mikopo

  1. J

    JamiiForums Tanzania Kiwango cha makato ya mikopo ya elimu ya juu kinakiuka sheria ya marejesho

    Ripoti ya CAG ya Mwaka 2019/20 imejibu kilio cha wanufaika wengi wa Mikopo ya Elimu ya Juu kupitia (HESLB) Ripoti imebaini makato hayo ni makubwa sana na yanavunja Sheria ya Marejesho
  2. Chinga One

    JamiiForums Tanzania Nilitegemea Rais angeongea kitu kuhusu bodi ya Mikopo HESLB

    Kwa bahati mbaya sana Mama Samia hajagusia kitu kuhusu hawa mumiani, hope next time atanena lolote, sababu amekiri kuwa ni mdau wa mitandao na malalamiko yetu kwa bodi yamejaa sana huku 'sosho midia'
  3. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Kwani Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB) haiwezi kuwa na accounts za malengo kwa wanafunzi wa darasa la kwanza?

    Habari zenu waungwana wa humu jamiiforums Kwanini Bodi ya mikopo ya elimu ya juu (HESLB) isianzishe campaign ya kuhamasisha wazazi kuanza kuwalipia watoto wao pesa kidogokidogo katika accounts maalum ya bodi wangali wakiwa bado wanasoma elimu ya msingi (Darasa la Kwanza)? Jenga picha mtoto...
  4. TheDreamer Thebeliever

    JamiiForums Tanzania Nashauri serikali ifute mikopo ya halmashauri badala yake mikopo hiyo ielekezwe kwa wahitimu wa vyuo na walemavu

    Habari wanabodi..! Nilikuwa nashauri hii mikopo inayotolewa na halmashauri ifutiliwe mbali badala yake mikopo itolewe kwa wanavyuo wanaohitimu na waliohitimu pamoja na watu wenye ulemavu. Huu ni ukweli usiopindika mikopo ya halmashauri imekuwa haiinufaishi serikali wala kuwanufaisha wahusika...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Kanuni za Utoaji na Usimamizi wa Mikopo kwa Vikundi vya Watu Wenye Ulemavu

    KANUNI ZA UTOAJI NA USIMAMIZI WA MIKOPO KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU (MAREKEBISHO) ZA MWAKA 2021 Kufungu 6A (1) Mtu mwenye ulemavu atakuwa na sifa ya kupata mkopo kama kikundi cha watu wenye ulemavu endapo: (a) Kamati ya Kudumu ya Fedha, Mipango na Uongozi...
  6. F

    JamiiForums Tanzania Wataalam wa Benki na Mikopo naombeni msaada kwa hili

    Wale wataalamu wa kukopa na wenye ujuzi wa Bank na Mikopo, habari zenu? Hivi nikikopa Benki na kila baada ya muda natop up!! Nitakuwa nafaidika au Benki itaninyonya zaidi Mimi? Je, nikikopa mkopo wa miaka mitano na kusubiri hadi mkopo wote uishe ndiyo nikope nitakuwa na hasara? Natanguliza...
  7. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Madiwani Busega waeleza sababu vikundi kushindwa kurejesha mikopo

    Madiwani wa Halmashuari ya Wilaya ya Busega mkoani Simiyu, wameitaka Ofisi ya Maendeleo ya Jamii katika halmashauri hiyo kushirikisha vyombo vya ulinzi na usalama kuvichunguza vikundi vya vijana, walemavu na wanawake kabla havijapewa mikopo. Wamesema kuwa vikundi hivyo vichunguzwe kama vinafaa...
  8. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Mikopo ya elimu itolewe kwa wanafunzi wanaosomea fani za vitendo tu

    Kwa utafiti wangu wengi wasio na ajira ni wale waliosomea digrii za bla bla zisizo za vitendo mfano za sheria, Bussiness Administration, Uchummi, Uhasibu, Uandishi wa Habari nk. Serikali itoe mikopo kwa wanaosomea fani kama Engineering, Kilimo na Ufugaji, za Ujenzi na Uvuvi, Udaktari, Ufamasia...
  9. Dynno22

    JamiiForums Tanzania Pump za solar kwa ajili ya Kilimo cha Umwagiliaji (Bei ni nafuu na kwa mikopo bila riba)

    Mara nyingi wakulima wamekuwa wakitamani kununua au kumiliki vifaa vya kilimo lakini kutokana na bei kubwa na pia kutokuwa na sifa za kukopesheka katika taasisi za fedha basi wanashindwa kutekeleza matakwa yao. Simusolar tumeliangalia hili swala kwa undani na sasa tumeamua kuwawezesha wakulima...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa utaratibu wa mikopo ya wastaafu wa (PSSSF) Benki ya Posta

    Jamani utaratibu wa kupata mkopo Benki ya Posta ukoje kwa wastaafu wa PSSSF? Hasa kuhusu kukopa zaidi ya 40% ya pensheni ya wastaafu kwa sasa? Bado kukopa zaidi ya 40% ipo?
  11. Elius W Ndabila

