Wadiz
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 5,429
- 11,096
Kuna watu DSM wanaishi kijijini kuliko watu wa mikoani, wana maisha magumu, barabara na huduma zingine sifuri hmna zahanati, hawana vituo vya police, hawana maji safi na salama, vyoo vya shimo.
Hivi mtu unaishi Madale, Mbopo, Mabwepande, Pugu, Kitunda, mbagala maporini, Chanika, Chamazi unasema uko town DSM acheni hizo. Hao watu wa maeneo hayo wana maisha magumu kama wakimbizi.
Barabara mbovu kuliko hata za mikoani, vidaraja fake na vibovu utaambiwa Billion 27, billion 80, billion 200, hovyo kabisa.
DSM kuna idadi kubwa ya vichaa na watu wenye magonjwa mengine ya akili, masaa ya kulala ni 2-3 sasa hao so ni zaidi ya vichaa.
Kwa jina la ukweli DSM wanaoishi Dar ni wachache sana ila kijiografia ndio kuna nyomi wengi wengi wako vijijini huko DSM wakiteseka na maisha.
Kuna DSM jina na DSM yenyewe.
Ukibisha hujazunguka DSM na kujionea maisha ya magumu ya wanajiografia wa DSM.
Kuna vijiji vya DSM havina huduma yoyote bora hata ya wafungwa wa magerezani.
Ni hayo tu kuna dsm ya kuishi kimaneno na DSM yenye maisha na uwepo wa watu Duniani.