Serikali iangalie namna ya kutoa mikopo kwa wanafunzi wa Stashahada

Shinnok

JF-Expert Member
Sep 26, 2019
236
562
Mama Samia aangalie suala la kutoa mikopo kwa wanafunzi wa diploma maana elimu ya diploma ni taaluma ile tena taaluma nyingine za diploma zina tija kuliko hata za degree.

Aangalie mfano chuo cha maji wanafunzi wa diploma wanapewa mikopo kama kawaida.
 
Acha zako mkuu, mokopo wanapewa waliofauru kidato cha sita na mitihani ya diploma tu. Hao ndio wanaotakiwa kupewa mkopo. Diploma apewe kwa kazi ipi aliyofanya mkuu.
 
1)Diploma akipewa mkopo hakuna atakayesoma Advance

Hata mimi nisingesoma Adanvace

2)Watu watapewa mikopo kwa muda wa miaka 5 mpaka 7 akiunga Diploma na Degree...wewe unaweza kulipa hiyo pesa.
 
Mama Samia aangalie suala la kutoa mikopo kwa wanafunzi wa diploma maana elimu ya diploma ni taaluma ile tena taaluma nyingine za diploma zina tija kuliko hata za degree.

Aangalie mfano chuo cha maji wanafunzi wa diploma wanapewa mikopo kama kawaida.
Pale water institute ni chuo tu chenyewe ndo kinatoa hyo mikopo kwa wanafunzi wenye uhitaji na wala sio Bodi ya mikopo au serikali kuu ndo inatoa
 
Mama Samia aangalie suala la kutoa mikopo kwa wanafunzi wa diploma maana elimu ya diploma ni taaluma ile tena taaluma nyingine za diploma zina tija kuliko hata za degree.

Aangalie mfano chuo cha maji wanafunzi wa diploma wanapewa mikopo kama kawaida.
Wewe mikopo ya nini kwa diploma,wenye digree wenyewe wanashidwa kuirejesha hiyo ajira zimekua ngumu unataka watu wabebe mizigo zaidi ya madeni na yanavojidharisha yani riba
View attachment 1762903
Screenshot_20210424-213755.jpg
 
Back
Top Bottom