Wadau, kupitia gazeti la mwananchi la tarehe 20/12/20 Brg. Gen Mbungo, kamanda wa Takukuru Tanzania ameeleza kuwa, kuna taasisi nyingi zinaumiza wananchi kwa kutoza riba kubwa, ikiwemo kushikilia mali za watu kutokana na mikopo umiza.
Km unauelewa wa taasisi hizo au vikundi hivyo, basi vitaje...
2018 nilikuwa na ndoto kubwa, niliona matumaini na mafanikio ya kiuchumi.
Nilikopa nikawekeza, 2019 mambo yalibadirika biashara zikagoma kwa uzembe na nyingine ilikuwa lazima zife hasa za kilimo mvua ilisomba mazao.
Madeni yakaingia yakakuwa , nikakwama siwezi yalipa yote, wadai hawaelewi...
Nimeenda benki fulani kwa uhitaji wa mkopo wa 8.4m wakanimbia riba 18%.
Baada ya kupewa makato yakawa 195,820 kwa mwezi kwa miaka 6. Sasa nawauliza mbona kiuhalisia sio 18% kama wanavyotuambia kwenye matangazo yao? Wanajibu kwa mujibu wa calculator yao ipo sahihi, hapa ina maana mpaka...
Habari zenu wakuu.
Miezi miwili iliyopita nilileta lalamiko hapa kuhusu ongezeko la deni la zaidi ya 1.5m ambalo binafsi silifahamu kabisa na niligundua baada ya kuwa na uhitaji wa pesa ndefu ikanilazimu niende bank kufanya top -up hapo ndio kimbembe kilipoanza baada ya kunipa mchanganuo na...
wakuu salaam nyingi sana kwenu. Mimi naenda kwenye mada, mwaka jana niliacha chuo baada ya kukosa mkopo ikabidi nirudi home kujipanga upya na nikaaply mkopo mwaka huu huku nikiambatanisha death certificate ya marehemu mzee wangu. Mungu si athumani nilipata chuo kikuu cha private kwa course ya...
Akizungumza katika Mahojiano Maalum na JamiiForums, Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha UPDP, Twalib Kadege amesema iwapo Watanzania watampa ridhaa ya kuongoza, Serikali yake itahakikisha Watanzania wote wanakuwa na hali nzuri kimaisha.
Ataanzisha Wizara ya Mikopo...
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imefafanua kuhusu taarifa zinazosambaa mitandaoni kuhusiana na utaratibu wa kupata majibu ya maombi ya mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu katika mwaka wa masomo 2020/2021.
Taarifa iliyotolewa leo Jumatatu (Oktoba 19, 2020) na Mkurugenzi...
Huu ndio utabiri wangu kuwa,Lissu akishinda uraisi na kutangazwa mshindi kwa mbinde au vinginevyo, nchi wahisani na wadau wengine wa maendeleo wataongeza misaada na mikopo yao kwa nchi yetu na inaweza kuongezeka hata mara mbili.
Ni imani yangu wanatoa mikopo na misaada kwa sasa kwasababu tu...
Miradi mingi ya maendeleo ya Tanzania kwa miaka mingi inatokana na mikopo pamoja na ufadhili. Kinachopewa ufadhili au mkopo siyo chama Cha siasa bali ni nchi, kwa muktadha huo hakuna chama Cha siasa ambacho hakina uwezo wakuongoza nchi.
Katika kuongoza nchi kinachotakiwa nikuimarisha uaminifu...
Nimepitia masharti niliyosaini katika mkataba wa kuomba mpoto wa kufadhiri masomo yangu ya elimu ya juu,kati yangu na Bodi ya mikopo (HESLB) nimegundua sikuelewa na hata kama ningeelewa ningesaini tu, kwa sababu ya uhitaji niliokuwa nao.
Lakini kuna masharti magumu sana hasa ukizingatia hatujui...
