Habari za Jumapili wakuu!
Napenda tujuzane mahali pa kupata mikopo kwa njia ya simu.
Binafsi nimekuwa mnufaika mzuri wa mifumo hii ya ukopeshaji kwa njia ya simu.
Nimekuwa mteja wa makampuni haya kwa muda sasa na kiukweli yanasaidia sana hasa unapokuwa na emergency.
Miongoni mwa...
Dodoma 20, 2019
WAZIRI MPANGO: Baada ya Uchumi wa Tanzania 'kufanya vizuri' kumepelekea Kupungua kwa misaada na kumeathiri baadhi ya miradi ya maendeleo nchini
Serikali imesema kupungua kwa misaada ya maendeleo kumeathiri baadhi ya vyanzo vya ugharamiaji wa miradi ya maendeleo nchini na hivyo...
Hili swala la wanafunzi wa chuo kikuu cha Dar es salaam kucheleweshewa fedha zao za mikopo ni swala nyeti na mtambuka, busara inahitajika katika kuliendea jambo hili pasina kuleta sintafahamy yoyote kwa jamii. Cha kusikitisha hili swala baadhi ya viongozi wa upinzan wameshaona ndo agenda yao na...
Serikali ya Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam imetoa saa 72 kwa Bodi ya Mikopo (HESLB) kutekeleza maagizo 4 likiwamo kuwaingizia fedha wanafunzi ambao hawajapewa tangu chuo hicho kifunguliwe, yasema isipotekeleza watakusanyika nje za ofisi ya HESLB.
Taarifa iliyotolewa na Waziri wa...
MKURUGENZI MTENDAJI WA HESLB, ABDUL-RAZAQ BADRU, PICHA MTANDAO
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imesema ina fedha za kutosha na hadi jana imeshapokea Sh. bilioni 186 kutoka serikalini kwa ajili ya malipo ya miezi mitatu iliyoanzia Oktoba.
Kauli hiyo imekuja ikiwa ni siku...
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali imefanikiwa kukusanya mikopo iliyoiva yenye thamani ya shilingi bilioni 183.3 sawa na asilimia 116.2 ya lengo la kukusanya shilingi bilioni 157.7.
“Natambua kwamba baadhi ya wahitimu wamepata mkopo kutoka Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu, hivyo natumia...
Ukweli ni kuwa hii tasisi ni kero kubwa kwa wanafunzi kutokana na usumbufu wanaopata wanafunzi na wazazi. Wanafunzi walishajaza maombi lakini Bodi sasa imeanza kuleta masharti kama mganga wa kienyeji mara wanafunzi wanaambiwa walege nyaraka zile zile ambazo washaziwasilisha kwaajili ya mikopo...
Habari za leo wakuu?
As regard with the heading above, ninapenda kuulizia ni benki zipi zinaweza wasaidia wanafunzi wa vyuo vikuu, mikopo ya ada tu (tuition fees), ili kufanikisha upatikanaji wa elimu kwa mlengwa?
At any interest rate and which can be paid after completion of studies, maana...
Naibu Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia, William Ole Nasha
Serikali imesema kuwa wanafunzi waliopunjwa na wale waliokosa mikopo inayotolewa na Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB), wataipata kwa sababu kilichokwamisha ni mfumo.
Naibu Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia, William Ole...
Maoni BODI ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imetoa orodha ya awamu ya pili yenye jumla ya wanafunzi 11,378 wa mwaka wa kwanza waliopangiwa mikopo yenye thamani ya Sh bilioni 35 kwa mwaka wa masomo 2019/20.
Taarifa iliyotolewa na Mkurugenzi Mtendaji wa HESLB, Abdul-Razaq Badru jana...
Wakuu salamu, bodi ya mikopo tayari imetoa majina ya waliopata mkopo awamu ya pili leo ijumaa tarehe 25/10/2019, ili kuona jina lako kama umepata mkopo nenda kwenye akaunti yako uliyoitumia kuombea mkopo utapata majibu kama umepata mkopo awamu ya pili au hujapata.
Wadau,
Naitwa Fredrick Mboma. Ni Mjasiriamali.
Kuna sheria ndogo mpya inayoitwa Microfinance (Non-Deposit Taking Microfinance Service Providers) GOVERNMENT NOTICE NO. 679 Published On 13/9/2019 (nimeiambatanisha)
Ni miongoni mwa sheria mbovu kabisa ambazo zimetungwa kusimamia sekta husika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.