mikoani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. W

    Swali fikirishi; Hivi kwanini wanaoponda sana mikoani ni watu wa mikoani zaidi kuliko wa Dar?

    Hili linanishangaza sana! Kutana na mtu wa Arusha au moshi umsikie anavyoponda Kanda ya Ziwa na mikoa mingine. Nenda Ruvuma ukutane na mhehe umsikie anavyoponda Ruvuma. Nenda kusini ukutane na mwalimu ajira mpya kutoka kigoma au nzega huko na aliyeisotea ajira kwa miaka mitano huku macho...
  2. V

    Mabasi ya mikoani hususan yanayosafiri usiku yana changamoto ya ubora

    Kuna changamoto ya mabus ya mikoani hususan yanayosafiri usiku.. nimewahi kupakia mabus kama Kitumbo(Dodoma - Dar) na Kimotco (Dodoma - Arusha) kwanza kabisa haya mabus ni kama daladala maana yanasimama ovyo na kpakia watu wengi had wengine wanasimama. Mbaya zaid haya mabus huwa hawafanyi...
  3. I

    Taratibu za kusajili biashara ya mabasi ya mikoani Tanzania

    Habari, Kwa wanaofahamu, naombeni utaratibu wa kufuata nikitaka kupata kibali cha kufanya biashara ya mabasi Tanzania. Nataka nianze na mabasi 4 route ya Dar-Mwanza.
  4. Kitanda cha chuma 5 kwa 6 kipya kinauzwa kipo Moshi mjini, mikoani kinatumwa

    Habari nina kitanda kipya cha chuma kinauzwa Kipo moshi , na pia kuna BED SOFA MPYA , valvet , BED BOX , PALLET BED KAMA ZOTE.........OFISI ZETU ZIPO MOSHI...... MAWASILIANO NI. 0672701329
  5. B

    Arusha: Stendi ya mabasi ya mikoani inapogeuzwa kuwa soko, pamoja na kituo cha kufanyia biashara haramu

    Hii ndo hali halisi ya kituo cha mabasi ya kwenda mikoani jijini Arusha. Mchana kinageuzwa kuwa soko, ikiwa no pamoja na biashara nyingi haramu na usiku kinageuka kuwa danguro pamoja kuwa sehemu za kulala kwa wale vijana wa mjini wasiokuwa na pakulala wakiwemo na vibaka. Mabasi mengi kwa Sasa...
  6. Naibu Waziri Kihenzile Aitaka DMI Kufungua Matawi ya Chuo Mikoani

    NAIBU WAZIRI KIHENZILE AITAKA DMI KUFUNGUA MATAWI YA CHUO MIKOANI Naibu Waziri wa Uchukuzi David Kihenzile ameutaka uongozi wa Chuo cha Bahari Dar es Salaam (DMI) kuhakikisha wanafungua matawi mikoani ili waweze kutoa fursa kwa Watanzania wengi kupata elimu hiyo. Kihenzile ameyasema hayo...
  7. Kuna siri gani kati ya mabasi ya mikoani na hizi hoteli wanazosimama kulisha abiria?

    Je, ni kwamba hizi hotel zinamilikiwa na hawa wenye mabasi au wenye mabasi wanapata nini hapa maana unakuta mabasi yanaendelea kusimama katika hotel hizihizi licha ya hotel kuwa na; Huduma mbovu na ghali - Vyakula ni ghali hlf vina viwango duni. Unaagiza chakula ni basi tu kupooza njaa lakini...
  8. mkisafiri kwenda mikoani december hakikisheni mmeacha na wosia nyumbani ...

    si nawatisha ni kutokana na exp ya vifo mwezi december na jinsi familia zinavyoteseka wakati wa msiba hasa unapokuta marehemu ajaacha wosia wowote ama kujuza ndugu ana watoto nje ya ndoa kila ...itaonja mauti ila ushauri wangu n muhmu sana december unaposafiri kwenda mikoani jitahidi uwe...
  9. Kamwe usithubutu kutafuta maisha mikoani, utakosa hadi nauli ya kurudi Dar!

    Bora msema kweli kuliko kuwa mnafiki. Kijana unaye jitafuta usije jaribu kufungasha mizigo kwenda kutafuta maisha huko mikoani, watu wa mikoani ni wabinafsi, roho mbaya, majungu na fitna. Kijana ukiwa Dar una 85% za kutoboa hapa town, kapuku muuza maji leo mtafute baada muda utamkuta mbali...
  10. Wenye uzoefu wa kupanda Malori yanayoelekea mikoani, namuomba hapa

    Habari wakuu , naomba ulizia kwa wenye experince ya waliowahi panda lori kwenda dodoma kwa ajili ya interview aje hapa atusaidie trip ilikuwaje, maana hali si hali wakuu dodoma moja... Au kwa anaejua yanakopatikana ma lori yanayoelekea mikoani kutoka dsm wakuu Kwa maana. Kiuchumi...
  11. R

    Pombe ya Warangi (Udo), wapi inapatikana mikoani?

