mikoani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    JamiiForums Tanzania Kuifahamu Tanzania na watu wake kwa kutembelea mikoani

    Mungu jalia katika kipindi cha uhai wangu nimepanga kutumia fursa ya kutembelea mikoa yote ya nchi ya Tanzania ili kuweza kuifahamu Tanzania vizurizaidi pamoja na watu wake wakazi wa mikoa hiyo. Dhamira yangu ni kwamba kila mwaka wakati wa likizo ya mwaka kazini, basi nitumie siku chache za...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Wateule wa Rais katika idara na Wizara wanatuhumiwa kutumia siku 14 kila mwezi kuzunguka mikoani

    Nimefanikiwa kuwadodosa baaadhi ya wazee wenye nyadhfa serikalini kuhusu mkanganyiko wa mambo unaoendelea nimeshtushwa kwamba hata wao wanayojadili na kuyaamini si haya yanayotekea kwenye utendaji. Nafasi ya wanasiasa Ni kubwa Sasa kwa Sasa hasa baada ya kutoa wataalam na wabobezi wengi kwenye...
  3. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Kwanini samaki wa baharini hawafiki mikoani?

    Wandugu kwanini hao samaki wa baharini hawafiki huku mikoani. Huku sijawahi ona bucha linauza samaki wa baharini. Labda vibua kidogo. Ingekuwa poa sana na sisi tupate dagaa mchele tupige na ugali. Mabucha yote ni sangara na sato. Kwani pweza na hao samaki wengine wa baharini hawakai kwenye...
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwanini ukipanda Basi la Mikoani linaloendeshwa Kasi (Spidi) sana utayaona yafuatayo kutoka kwa abiria waliolipanda?

    1. Jina la Baba Mungu hutajwa mno? 2. Sura (Nyuso) za Huruma hutawala mno? 3. Waliochwa Majumbani hukumbukwa mno? 4. Kuombana Magazeti kunapungua mno? 5. Maombi ya Kuomba Kukojoa (Kuchimba Dawa) hupungua mno? 6. Abiria wengi hujifanya wamelala (tena kwa Kufumba Macho) ila Breki ya Basi...
  5. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Napinga hoja ya RC Makalla ya kulazimisha Mabasi yote ya Mikoani kupakia na kushusha abiria Stendi ya Magufuli pekee

    Amos Makalla ambaye ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam na Mfadhili wa zamani wa bendi ya FM ACADEMIA ya Kinondoni, bila kufanya utafiti wowote ule leo ametoa amri ya kulazimisha mabasi yote ya mikoani kuanzia safari zao kwenye kituo kikuu cha mabasi ya mikoani cha Mbezi Luis, kinachoitwa kituo cha...
  6. BASIASI

    JamiiForums Tanzania Wazee wa tochi mikoani mnamkumbuka huyu

    Namtakiaaa uponyajii mwemaa pia
  7. H

    JamiiForums Tanzania Magari ya kubeba mizigo kupeleka mikoani hupatikana wapi , Dar es Salaam?

    Naomba kuelekezwa magari ya kubeba mizigo kupeleka mwanza hupatikana maeneo gani kwa Dar. Na gharama zake zipoje?
  8. Njiwa wangu

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Vx V8 ya kukodi kwa safari za mikoani

    Habari ya asubuhi wakuu, Nina mgeni wangu week mbili zijazo anakuja kutembea naweza pata wapi Gari ya kukodisha kwa safari za mikoani. Gari itapita mikoa hii, Dar, Morogoro, Dodoma, Singida, Shinyanga, Mwanza, Mara wilaya ya Tarime, Geita, Kahama,Tabora, Katavi ten unarudi dar kumbuka kwanzia...
  9. Fohadi

    JamiiForums Tanzania Maisha ya Dar vs Maisha ya mikoani

    Kuna watu wana amini maisha ya Dar ni magumu (kufanikiwa ni ngumu) wengine wanasema maisha mikoani ni rahisi (kufanikiwa ni rahisi)... Je, ugumu wa Dar uko wapi na urahisi wa mikoani uko wapi? (Huu ni mtazamo wa wengi humu kwa utafiti wangu mdogo nilioufanya humu ndani kwa muda kidogo)...
  10. La Quica

    JamiiForums Tanzania Utofauti kati ya watu wa Dar (Mijini) na watu wa Mkoani ndio huu

    Umeenda semina Njombe, una ndugu yako kule. Unamtaarifu unakuja kumtembelea. Anakuambia karibu sana. Anakuelekeza panda daladala za Ramadhani shukia kwa Sanga. Unashuka stendi unamkuta ndugu yako na mkewe na watoto stendi wamekuja kukupokea! Mnatembea kitambo na kufika kwake. Watoto waliobaki...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini Tundu Lissu alikuwa anapata watu wengi kwenye mikutano yake ya kampeni hasa mikoani?

