mikoani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. peno hasegawa

    Tetesi: Zaidi ya wanawake 1500 wapo Dar es salaam kumpongeza Rais Samia Machi 19, 2023. Hawana nauli za kurudi nyumbani na hawajui wale/walale wapi

    Njoo kwenye hoja. Leo kumetokea kituko Dar. Kuna wanawake zaidi ya 1,500 wamewasili Dar kutokea mikoa yote ya Tanzania. Nia ya wao kuja Dar ni Ili waweze kukutana Kesho asubuhi hadi saa nane Mchana Ili kumpongeza mama Samia. Kwa masikitiko makubwa na huzuni kubwa wamama hao wamelipa nauli kwa...
  2. Faana

    Wamama wa Dar mtawaua Wanaume wa mikoani kwa presha

    Tupo na jamaa zangu mitaa ya Mawasiliano Dar, kuna jamaa toka Mbande sijui iko wapi, amekuja jijini akiwa na zawadi kwaajili ya rafiki yake wa kike waliyekutana naye mtandaoni, wamewasiliana na huyo mwanamama akafika mpaka lodge alipofikia akiwa na bodaboda, akaingia ndani aliko mja wake, baada...
  3. M

    VAT itaua makampuni mengi ya mikoani, TRA angalieni hili

    Wana JF, Ujumbe huu uende kwa Rais Samia pamoja na TRA. Huu mfumo mpya ambao TRA imeuanzisha katika kukusanya VAT umeleta matatizo makubwa sana hasa kwa kampuni za wilayani na mikoani. Kawaida VAT huwa hivi. Mfanyabiashara unaauza bidhaa yako au huduma yako na kuongeza VAT juu ambayo mlaji...
  4. Bushmamy

    DOKEZO Arusha: Kituo kikuu cha Mabasi ya kwenda mikoani chawa kero kwa watumiaji wake, hakilingani na hadhi ya jiji

    Kituo kikuu cha mabasi ya kwenda mikoani kilichopo jijini Arusha kimekuwa kero kwa watumiaji wake kutokana na adha mbalimbali zinazowakabili abiria pamoja na wanaowasindikiza. Kituo hicho kikuu cha mabasi kipo hapo tangu uhuru hadi na sasa kitu ambacho hakiendani na hadhi ya leo hii kutokana...
  5. W

    Watu wa mikoani mnao agiza bidhaa Dar es salaam pitieni hapa

    Deleted
  6. Moha Mfinanga

    Fursa Ya Ajira kwenye Magari makubwa ya Mikoani na nje ya nchi

    Mwenye fursa naomba tupeane connection
  7. system hacker

    Uzi maalum: Mafundi wazuri wa magari jijini DSM na Mikoani

    Unamfahamu fundi gani mkali wa magari kwa uzoefu wako? Share na Jamii hapa. Ukijaribu kuangalia kwa kina utabaini kuwa magari mengi yanaharibiwa zaidi na mafundi. Fundi hafahamu kuhusu gari lakini analifanyia trials and errors na mwishowe huharibu gari zaidi. Mafundi ambao hawafahamu kuhusu...
  8. MIXOLOGIST

    Kwanini watu wa mikoani wanapenda kusalimia salimia?

    Amani iwe nanyi wana JF Niko shamba kwa mitikasi ya hapa na pale, yaani kila mtu anasalimia, kwa siku unasalimiwa zaidi ya mara 200 Mambo ya kijinga sana na ni code za kigoloko sana, unakuta una mawazo yako mtu ana ku-distract halafu cha ajabu hakujui na hiyo salamu haijengi chochote. Kwa...
  9. tang'ana

    Shule yetu ya kata ina matokeo mazuri kuliko shule nyingi za Dar

    Hii ni shule ya kata yetu mkoani Mara huko, shule haina muda mrefu tangu ianzishwe.. changamoto ni nyingi sana huko kijijini kwetu lakini ukiangalia matokeo ya hii shule in comparison na mashule mengi ya hapa Dar unaona kabisa hii shule imefanya vizuri sana. Hawa vijana wa Daslamu wasipokuwa...
  10. Replica

    Nimetembelea shule za Dar es Salaam wanafunzi bado wanakaa chini mchangani, sijui mikoani kukoje!

