mikoani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. guzman_

    JamiiForums Tanzania Natafuta masoko ya Nafaka mikoani

    Wakuu habari. Katika kujiongeza nataka nianze biashara ya kununua nafaka hasa mahindi, mpunga na maharage na kuja kuuza kwa jumla Dar. Naombeni mwongozo kwa anayejua masoko makubwa nayo weza nunua mzigo mkubwa kwa mara moja. NB naona kwenda moja kwa moja kwa wakulima itanichukua muda kwa hiyo...
  2. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania Kama mliaminishwa kufungua Chaneli ya WhatsApp ni Mafanikio, sasa watawaaminisha Viwanja vya Mikoani ndio chanzo cha Matokeo Mabovu

    Mkishaonwa HAMNAZO mtakuwa mnapewa kila sababu na mtakubali because nyie ni HAMNAZO. Yaani jitu linavuta Oxygen hii ya buree saiv zaidi ya miaka 20 halijawahi ilipia linakuja danganywa kuwa tunapata matokeo mabovu viwanja vya mikoani kwa sababu wachezaji wetu hawako comfortable na viwanja hivi...
  3. Jerrymsigwa

    JamiiForums Tanzania Faida na hasara za kusafiri mikoani na mabasi ya usiku

    Igweee! Ninawasalimu kwa jina la JMT! Leo nimepata wasaa wa kusafiri usiku kutoka mkoa x kuja y kwa takriban masaa 10 kuanzia 2000hrs to 0730hrs. Ni usafiri wa kawaida wanaita luxury bus, so hakuna chochote za ziada nilicho experience. Kwa kuwa ni mara yangu ya 1, nimeona baaddhi ya...
  4. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Maimuna Pathan: Kwa Nini Serikali Isihakiki Wastaafu Wilayani Kuliko Ilivyo Sasa Kuhakikiwa Mikoani.

    Mbunge Maimuna Pathan: Kwa Nini Serikali Isihakiki Wastaafu Wilayani Kuliko Ilivyo Sasa Kuhakikiwa Mikoani. Serikali imesema Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) una mpango wa kuweka vifaa vya uhakiki vitakavyotumia alama za vidole kwenye ofisi za halmashauri ili kuhakikisha...
  5. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kuna uhusiano gani baina ya Makanisa ya Upako na Watu wa mikoani. Kwa sababu ndio waliojazana Huko.

    Habari za jumapili! Kama kichwa kinavyojieleza. Nimegundua kuwa huwezi kukuta mtu aliyezaliwa au kuishi Dar es salaam Kwa zaidi ya miaka 20 ukamkuta kwenye haya makanisa ya Upako. Au huwezi kumkuta mtu aliyewahi kuishi nje ya nchi, nazungumzia nchi za Ulaya, Amerika au Asia. Na kidogo South...
  6. C

    JamiiForums Tanzania MaIsha ya dar vs mikoani

    Kwema wakuu, Hasa kwetu sisi vijana ambao bado tunatafuta, we unaona wapi bora kati ya dar es salaam na mikoani. Karibu
  7. Richard

    JamiiForums Tanzania Anayokutana nayo Makonda ziarani mikoani ni yaleyale ambayo yangetatuliwa kupita shule ya uongozi ya Humphrey Polepole bila matumzi makubwa ya fedha

    Katibu Mwenezi, Itikadi na sisa wa CCM Paul Makonda, yupo barabarani akizungukia maeneo mbalimbali ya nchi ambako amekutana na shida lukuki. Kuna shida zingine ni rahisi sana kutatuliwa bila kutumia nguvu wala migogoro. Shida zingine wananchi hukutana nazo kutoka kwenye idara za serikali...
  8. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Ikulu ndogo za mikoani ziboreshwe hazina hadhi

    Kuna hizi nyumba wanazofikia marais wakiwa mikoani katika ziara Mimi Naziita ikulu ndogo sijui kama nakosea ila zinajulikana zaidi kama rest house. Nyingi ya nilizoziona mimi mikoani naziona ni za kizamani sabab zimejengwa muundo mfupi Paa ni fupi labda kidogo ukute zimepigwa rangi tu upya...
  9. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Kwa wale wa mikoani, ukija Dar ni sehemu gani piga ua lazima uende?

    Baada ya Mfumo kunitenga na jiji la ndoto zangu nikawa Sina namna zaidi ya kukubali. Ila huwa napambana isipite miezi miwili sijakanyaga town na kila napofika aisee vijiwe vyangu vya faida ni:- 1. Tabata Magengeni 2. Kimara Korogwe-Tabata Kimanga 3. Tabata kimanga-Ubungo Riverside via...
  10. G

    JamiiForums Tanzania Pamoja na kero za Dar es Salaam mbona huhamii mkoani?

