miguu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. O

    JamiiForums Tanzania Miguu kupata ganzi wakati wa kukaa muda mrefu

    Wanabodi habari za mchana. Nimepata tatizo la kupata ganzi katika miguu wakati wa kukaa especially wakati wa kujisaidia katika choo cha kukaa!nikiinuka nakua napata ganzi sana! Naomba msaada kujua tatizo linaweza kuwa nn? Dr Ahmed Albah-Shahwa na Madr wengine msaada.
  2. JamiiForums Tanzania Ni kwanini Wanaotembea umbali mrefu kwa Miguu au wafanya Mazoezi ya Kutembea kwa Miguu hufaidika na yafuatayo?

    1. Hawazeeki upesi 2. Huwa ni Wakakamavu 3. Hawaugui hovyo 4. Huishi muda mrefu 5. Upumuaji wao (siyo Kujamba) huwa mzuri 6. Miili yao huwa na Mvuto 7. Uwezo wa Akili huongezeka Nayasubiri kwa bashasha zote Majibu yenu ili basi nami GENTAMYCINE kuanzia Kesho nianze Ratiba ya kutafuta kwa...
  3. O

    JamiiForums Tanzania Nikikaa muda mrefu napata ganzi za miguu

    Salam wadau wa afya, Nimepata tatizo kwa muda wa week tatu sasa, nikikaa muda mrefu mfano choo cha kukalia nikikaa kwa muda napata kusikia ganzi miguuni. Inaeza kuwa inasababishwa na nn?
  4. JamiiForums Tanzania Ushauri wenu hapa kabla sijaingia miguu yote.

    Kuna hii investment wanaiita Pepsi vipi apa, Risk takers naweza kuweka mzigo au ndo ya Kalyanda..!
  5. JamiiForums Tanzania Kundi jingine linalojumuisha watu wajinga ni mashabiki wa mpira wa miguu

    Nilitaka niwaite wapumbavu lakini naona litakuwa neno kali sana. Hivi mtu anapokea mshahara kuhamasisha watu waingie kwa wingi uwanjani anakushawishi ukunje kaptura eti kumuenzi mchezaji mpira (mwajiriwa) na wewe na uzuzu wako unakunja, Jumamosi wameambiwa wapake bleach kichwani, watafanya...
  6. JamiiForums Tanzania Askari Polisi wamgonga bodaboda na kuvunjia miguu yote, wamfikisha hospitali na kumtelekeza

    Polisi wa kituo cha Maturubai wamegonga Dereva pikipiki maeneo ya Mtongani, Dar karibu na kituo cha msikitini wakiwa na ist T 149 DTZ. Dereva wa bodaboda alivunjika miguu yote miwili katika ajali hiyo. Baadae walimpeleka hospitali ya Temeke na kumtelekeza bila matibabu tangu saa saba mchana...
  7. JamiiForums Tanzania SI KWELI Kila Bodaboda anayepata Ajali akipelekwa Taasisi ya Mifupa MOI hukatwa Miguu

    Nimekuwa nasikia tangu zamani kuwa ukipata ajali ya bodaboda kisha ukapelekwa MOI ni lazima ukatwe miguu yako. Hii ni kweli?
  8. JamiiForums Tanzania Special Thread: Video za udambwi/manjonjo kwenye mpira wa miguu

    Wanasema mpira sio kushinda magoli tu, bali mpira ni kujua kuuchezea na kuutawala. Huu ni uzi maalumu wa kutupia video za udambwi dambwi wa mastaa kwenye ulimwengu wa mpira wa miguu. Mimi naanza na hawa viumbe wawili Lionel Messi na Cristiano Ronaldo DONDOSHA NAWEWE CLIP YA VIDEO...
  9. G

    JamiiForums Tanzania Una Tatizo La Miguu Kuwaka Moto, Ganzi Na Mgongo Kuuma? Tumia Mkeka Tiba wa Reflexology Mat Kwa Suluhisho La Haraka...

    Je, umekuwa ukitafuta njia bora ya kutatua suala la miguu kuwaka moto usiku kucha au kujisikia ganzi mara kwa mara? Ungependa kuondoa maumivu ya mgongo ili uweze kufurahia maisha yako kikamilifu? Pia ungependa kujua suluhisho la haraka na rahisi la kuondoa ganzi na maumivu hayo Anza sasa...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Dkt. Emmanuel Nchimbi, usianze vibaya kuwaambia CHADEMA wanatumia miguu kufikiri. Kumbuka orodha ya mafisadi wa elimu...