    Leo nimepita shule ya msingi Upendo iliyopo Mbezi Luis jijini Dar es Salaam. Kwanza shule ina wanafunzi wengi kuliko uwezo wa madarasa mpaka wanaingia kwa shift. Pili shift husika inabeba wanafunzi wengi mpaka wengine wanakaa chini tena sio chini kwenye sakafu, ni chini kwenye mchanga. Unaweza...
  11. Chizi Maarifa

    Nyie watu wa Mikoani Mkija Dar mnatuchosha sisi Tupo Busy sana

    Mtu anakuja na list ya maeneo yote ambayo ameyasikia sikia. Ameandika anataka akifika ukamtembeze list yake unakuta 1. Beach Kidimbwi 2. The Great 3. Daraja la Ubungo 4. Daraja la Kigamboni 5. Daraja la Manzese 6. Daraja la Coco/Tanzanite 7. Beaches zote za Kigamboni Etc. Halafu shida akienda...
  12. ryan riz

    Ijue sababu ya marafiki wa DSM kuwakimbia na kuanzisha visingizio pale inapofika mda wa kupokea washkaji zao wa mikoani

    Marafiki wa Dar mara nyingi wanapoongea na washkaji zao wa mikoani waliosoma nao vyuoni au labda walikua udogoni pamoja mikoani hujinasibu wana maisha bora sana huko Dar. Na pia wana michongo ya kufa mtu si wanawake wala wanaume.. Sasa wanapokuja mikoani washkaji zao huwakaribisha kwa ukarimu...
  13. I

    Hivi mabasi ya mikoani huwa yanafanya kazi sikukuu?

    Wadau ivi sikukuu ya keshokutwa mabasi ya mikoani yanapiga route km kawa au nao wako off
  14. B

    Kumbe umeme mikoani bado kizungumkuti?

    Niko ukweni kwa ajili ya mapumziko ya mwisho wa mwaka. Hali ni mbaya. Umeme hakuna masaa 12 kwa siku. Yaani ni mwendo wa 0700 - 1900 kila siku. Siku niliyofika nilidhani ilikuwa kutuwezesha nchi nzima japo kumwona Messi akichukua kombe baadaye usiku. Kumbe hola! Kumbe haya ndiyo maisha ya...
  15. crome20

    UWAMATA na wamiliki wa mabasi dhibitini wauza madawa na vitu kwenye mabasi ya mikoani

    Kwa wale wastaarabu tu ndio wanaoelewa. Ni kero kwa abiria wachuuzi kuingia ndani ya mabasï kuuza vitu vyao. Mwenye shida anunué hapo nje na sio kupishana na matenga, maboksi na kupigiwa kelele. Nilishangaa nikiwa kwenye basi la NEW FORCE kuelekea Lindi hadi mabeseni ya samaki yanapita. Kuna...
  16. Chendembe

    Viongozi wa Simba acheni kuwadharau mashabiki wa mikoani

    Nimetafakari kwa uwezo wangu na kutazama kinachoendelea kwa timu yetu ya Simba katika michezo yake mikoani na nimejiridhisha bila shaka kuwa dharau za viongozi wetu zinatugharimu. Kila sehemu ina mila na tamaduni zake. Ni kwa kuwashirikisha na kuwathamini tu wenyeji wa eneo husika ndiko huleta...
  17. M

    Narudia tena na tena mechi za mikoani ndizo zitakazoamua bingwa kwa mara nyingine

    Nafikiri tunaanza kuelewana mdogo mdogo, Yanga mikoani kavuna alama 18 mechi 6, Simba mikoani kavuna alama 5 mechi 3, kadondosha alama 4. Mzunguko wa kwanza Yanga atakuwa kacheza mechi 8 viwanja vya mikoani na Simba atakuwa kacheza mechi 5 viwanja vya mikoani, kwa maana hiyo mzunguko wa pili...
  18. GENTAMYCINE

    Kwa kukereka na mwendo wa taratibu wa Mabasi ya Mikoani naomba ombi langu likubaliwe

    Kuwe na Mabasi Maalum ya Waoga wa Kufa ( yaendayo taratibu ) kama sasa na pia kuwe na Mabasi Maalum ya Tusio Waoga wa Kufa ( yaendayo kasi ) ili tusichoshane humu Barabarani. Haiwezekani kutoka Dar hadi Moro zamani ukipanda Abood Dereva akiwa Dula Bedui ( sasa Marehemu ) unatumia dakika 90 au...
  19. Idugunde

    Baada ya Act wazalendo kuwapiga bao Chadema kisiasa. Chadema wanaeneza uongo kuwa wamejenga ofisi mikoani.

    Jiwe la msingi limeandikwa kwa mark pen. Jengo ambalo ni duka la wananzengo. Huu ni utapeli mkubwa sana wa kisiasa.
  20. B

    Dereva wa kupeleka magari madogo mikoani na mipakani

    Mwenye uhitaji wa Dereva anaye peleka magari madogo mikoani na mipakani nipo kwa ajili hiyo, bei zangu rafiki sana na nafanya kwa uaminifu mkubwa sana. Napeleka magari yanayotoka bandarini na kuyapeleka kwa wahusika pia napeleka yale ya transit hadi mpakani. Bei zangu ni kama ifuatavyo: 1...
Back
Top Bottom