imekuwa ni kawaida Kwa watumishi kuhangaika kutafuta mikopo kwenye mabenki Kwa riba kubwa sana na wakati mwingine watumishi wamekuwa wakipata mikopo inayowaumiza mitaani...
Leo Mrisho Gambo ametema cheche bungeni kwa kuitaka serikali iongeze nyongeza za mishahara ya watumishi na kutaka makato ya wanafunzi bodi ya mikopo yapunguzwe kutoka 15%
Amesema, sheria huwa hairudi nyuma sasa inakuwaje sheria iliyoweka 15% ianze kufanya kazi kwa watu waliokopa kabla ya sheria...
Fedha zilizotolewa na shirika la Fedha la Kimataifa, IMF, kwa minajili ya kupambana dhidi ya janga la Covid-19 zimezua sintofahamu nchini Kenya.
IMF iliidhinisha Aprili 2 msaada wa dola bilioni 2.34 kwa nchi ya Kenya. Kitita hicho kilitolewa kwa minjili ya kuwezesha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.