    Hili swali unaweza kulidharau lakini ni la msingi sana hasa kwa sisi wana CCM kindakindaki. Ni nini hasa kiliwavuta watu kwenye mikutano ya Tundu Lisu? Je, ni huruma sababu alipigwa risasi nyingi? Je, ni uwezo wake wa kutoa uongozi? Je, ni mapenzi ya wananchi kwa Chadema? Au ni watanzania...
  12. Mtu Asiyejulikana

    JamiiForums Tanzania Ligi ya Mabasi ya Mikoani Buses zinazokimbiza Mikoani

    Kuna hizi buses ... Kwa mikoani ni buses gani zinakimbiza sana? Maana kuna jamaa ana sema zhing tong ndo balaa. Mi nafahamu haya mabasi tupeane uzoefu kwa mbio ni buses zipi zina nguvu/speed 1. Yu Tong 2. Higer 3. Golden Dragon 4. Scania 5. Zhang Tong 6. Marco polo
  13. Mowwo

    JamiiForums Tanzania Ushauri, natarajia kuanza biashara ya vitu vya jumla vya dukani kutokea Dar es Salaam kuja mikoani

    Nawasalimu wote. Mimi ni kijana mjasiriamali ninaetarajia kufanya biashara ya jumla ya vitu vya dukani(Arusha&Moshi) lakini ningependa kupata mawazo na ushauri namna ya kuagiza vitu hivyo kutokea Dar kuja mkoani. Uzoefu wa biashara hii ningeupata kutoka kwenu ningeshukuru pia. Vitu...
  14. D

    JamiiForums Tanzania Kero ya kusubirishwa kupisha msafara ya viongozi barabara za mikoani haivumiliki hakika viongozi mnatuumiza sana kwa hili

    Hakika huu ni UNYAPARA mambo leo! Barabara za mikoani kila kuchwao zinapitiwa na kila aina ya binadamu; Wenye afya na wagonjwa wote wanategemea barabara hiyo hiyo. Wazima na maiti wote wanapitidhwa hapo wenye haraka na wasiyo na haraka Wenye bidhaa za kuoza na zisizo oza Wenye pesa ya kula na...
  15. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua kwanini Special Economic Zones (SEZ) hazijengwi nyingine mikoani?

    Kwa Tanzania, Export processing zones authority(EPZA) ndiyo husimamia na kuendesha hizi (SEZ) special economic zones. Haya ni maeneo ambayo bidhaa huzalishwa kwaajili ya kuuza nje ya nchi. Mara nyingi huwa kunakuwa na punguzo kubwa la tozo. Mtu anaaigiza mashine na malighafi za viwandani bila...
  16. profesawaaganojipya

    JamiiForums Tanzania Toyota Noah Old Model, 4doors, ipi ni nzuri kwa kupiga ruti za mikoani to Dar

    wanajamvi nataka ninunue toyota noah old model, milango minne, ili niwe nabeba abiria mbeya to Dar, sasa nasikie kuna aina nyingi za toyota noah. Mfano, field tour, town ace, super lymo extra nk, Sr40, Sr 50, Ipi ni nzuri kwa uimara, kusevu mafuta, uvumilivu kwenye ruti ndefu. Nawasilisha.
  17. J

    JamiiForums Tanzania Hii stendi mpya ya mabasi ya mikoani (Stendi ya Magufuli) hayakuwa ni maono ya CHADEMA kweli?

    Najiuliza tu kwa sababu mambo yote yahusuyo stendi hiyo yaliratibiwa wakati Jiji la Dar es salaam likiwa chini ya Chadema na Lord Mayor Dsm akiwa mh Isaya Mwita. Naomba kuelimishwa Maendeleo hayana vyama cc: Mzee Mgaya, Mchungaji Erasto
  18. J

    JamiiForums Tanzania MBEZI: Rais Magufuli azindua kituo kikuu cha Mabasi ya Mikoani

    Baada ya kufungua daraja la juu la Kijazi sasa Rais Magufuli amewasili Kituo kikuu kipya cha mabasi ya mikoani tayari kabisa kwa kukifungua rasmi. Watu ni wengi sana. Up dates; ==== WAZIRI JAFO AAGIZA MKURUGENZI WA JIJI KUANDAA BANGO LA STENDI YA MAGUFULI Waziri wa Ofisi ya Rais TAMISEMI...
  19. J

    JamiiForums Tanzania UBUNGO: Rais Magufuli afungua daraja la juu la Kijazi (Kijazi Interchange)

    Rais Magufuli leo anaanza ziara ya siku tatu mkoani Dar es Salaam ambapo atafungua miradi mbalimbali. Kituo kikuu kipya cha mabasi ya mikoani Mbezi ni moja ya miradi itakayofunguliwa leo. === MATUKIO MBALIMBALI YALIYOJIRI: Rais Magufuli amewasili Ubungo tayari kabisa kufungua barabara za...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Nimefuatilia ziara ya waziri Gwajima mikoani, kiukweli madudu ni mengi. Yule Ummy alikuwa anapiga siasa tu!

    Kila eneo analopita waziri wa afya Dkt. Gwajima katika ziara zake mikoani ni vilio tu, wananchi wanalalamikia Huduma hafifu, uhaba wa dawa nk. Kiukweli hii wizara ina madudu mengi sana na sielewi waziri aliyetangulia Da Ummy Mwalimu na wasaidizi wake walikuwa wanafanya kazi gani!? Chapa kazi...
Back
Top Bottom