Hakuna kitu mnanikera kama mashimo yaliyoko lami ambayo yanadumu mwaka mzima.
Mashimo yanaharibu gari, yanasababisha ajali mbaya Sana na kupunguza uzalishaji na nguvu kazi ya Taifa. Juzi nimepita njia ya Iringa Dodoma.
Mashimo yaleyale niliopita mwaka juzi nimekuta yameongezeka hasa hasa...
Serikali yetu hebu tusaidie wanyonge na hii tabia inazidi shamiri sna kwa wale ndg zetu wanao safiri mikoa ya mbali #Dar_to_mwnza, #Dar_to_mbya, #Dar_to_kgma, #Dar_to_Arusha kuna tabia na utaratibu wa mabasi walio jiwekea bila kuhofia abiria wao na sio rafiki kabisa wanapaki mabasi yao sehemu ya...
Niko hapa Mbezi Mwisho hatua chache kabisa karibu na stand mpya ya Mbezi baadhi ya Mabasi yaliyotoka mkoani yameshaanza kuingia kituo kikuu cha mabasi Mbezi.
=====
Kituo kipya Cha Mabasi yaendayo mikoani na nje ya nchi Cha Mbezi Luis kimeanza rasmi majaribio leo ambapo Mkuu wa Mkoa wa Dar es...
Ni wazi suala la kununua Dreamliner limetupiga sana, kwa kuwa tulitegemea zingepiga route za nje na kuingiza faida lakini mambo hayajawa hivyo. Na Corona imeharibu hata zaidi.
Ushauri wangu kwa raisi ajae, Tundu Lissu au Magufuli - uza hizo Dreamliner tuweke kipaombele kwenye flights za ndani...
Rais Magufuli leo akiwa na mgeni wake, Rais wa Malawi, Lazarus Chakwera wanaweka jiwe la msingi kituo kikuu cha mabasi ya mikoani inayoendelea kujengwa eneo la Mbezi Louis, Dar es Salaam.
===
MAGUFULI: Mkataba ulikuwa umalizike mwezi wa saba, leo ni mwezi wa kumi na waziri alikuwa...
Habari zenu ndugu zangu wa JF kwa utafiti wangu niliofanya kwa nini sisi wa mikoani tunafanikiwa sana hapa Dar ni kama zifuatazo..
Wenyeji wavivu hawapendi kazi ngumu sisi wa mikoani kazi ngumu kwetu ni kama kumsukuma mlevi.
Malezi imara sisi wa mikoani tuna malezi imara na kuheshimu jamii...
Akizungumza mbele ya umati wa wananchi huko Babati, Lissu amesema wamepata taarifa za vikao vya wakubwa na vibaraka wao wanaohofia kimbunga chake huko mikoani.
Lissu anasema mkakati huo wa kumuengua ulijenhwa juu ya hoja mbili.
1. Ya kwanza ni wao kutaka kupitia kichaka cha maadili, kwamba kwa...
Gharama zako za matumizi kwa siku zimekaaje katika kipindi hiki? Mfano chakula, usafiri, matumizi ya simu, vinywaji na kadhalika. Tuchangie mada hii wana jf..
Halmashauri ya jiji la Dsm na ile ya Manispaa ya ubungo zimeanza kusimamia kisiasa ujenzi wa kituo kikuu cha mabasi yaendayo mikoani na nchi jirani.
Kituo hiki ni mbadala wa kile cha ubungo.
Source Clouds 360
Maendeleo hayana vyama!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.