Inasikitisha sana bodi iliyopewa dhamana kuwezesha kupata elimu inavyobadilika na kuwa sehemu ya kuwanyonya watoto wa msikini.
Ukiangalia statement ya marejesho unatakiwa kulipa administration fee, penalty na value retention fee.
Inashangaza sana hayo makato ukifikiria mtu kamaliza chuo...
Kuna Mjumbe wangu wa Nyumba Kumi Kumi muda si mrefu kaniambia kuwa niende Ofisi za Serikali ya Mitaa ili nikajiandikishe nisubirie Mkopo. Nilipoenda kweli nikapokelewa kwa 'Bashasha' zote na kuambiwa tuwe 'Njemba' Kumi ( 10 ) kisha twende na tutapewa Tsh 500,000/= ( Shilingi Laki Tano ) ambapo...
Habari wakuu,
Mimi kama mdau wa bank hii ya CRDB naomba nitoe dukuduku langu na kama yupo mfanyakazi au mtendaji wao tafadhari rekebisheni matatizo yenu, haiwezekani process ya mkopo ikachukua wiki tatu mpaka mwezi na Bado fedha/mkopo hamtoi, hivi hamjui mkopo ni kitu cha dharura?
Naombeni...
Miongoni mwa mambo ya kustaajabisha ya awamu ya tano ni sheria mpya zilizotungwa pamoja na marekebisho ya sheria za zamani waliyoyafanya.
Kuna muda ukikaa utafakari unashindwa hata kuelewa hawa watu wanafanya haya kwa lengo la kumkomoa nani? Kuna baadhi ya sheria ni za ajabu kwelikweli hadi wao...
Nikiri wazi sikuwa nimeisoma ilani ya Chadema hasa baada ya kuona mgombea wao hana mwelekeo mnzuri na kuisadia nchi hii. Leo baada ya kumsikia ndugu Polepole nilishtushwa na kipengere kinachohusu madini wakati anafanya mrejeo wa ilani ya Chadema. Baada ya kuitafuta hiyo ilani na kukisoma hicho...
Binafsi tumezoea kuona miaka yote bodi ya mikopo inafungua dirisha kwa Mara ya kwanza na wanafunzi wanatuma maombi then baada ya kufika deadline dirisha linafungwa.
Baada ya dirisha kufungwa, heslb wanaanza kuchekecha majina ya waombaji wa mikopo ndani ya siku kadhaa na mwsho wa siku kutoa...
Rating Action: Moody's downgrades Tanzania's rating to B2; outlook stable
21 Aug 2020
London, 21 August 2020 -- Moody's Investors Service ("Moody's") has today downgraded the foreign and local currency issuer ratings of the Government of Tanzania to B2 from B1 and changed the outlook to stable...
Kamanda Lissu; nakushauri,pamoja na mambo mengine, usisahau kuongelea mambo hayo matatu yanayogusa na kuumiza wananchi wengi wa nchi kama ulivyozungumzia suala la TRA na wafanyabiashara pamoja na swala la wafanyakazi kutoongezewa mishahara siku ya jana mkoani Morogoro.
Awamu hii ya tano...
Habari,
Naishauri serikali kupitia bodi ya mikopo HESLB ianze kutoa mikopo kwa wahitimu wa vyuo vya elimu ya juu.
mkopo uwe wa fedha taslimu milioni tano 5,000000/=. Mkopo huo utolewe katika vigezo na mazingira yafuatayo:
Kabla ya kuhitimu kila mhitimu atatakiwa kubuni wazo la mradi ambao...
Nadhani si haki bodi ya mikopo ya elimu ya juu kuwalipisha/kuwalazimisha wanafunzi kuomba mikopo kabla ya matokeo ya mitihani ya kidato cha sita.
Point yangu ni kuwa:
1. Kama mtu amefeli, hana sifa za kuomba, kwanini alipe hizo 30,000 Tsh
2. Mkopo una vigezo, mfano Programu.. huwezi kujua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.