    JamiiForums Tanzania Tuzungumze na bodi ya mikopo kuwanusuru Watanzania

    HELLOW BODI YA MIKOPO, HAMUWEZI KWENDA NA HII? Na Elius Ndabila 0768239284 Hivi karibuni kumekuwa na mjadala mzito juu ya hoja ya mnufaika wa Fedha ya bodi ya mkopo kutakiwa kuanza kuirejesha mara baada ya miezi 24 tangu kuhitimu. Hoja hii imezua mjadala mzito kutoka kwa wadau mbalimbali...
  12. Trubarg

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Mikopo (HESLB) na makato yao ni maumivu makubwa sana

    Let's assume mtu aliyesoma sayansi na kupata mkopo 100% ambao jumla ni kama milioni kumi (10,000,000) akakaa mtaani miaka saba, akapata ajira ya ualimu mshahara wa mtu laki tano. 🇹🇿Huyo atakua na penati ya 10% kwa miaka mitano = 10,000,000*10%*5=5,000,000 🇹🇿 Mwisho wa mwaka atapigwa value...
  13. BAK

    JamiiForums Tanzania Malisa na Mikopo ya Elimu ya Juu

    Wengi waliosoma nje ya nchi kwa kulipiwa na bodi ya mikopo (HESLB) wanadaiwa fedha nyingi kulinganisha na waliosoma nchini. Nimeona jamaa ana mshahara 900K but anadaiwa 47M. Kwa mwezi atakatwa 143K, kwa mwaka 1.7M. Under "ceteris paribus" mwamba atahitji miaka 28 kumaliza deni lake. Lakini...
  14. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania HESLB Mikopo kuunganishwa na NIDA, TIN, Passport na kadi za benki

    Abdul Razaq Badru Mkurugenzi wa Bodi amefafanua kwamba mnufaika ataanza kulipa baada ya miezi 24 [miaka 2 ] kama hana ajira. Baada ya hapo Deni linakuwa kwa 10% kila mwaka. Watu ambao hawajaajiriwa kwenye sekta rasmi wanapaswa kurejesha 100,000/= au ASILIMIA KUMI 10% ya pato analolipia kodi...
  15. scatter

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Mikopo (HESLB) tunaomba kujua kuna ubaya gani retation fee kwa wadaiwa ikasemehewa?

    Serikali yetu ni ya wanyonge na wanufaika wa hii mikopo ni watanzania masikini je hamuoni kuna ulazima wa kuisamehe au kurekebisha sheria ili kipengele cha retation fee kipunguzwe au kuondolewa kabisa kwa sababu kuna watu wengi wana nia ya kurejesha mikopo yao lakini wakisikia suala la deni...
  16. U

    JamiiForums Tanzania Kuhusu deni la bodi ya mikopo (HESLB)

    Walibadilisha sheria ya makato kutoka 8% mpaka 15%. Mabadiliko haya yakawahusu hadi wale ambao walikuwa wanakatwa 8% katika mshahara. Wadau walipiga kelele lakini bodi hawakujali. Sasa wameanza tena uhabaishaji wao kwa kuongeza makato (retention fee) kitu ambacho hakipo katika mikataba ambayo...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Wito: Wanasiasa wa upinzani, wanaharakati na wadau wengine, anzeni kampeni ya kupinga sheria hii ya Bodi ya Mikopo ndani na nje ya nchi

    Tukubali sheria ya Bodi ya Mikopo inayoruhusu makato ya asilimia 15 ya mshahara ghafi wa mtu aliepewa huu mkopo(Siwezi kumuita mnufaika wa huu mkopo maana ni kutiana umasikini) pamoja na tozo ya asilimia 6 kama retention fee, ni sheria katili, mbaya na haistahili kuwepo katika nchi ya watu...
  18. CORAL

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya mikopo ya HELSB

    Ndugu walimu wenzangu na wanufaika wote waliosomeshwa kwa fedha ya serikali yaani BODI YA MIKOPO YA ELIMU YA JUU (HESLB). Juzi Jumatatu tarehe 28.12.2020 niliomba LOAN STATEMENT ya deni langu kutoka Bodi ya mikopo ili niweze kuclear deni baki ambalo kwa mujibu wa SALARY SLIP yangu ya 31.12.2020...
  19. Voice of Tanzania

    JamiiForums Tanzania Mnaongoja matokeo ya Rufaa ya Bodi ya Mikopo

    Ndugu zangu mnangoja matokeo ya rufaa vipi uko akaunti zenu zinaujumbe UPI adi mda huu mana Siku imeisha hii sijaona mrejesho wowote kwa upande wa akaunti yangu.
  20. Stroke

    JamiiForums Tanzania Nimekutana na gari la matangazo ya mnada nimeogopa mikopo toka taasisi za fedha

    Leo asubuhi nikiwa nazurura zurura mtaani kama kawaida yangu. Nimekutana na gari la matangazo ya mnada wa hadhara likitangaza uwepo wa mnada kwa mali za watu walioshindwa kufanya marejesho ya fedha walizochukua toka taasisi za kifedha kama mikopo. Mali zinazouzwa ni majumba na magari. Jambo...
Back
Top Bottom