    Pamoja na kero za Dsm usafiri wa shida / foleni, uhalifu, maisha kuwa juu, umeme, ukosefu wa maadili, n.k. kwanini huhamii mikoani kwenye unafuu? Bila kusahau tatizo la maji KWANINI HUHAMII MIKOANI?
  11. Bromensa

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Makonda mikoani inamjenga sana yeye kuliko Chama

    Habari, Nimeona Ziara ya Katibu wa itikadi, uenezi na mafunzo wa CCM Taifa Paul Makonda mikoani ni kama inamjenga sana yeye kuliko chama na huenda ikamfanya kuwa na ushawishi mkubwa sana ndani ya CCM na nje ya CCM. Mara nyingi amekuwa akitumia jukwaa kujielezea yeye zaidi kuliko chama...
  12. Prakatatumba abaabaabaa

    JamiiForums Tanzania Mbona vitu vya electronics ni bei rahisi China? Kumbe mikoani tunapigwa hivi?

    Leo nimeamua kuperuzi baada ya kupata business idea ya kufungua duka la electronics, phone and accecories. Nikasema acha niiingie kwenye application ya Alibaba kuona bei za electronics huko china na huku bongo. Mfano hapo glass protector ni Usd 0.01 napo zingine ni mpaka Usd 0.15 sawa na...
  13. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Tuwafahamu Matajiri Maarufu wa mikoani

    Celebrities matajiri kwa ngazi za mikoa. Ni kweli asilimia kubwa ya Matajiri wapo Dsm lakini nako mikoani sio kwa kuwachukulia poa, uzi huu unawahusu wenye mawe yao huko mikoani. Wahindi na waarabu tuwaweke pembeni kidogo ni ligi za ugenini, hebu tudeal na ligi za timu asili za nyumbani Kwa...
  14. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Rasmi: AZAM TV watambulisha visimbuzi maalumu vya kwenye mabasi ya mikoani na magari ya safari ndefu

    Azam TV wakonga nyoyo za burudani Tanzania baada ya kutambulisha Visimbuzi vya kwenye mabasi. Hivi sasa tutakuwa tunacheki mechi za simba na yanga kwenye mabasi ya mikoani. Kupitia kurasa zao leo wametangaza rasmi kutoa huduma hiyo. ======== Azam TV Revolutionizes Travel Entertainment with...
  15. Nyafwili

    JamiiForums Tanzania Madereva wa mikoani, tabia na utaratibu wa kupaki mabasi sehemu ya chakula chenye bei juu mnaumiza abiria wenye kipato kidogo

    Serikali yetu - mamlaka husika tunaomba mtusaidie sisi wanyonge na hii tabia ya madereva inayozidi kushamiri kila kukicha, hasa kwa wale ndugu zetu wanaosafiri mikoa ya mbali wanapata tabu sana kuhusu masuala ya chakula. • Dar - - Mwanza • Dar - - Mbeya • Dar - - Kigoma • Dar -- Arusha • Dar --...
  16. figganigga

    JamiiForums Tanzania Madereva wa Dar, Likizo Msijiendeshe kwenda Mikoani mkidhani mumeiva kwa Udereva chondechonde!

    Salaam Wakuu, Naomba nikushauri wewe Dereva unaye endesha Gari Dar Es Salaam, Usije ukahisi umeiva kwa Udereva ukataka ujiendeshe kwenda Mkoani kula Sikukuu. Ni kweli Mungu amejalia umepata hilo Gari, lakini angalia lisigeuke Kaburi lako. Kwa barabara za Mikoani wewe ni Learner tu ukatae...
  17. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania TLS yadhoofika, Mahakama yahusishwa: Sungusia amezidiwa na Makada: Wanachama 3000 toka mikoani Wazagaa Dar. Kikao chapigwa stop usiku saa moja

    Walah itamuhitaji mtu wa ajabu sana kuona merit kwenye application ya wakili kada wa CCM aliyetumwa na "mfumo" kusimamisha kikao cha dharura cha mawakili. "Mfumo" umefanya mabadiliko ya Sheria ambapo kwa sasa ili wakili ateuliwe kuwa jaji , yampasa kuwa na Law firm, na hiyo /law firm iwe na...
  18. W

    JamiiForums Tanzania Swali fikirishi; Hivi kwanini wanaoponda sana mikoani ni watu wa mikoani zaidi kuliko wa Dar?

    Hili linanishangaza sana! Kutana na mtu wa Arusha au moshi umsikie anavyoponda Kanda ya Ziwa na mikoa mingine. Nenda Ruvuma ukutane na mhehe umsikie anavyoponda Ruvuma. Nenda kusini ukutane na mwalimu ajira mpya kutoka kigoma au nzega huko na aliyeisotea ajira kwa miaka mitano huku macho...
  19. V

    JamiiForums Tanzania Mabasi ya mikoani hususan yanayosafiri usiku yana changamoto ya ubora

    Kuna changamoto ya mabus ya mikoani hususan yanayosafiri usiku.. nimewahi kupakia mabus kama Kitumbo(Dodoma - Dar) na Kimotco (Dodoma - Arusha) kwanza kabisa haya mabus ni kama daladala maana yanasimama ovyo na kpakia watu wengi had wengine wanasimama. Mbaya zaid haya mabus huwa hawafanyi...
  20. I

    JamiiForums Tanzania Taratibu za kusajili biashara ya mabasi ya mikoani Tanzania

    Habari, Kwa wanaofahamu, naombeni utaratibu wa kufuata nikitaka kupata kibali cha kufanya biashara ya mabasi Tanzania. Nataka nianze na mabasi 4 route ya Dar-Mwanza.
Back
Top Bottom