    Jiepushe na siasa za majitaka....talk sense, talk substance, leta hoja zijadiliwe siyo ad hominem arguments! c&p Mafisadi wa elimu Tanzania: David Mathayo atakaswa https://facebook.com/100057608486785?__tn__=< Faustine Ndugulile 23 February 2010 · 1-min read · Shared with Public Wiki...
  11. JamiiForums Tanzania Serikali inatakiwa kujenga vivuko vya juu kwa ajili ya wavuka kwa miguu barabara ya Morogoro (Kimara-Mbezi)

    Hii barabara ni muhimu sana kwasababu inayotumiwa sana kuingia na kutoka Dar es Salaam, ni barabara ambayo iko busy muda wote ikipitisha magari ya kutosha huku pia watembea kwa miguu nao wakiwa wengi sana. Mara chache sana huwa natumia hii barabara nikiwa na gari binafsi au gari la umma, huwa...
  12. JamiiForums Tanzania Binadamu tuliumbwa tutembee peku. Viatu vinatuharibu miguu

    Kutembea peku kunafanya miguu itanuke na vidole viachane hivyo kumpa mtu balance nzuri sana. Viatu vinaharibu miguu ya binadamu na kumfanya asiwe na balance wala mwendo mzuri. Tutembee peku hapa na pale.
  13. C

    JamiiForums Tanzania TFF ichunguze ligi ya mpira wa miguu Tanzania Bara

    Kwa mpira wa jana Simba dhidi ya Singida nashawishika kusema TFF hawana budi kuchunguza Mechi zote ambazo simba Wanacheza. Inawezekana ndio mpango wa maboss wao kuwarubini Waamuzi ili wapate matokeo. Haiwezekani mechi zaidi ya 5 waamuzi Wanaochezesha mechi za Simba kufungiwa/ kulaumiwa Kibaya...
  14. JamiiForums Tanzania Waziri Dkt. Ndumbaro Akagua Eneo la Ujenzi wa Uwanja wa Mpira wa Miguu Jijini Arusha

    Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Damas Ndumbaro ametembelea na kukagua eneo la Olmoth ambalo litajengwa uwanja mpya wa mpira wa miguu wenye uwezo wa kuchukua watazamaji Elfu thelathini utakaotumika katika michuano ya AFCON 2027. Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amekagua eneo hilo Desemba 15...
  15. JamiiForums Tanzania Member wanaongoza kwa kuwa weupe kwenye maswala ya mpira wa miguu.

    Habari wanajukwaa ikiwa mwaka 2023 unaishia ishia. Taja member ambao unaona wanauelewa wa kiwango cha chini kwenye mpira, au pengine unazi wa utimu umemzidia. Mimi kwangu ni hawa wafuatao wakabadilike kuelekea mwaka mpya 2024. 1) Laban Og huyu nyuzi zake hazinaga maana zaidi ya unazi...
  16. JamiiForums Tanzania Serikali iwalipe fidia watanzania wanaopata madhara wakiwa wanahojiwa na polisi. Ni wangapi ni vilema mpaka sasa kwa kipigo ?

    Niliingia mahabusu moja nikalala usiku mmoja ,sikuamini kama nipo Tanzania ,watu wanahojiwa kwa kupigwa na vyuma na wanavunjwa mifupa ,mtu analetwa akiwa mzima na anatoka akiwa mlemavu! Jeshi la polisi halina mbinu nyingine ya kipelelezi lazima watumie virungu? Interjensia inayosemwa kila siku...
  17. H

    JamiiForums Tanzania Msaada: Miguu ya mbele ya Probox inavuma sana

    Kwenu wataalam wa magari naomba msaada wa kubaini chanzo cha miguu ya mbele ya probox kutoa mvumo mkubwa kiasi ikifika speed 80 km/h hata redio huwezi kusikiliza. Tatizo lilianza mwaka mmoja uliopita tukashauriwa kubadili bearings tulifanya hivyo haikusaidia, kisha tukanunua used nacoz complete...
  18. JamiiForums Tanzania Jerry Silaa, kama ulivyotembea kwa miguu kipindi unatafuta kura, tembelea tena uone hali ya barabara ya Kitunda

    Jerry Slaa, ulitembea kwa miguu kutoka Banana mpaka Kitunda kuomba kura. Leo hii baada ya kupata hizo kura hujaonekana tena. Ni fedheha kubwa kwa eneo ambalo ni mkabala kabisa na Airport kuwa na barabara ambazo zinatia aibu. Kuna mahandaki ambayo mtu mwenye gari ndogo anafirikiria mara mbili...
  19. JamiiForums Tanzania Bodaboda atekwa, akatwa mikononi na miguu, afungwa kamba

    https://youtu.be/L0w57wSMol8 Credit: MillardAyo
  20. JamiiForums Tanzania Sheria ya droo (sare) kwenye mpira wa miguu iangaliwe upya

    Wakuu mpo? Naamini wengi tunaangalia mechi inayoelekea mwishoni kati ya Chelsea na Man City ila pia huenda tunnangalia mechi inayoendelea kati ya Lazio na Roma ambayo huenda ikaisha kwa suluhu ya 0-0. Hivi kwa logic ya kawaida ni sahihi Chelsea na Man City walifungana 4-4 wapate point moja...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…