Dunia imepita kwenye Mapinduzi mbalimbali ya viwanda karibia levels 4.
Ila Unajua Afrika has never succeeded neither of those industrial revolution levels.
Na ukichunguza na kusoma tafiti mbalimbali utagundua misaada na Mikopo ndio imetulemaza na kutuweka hapa tulipo leo.
Nadhani ufike wakati...
Rais Samia Suluhu Hassan amewaambia watanzania kwa sasa wahisani hawaleti misaada nchini, wanataka biashara ili kugawana faida
Amesema kwa sababu hiyo ni lazima tujinyang'anye wenyewe ili kufadhili miradi ya nchi hii
Ameyasema hayo alipokuwa Tegeta akisalimia wananchi akiwa katika safari ya...
1. Ninashauri bodi ya mikopo ya elimu ya juu isikie ushauri uliotolewa na Mheshimiwa waziri wa wizara ya mawasiliano juu ya matumizi ya TEHAMA.
Achaneni na mambo ya kuwaomba waombaji wa mikopo watume maombi ya mikopo kwa njia ya Posta ikhali bado waombaji wameshawatumia kwa njia ya...
MITAJI / MIKOPO
a) Wakopaji
Kuna wadau wengi katika Jamvi letu wanakuwa na uhitaji wa pesa kwa wakati Fulani lakini hawana pa kuzipata. Pia sababu watu hatujuani ni vigumu kuaminiana ila JF inaweza kutumika kama platform ya kuwaunganisha wahitaji (kwa kuwa-verify wakopaji) ili waweze...
Kuna kiini macho kikubwa sana ambacho waTanzania hatujakigundua katika utoaji wa mikopo kutoka Bodi ya Mikopo.
Anayepewa mkopo huo ni Mwanafunzi lakini tathmini ya uhitaji wa kumpatia mkopo Mwanafunzi huyo anafanyiwa mzazi wake. Hii ni sawa na kusema kuwa Mzazi ndiye alipaswa kuomba huo mkopo...
Jamani tuache unafiki wa kusema eti tutamkubuka Magufuli kutokona na tozo hizi za awamu ya sita kwani huu ni muendelezo tu wa sera za CCM kukamua wananchi bila huruma.
Wote ni mashahid wa makato katili ya Bodi ya Mikopo wakati wa utawala wa Magufuli ambapo makato yaliongezwa kutoka asilimia 8...
Mkuu wa Wilaya ya Bukoba mkoani Kagera, Moses Machali ametoa muda wa miezi mitatu na nusu kuanzia Agosti 17 hadi Desemba 02 mwaka huu, vikundi vyote vilivyokopeshwa fedha na Manispaa ya Bukoba na kushindwa kurejesha viwe viwemerejesha fedha hizo, na kwamba baada ya hapo utafanyika msako mk...
Katika utafiti nilioufanya kwa kutumia data za kuanzia 2010 hadi 2020( Monthly) nikitumia VECM model, zimeonesha deni la taifa linaiweka nchi katika hali ya kuingiza Economic Shocks kutoka nje ya nchi ambayo huathiri utekelezaji wa sera ya fedha. Aidha, Benki Kuu ya Tanzania(BoT) imeziandika...
Hii taasisi ipo kwenye mikoa mingi, lakini taratibu zenu hazijatua, yaani kila baada ya muda zinabadirika.
Ninyi mnafanya biashara kwa upande mmoja na kwa upande wa pili mnahudumia wananchi.
Hivyo ni vema kuondoa ukiritimba uliopo sasa, mteja akimali mkopo ni vema apewe mkopo mwingine kuliko...
Moja ya sifa za kupata mikopo hii kikundi kinapaswa kuwa na watu kwanzia 10 na kuendelea, na kwa wenye ulemavu wanaanzia watano na kuendelea.
Hoja yangu ni kwamba, kwa upande wa vijana hii sifa imeangalia kundi la vijana ambao hawana elimu kwa mapana kwasababu ni rahisi mno kwa vijana waliokaa...
ILI KUFIKIA MAENDELEO KITAIFA MASHARTI YA MIKOPO YAPUNGUZWE KATIKA TAASIS ZINAZO JIHUSISHA NA MIKOPO
Habari zenu ndugu na jamaa nikiwa kama kijana ninaye itakia mema nchi yangu napenda kutoa ushauri kwa taasis zinazo jihusisha na mikopo na serikali kwa ujumla. vijana wengi wanao toka katika...
Salam wakuu.
Mimi ni mnufaika wa bodi ya mikopo kutoka mwaka 2010 hadi 2013 June. Nilipewa jumla ya Mil 11 pamoja na penalty na mazaga zaga ikafika Mil 14.
Kufika 2015 nikaanza kulipa deni mdogo mdogo.
Salary Slip ya mwezi wa nne (watano na sita sijaweza zipata kwenye system) inasema nadaiwa...
Wanaoshindwa kupata control number bodi ya mikopo njooni niwasaidieni hapa.
Lakini na ninyi nisaidieni jinsi ya kutuma hiyo elfu 30 kwenda loan board kwa MPESA
Serikali kupitia bodi ya mikopo ya elimu ya juu hutoa mikopo (kwa riba) kila mwaka kwa vijana wanaofaulu ili kuwawezesha kupata elimu ya juu.
Binafsi naona jambo hili si sawa, kwani Elimu Ni moja kati ya haki za binadamu, hivyo haitakiwi kutolewa katika misingi ya matabaka yanayotengenezwa na...
Habari Zenu Ndugu Zangu.
Yes, THE FUSE TZ LTD, Ni Business Consultants Company ambao kwa Pamoja Tuna Deal Na
1. Business Registrations
2. Tra And All Tra Related Issues.
3. Loans Guidance And Assistance.
Hapo No. 3 ndo Msingi wa Hii Post. Kwa Wafanya Biashara Wenye Kuhitaji Kuanzia tsh...
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya juu (HESLB) imetoa mwongozo wa utoaji mikopo mwaka 2021/22 ambao inatakiwa kila mwombaji anatakiwa utumie tarehe 02-04/07/2021 kuusoma na kuelewa na kisha mfumo wa maombi utafunguliwa tarehe 05/07/2021.
karibu hapa nimekuwekea pakua usome lakini pia ukiwa...
ABOUT THE FOOTAGE below:-
In Uganda, people of Kasese almost killed health officials following their illicit move of burying an empty coffin which they claimed to be carrying the Covid-19 dead body.
This came after the long lived and widespread rumours in Uganda, that the government is...
Mabenki ya yetu hayako katika kusisimua uchumi kwa kukopesha mitaji Bali yapo katika kupata faida kubwa ndiyo maana wakopeshwaji wengi mikopo ni ndoano ya kufilisika au kusaidia mabenki kuwa na ukwasi wa kutosha kwa jinsi wanavyofanya sio haki na hakuna afya katika uchumi.
Unapomkopesha mteja...
“Hatujaweka kodi kwenye laini za simu kama ambavyo baadhi ya wananchi wamekuwa wakichanganya, hata kule Bungeni wanachanganya wanasema sasa kila siku itakuwa inakatwa shilingi 10 mpaka 200 kwa hiyo kama ni 200 kwa siku 30 ni shilingi 6000, halafu hata kama hukuweka fedha, siku ukiweka inakatwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.