Nimestaajabu leo nimeenda dukani kwa Kimario hapa Lumo ananambia embassy moja ni 300 wakati me najua ni 250 tu. Nilikua na buku nimekula miguu, utumbo na vichwa vya kuku nikabaki na 250, naenda dukani nipate embassy naambiwa ni 300, imeniuma sana.
Video Dada wa kiafrika kakutana na waziri mkuu wa Netherland, anakwenda ofisini kwa mguu akitokea nyumbani kwake... Dada anashangaa anahema kwa mshangao akikumbuka Afrika huku😃 mpaka katibu tarafa ana king'ora
Nakumbuka siku moja nikiwa Msasani alitokea kijana mmoja akaniomba nimtembeze kwenye mtumbwi.
Ila kwa bahati nzuri kukawa na boti linaenda Kigamboni siku hiyo, basi bhana nikamuunganisha akaniambia tuende wote mpaka taifa tukaangalie na Mpira kati ya Yanga na Mbeya city.
Alifurahi sana...
Wakuu hamjambo? Je mnajua kuwa huwezi kuwa mwanajeshi kama una miguu flat? Ni lazima miguu yako iwe na uvungu ili uwe mwanajeshi.
Naomba kujua siri ya hii kitu, pia ningependa kujua ni jeshi letu tu au ni majeshi yote duniani?
Msishangae wataalam
Inasemekana Goalkeeper mahiri wa Simba SC anao uwezo mkubwa kutumia miguu yake kudaka mipira.Sababu hii inapelekea kuruka upande wa kushoto tofauti na uelekeo wa mpira ili aweze kutumia miguu yake kudaka mpira.
Kongole Wanasimba kwa ushindi mnono, Kongole Wanalunyasi kupata...
Umevaa mchuchumio (high heels) afu unatembea umbali mrefu...eti Kimanga mpaka Kinyerezi siyo mbali ujue😳 napita shortcut😎...sawa siyo mbali mwenyeji wetu...sasa ndo utembee umevaa mchuchumio?
Jaman! Yaan wadada tumekuwa na vigimbi vya miguu wachezaji mpira wakasome! Tuvae raba bas au simple...
Nguvu nyingi za miguu alizonazo Aziz zinamsumbua sana katika kukadiria kupiga mpira kutoa pasi na hata kulenga lango, yaani mpira unakwenda kasi mno, unaenda mbali au unapaa juu ya lango hata kama akiugusa kidogo tu.
Hata yeye anashangaa kwanini mpira hauendi pale alipoukusudia. Yeye anaona...
Maisha ni safari ndefu sana maana tulipotoka sipo tulipo sasa maana maisha yamebadilika sana. Huko nyuma kipindi kama hichi cha sikikuu watu walicheza disco na kukata ngoma haswaa, wale wa kijijini walicheza mpaka nyasi ziling'oka. Walikuwepo making wa dancing floor yaani akianza kukata wote...
Kohh koooh...
Roberto Oliveira Gonçalves do Carmo, ukipenda unaweza kumuita Robertinho alikuwa mshambuliaji nguli aliyechezea vilabu vikubwa nchini brazil, mwisho mwa miaka ya 70 mpaka mwishoni mwa miaka ya 80. Kocha huyu anayewaonoa wekundu wa msimbazi kwa sasa, aliwahi kukipiga katika vilabu...
Sina mengi,
Kivuko cha buguruni chama binafsi sikioni kama Kiko salama, naomba mamlaka husika ikitupie jicho, baadhi ya mabati ambayo ndiyo tunapita juu yake yameanza kuacha space au kuachana.
Ni hayo tu.
Wasalaamu.
Tazameni hapa miguu ya Rosa Ree inavyovutia , mtoto guuu guuu 😂😂😂😂😂.
Sema Rosa Ree naona kaacha kumpost yule bwana wake manywele maana kule insta tulikuwa hatupumui .
Habari za midaa wakuu, ninashida ya miguu & viatu kutoa harufu baada ya kuvaa, hata nikivaa masaa 6 baada ya kuvua lazima vitoe harufu.
Mwenye anajua tiba naomba maelezo
Mesut Ozil, mchezaji wa zamani wa Arsenal, Real Madrid na kiungo wa timu ya taifa ya Ujerumani ametangaza rasmi kustaafu mpira wa miguu akiwa na umri wa miaka 34.
Akiandika katika page yake ya Instagram akisema "Ilikuwa ni dhahiri na sasa ni wazi kuwa muda wa kuacha mpira katika hatua kubwa...
Niwasalimu tena kwa jina la Jamhuri ya Muungano. "Kazi iendelee😅😅 (japo kuwa hamna kazi..)
Nimekaa na kuwaza hivi siasa ingekuwa mpira wa miguu; CCM hutumia mfumo gani na Chadema mfumo gani (tuseme vyama vingine wakae upande wa mashabiki)
Mimi nimewaza hivi; CCM hutumia mfumo wa 541 yaani...
Naomba msaada wa riba ya kuwashwa kwa miguu. Ni wiki wa tatu sasa miguu inawasha pasipo sababu hakuna vipele wala alama zozote za kuashiria fungus. Mwanzo nilihisi labda ni socks Ila nina kama wiki kama 2 sijavaa socks lakini bado miguu inawasha
Wiki nzima timu ya Simba walilinda uwanja wa Taifa (Kwa Mkapa) kabla ya mechi yao na Raja Casablanca iliyofanyika jana jioni.
Matokeo yake Simba wamechapwa mabao 3 kwa sufuri hapo hapo kwenye uwanja walioulinda kwa wiki nzima huku wakifanya ushirikina na imani za kishenzi za Kiswahili.
Ifike...
TIBA MBADALA NA BUJIBUJI
Hamna kitu inakera kama kwenda ugenini huku ukijua wazi kabisa kuwa miguu yako inatema chechex hadi moto unaweza kuwaka kwa harufu Kali.
Kama unajijua unapitia tatizo hilo hamna noma, Bujibuji's Remedies inafanya kazi kwa ajili yako.
Chukua buku mbili yako, ingia...
Jiji la Dar es salaam linaongoza kwa kuwa na Wanafunzi wengi wanaotumia Mabasi ya Shule kulinganisha na sehemu nyingine yoyote Tanzania.
Wanaotembea mpaka Shule - 92.6%
Wanaotumia Usafiri wa Umma - 3.7%
Wanaotumia Basi la shule - 1.5%
Wanaotumia Baiskeli - 1.1%
Wanaotumia Magari binafsi - 0.6%...
habari wakuu
gari yangu naisikia inagonga gonga kwa chini hasa nikipita kwenye barabara vumbi, ila kwenye lami sisikii ikigonga shida yaweza kua nini, gari ni nissan juke
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.