    Nimeimiss sana hii pombe ya kabila la Warangi inaitwa Udo. Inatengenezwa kwa mtama. Wapi inapatikana mikoa ya jirani kama Arusha na Manyara??
  12. Watu wote wanaoishi maeneo ya mbali pembezoni mwa Jiji la Dar es Salaam kimsingi ni kama wako mikoani tu

    Kuna watu DSM wanaishi kijijini kuliko watu wa mikoani, wana maisha magumu, barabara na huduma zingine sifuri hmna zahanati, hawana vituo vya police, hawana maji safi na salama, vyoo vya shimo. Hivi mtu unaishi Madale, Mbopo, Mabwepande, Pugu, Kitunda, mbagala maporini, Chanika, Chamazi unasema...
  13. P

    Picha: Tupatie update ya eneo lako husika- El nino 2023/2024

    Wakuu, tujuzane huko ulipo hali ikoje kwa picha na video, na kama kuna sehemu ina changamoto toa taarifa haraka kwa mamlaka husika kuepusha athari kubwa. Bila kusahau, tuchukue tahadhari kipindi hiki chote cha mvua. Mzazi, kama mtoto wako anasoma mbali na miundombinu ni mibovu ni bora...
  14. Y

    Biashara ya mtaji mdogo kati ya Dar au Mikoani

    Eti Wakuu wapi ni bora kati ya Dar au Mikoani kuanza na biashara yenye mtaji mdogo mfano 2M
  15. N

    Watu wa mikoani mnatujazia jiji letu

    Nina hasira sana. Naanza na nyie watu wa mikoani ambao kila kukicha tunawapokea stand ya magu na mabegi yenu ya shangazi kaja, mkifika pale mnatapeliwa kwa kuuziwa sabuni eti mnadanganywa simu. Nakukaribisha kwangu, kwenye chumba changu unapagawa na flat nchi 55 ukutani, sofa kali kitanda...
  16. S

    Wale wa mapodari ,wacha nicheke kwanza !!! Huko Mikoani kunashangaza

    Ila mikoani wadada kusema kweli mnatisha kwa jinsi mnavyojipodoa , mikoani ni mimi na wasiojipodoa unawakuta wapo natural na rangi zao za bilingani. ILa wanaojipodoa wanaharibu kila kitu hujui ni mtu au ni shetani.
  17. Wauzaji wa bidhaa mtandaoni sio ndugu zako.Watu wa mikoani mtapigwa sana na watoto wa mjini kisa ubishi na kupenda vitu vya bei rahisi

    Hellow members,Leo nimekuja na tukio lililotokea leo asubuhi baada ya moja ya mteja wangu kuingia mkenge kwenye rada za matapeli. Ipo hivi mimi najihusisha na kununua/kufuata,kufunga na kusafirisha mizigo kutoka Dar es salaam kwenda mikoa yote Tanzania kila siku na hivyo basi nimeweka Matangazo...
  18. J

    Kwanini watu wa Dar huwa hawataki kujua yanayoendelea mikoani?

    Kwanini watu wa Dar, huwa hawataki kujua yanayoendelea mikoani? Lakini wa mikoani kila wakati wanafatilia ya Dar tu. Maadimin wa JF Wapo Dar, ITV, Wasafi, TBC n.k zipo Dar Melo yupo Dar, Vyuo vikuu Bora vipo Dar Flying over za maana zipo Dar Uswahilini kupo Dar Pesa ipo Dar, umaskini upo Dar
  19. Ukweli ni kwamba watu wengi wa Dar es Salaam wamezidiwa kipato na watu wa mikoani

    Kijana wa Dar akinunua sabufa, sofa la watu 2, kitanda cha chuma na godoro, akipanga chumba kimoja, choo cha jumuia hapo katoboa maisha. Wapo vijana waliofanikiwa wakajenga, kununua usafiri na wengine kumiliki biashara lakini wastani wa vijana wanaoishi kwenye chumba kimoja na vikorokoro vyao...
  20. Kigamboni hakuna Vituo vya Daladala vyenye kivuli, watusogezee na stendi ya magari ya mikoani pia

    Nilihamia Kigamboni miaka ya hivi karibuni, moja ya kitu ambacho kilikuwa kinanipa uwoga kuhamia pande hizi kwanza ni kuvuka maji na pili niliona kama kumekaa kushoto sana. Nashukuru Mungu uwoga wangu wa maji umepungua labda yawezekana kwa kuwa navuka sana baada ya kuhamia huku. Hilo la pili...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…