Askari Polisi wamgonga bodaboda na kuvunjia miguu yote, wamfikisha hospitali na kumtelekeza

Replica

JF-Expert Member
Aug 28, 2017
1,446
7,817
Polisi wa kituo cha Maturubai wamegonga Dereva pikipiki maeneo ya Mtongani, Dar karibu na kituo cha msikitini wakiwa na ist T 149 DTZ. Dereva wa bodaboda alivunjika miguu yote miwili katika ajali hiyo.

Baadae walimpeleka hospitali ya Temeke na kumtelekeza bila matibabu tangu saa saba mchana, wadau wameomba mamlaka husika msaada juu ya wahusika na kwa majeruhi ambae hajahudumiwa mpaka usiku huu.

Wamedai wanao ushahidi wa ajali husika kama video.
 
Bahati mbaya au makusudi!?
 
Bodaboda mpaka ifike2030, Kutokuwa na vilema wengi kama Angola,msumbiji waliotokana na mabomu
 
Polisi wa kituo cha Maturubai wamegonga Dereva pikipiki maeneo ya Mtongani, Dar karibu na kituo cha msikitini wakiwa na ist T 149 DTZ. Dereva wa bodaboda alivunjika miguu yote miwili katika ajali hiyo.

Baadae walimpeleka hospitali ya Temeke na kumtelekeza bila matibabu tangu saa saba mchana, wadau wameomba mamlaka husika msaada juu ya wahusika na kwa majeruhi ambae hajahudumiwa mpaka usiku huu.

Wamedai wanao ushahidi wa ajali husika kama video.
Sambazeni hio video.
 
Duh..
Itakuwa huyo bodaboda hakuwa na pesa ya matibabu wala bima ya afya
 
Tusimjudge mjeruhiwa kwa sababu tu ya kazi yake bila ya kuiona kwanza hiyo video,, we never know,, vipi kosa likaonekana kwa hao askari?????? 🤔
 
Back
Top Bottom