miguu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ramon Abbas

    JamiiForums Tanzania Eneo lenye hatua za miguu 250 kwa120 linaweza kutoa heka ngapi?

    Habari Jf. Naomba msaada wa kimahesabu ili nipate data kamili. Endapo kipimo cha heka kikiwa 70*70 (hatua za miguu) Je eneo lenye hatua 250 kwa 120 litatoa ekari ngapi. Karibuni
  2. Trubarg

    JamiiForums Tanzania Nchi hii watembea kwa miguu na abiria hatuna haki kabisa

    Nchi hii wanaothaminika ni wamachinga pekee watembea kwa miguu na abiria hawana haki kabisa na inawezekana wamefutwa kabisa kwenye kamusi ya wanyonge. Haiwezekani vituo vyote vya daladala na sehemu za watembea kwa miguu kuwa ndiyo sehemu ya kusimika biashara za hao wanaoitwa wanyonge. Siku...
  3. Idugunde

    JamiiForums Tanzania CHADEMA acheni kelele zisizo na kichwa wala miguu. Mikutano ya siasa huzuia maendelzo, kuweni wapole

    Acheni kujichetua akili na kujifanya hamjui kitu. Mmesahau operation Sangara ilivyokuwa inasababisha watu wasifanye shughuli za maendeleo? Mmesahau yule kijana mmachinga wa Morogoro alivyouwawa sababu ya mikutano yenu? Kubalini ukweli tu mikutano ya siasa inasbabisha kuingilia rabiba za watu...
  4. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Junior anaonyesha uwezo wake wa kutumia mikono na miguu

  5. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Paka wa nyumbani kafia miguuni mwangu; kuna cha kuhofia katika ulimwengu wa kiroho?

    Nyumbani kwangu hapa naishi na mke na watoto wangu wawili pamoja na binti wa kazi na ndugu wawili. Sasa kuna kipindi kuna paka mdogo alikutwa maeneo ya karibu na mtoto wangu basi mtoto wangu huyo akamleta. Ni kipaka cheupe chenye madoa ya brown kwa mbali, kilikuwa kidogo sana, Binafsi...
  6. HumbleBoy98

    JamiiForums Tanzania Mazoezi ya miguu (lower body workout) hasa vigimbi

    Mambo vipi wakuu? Natumaini mko poa. Wakuu mimi ni mdau wa mazoezi ya kujenga mwili japo Sina hela ya kwenda Gym huwa najipigia push up zangu mwenyewe tu, hata hivyo sipo interested Saana na mazoezi ya kunyanyua vitu vizito. Ninachohitaji sasahivi ni mazoezi ya miguu (lower body workout) hasa...
  7. uberimae fidei

    JamiiForums Tanzania Kigoma mpaka dar kwa miguu

    Uyu jamaa yuko katika hali gani,kutoka kigoma mpaka dar kwa miguu si mchezo.alafu mechi inahairishwa kizembe
  8. N

    JamiiForums Tanzania Johnthebaptist amevunjwa vunjwa miguu kama Tundu Lissu

    Huyu bwana hapa JF kwa sasa anatia huruma. Huyu ilikuwa humwambii kitu kuhusu Mwendazake> Pamoja na siasa nzuri za ufuatiliaji mambo ila huyu bwana alikuwa too biased kiasi kwamba kwa sasa ni kama anatia huruma. Kwa sasa anajaribu kuwa neutral ili kumsoma Mhe. Samia Suluhu Hassan kama...
  9. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Mke wako huwa anaoshwa miguu na kijana wake wa kutengeneza kucha?

    Mkeo huwa anaoshwa miguu kisha kukaushwa na wataalamu wa kusafisha kucha? Hii huduma imekuwa maarufu sana kwa wamama wa mjini, na wengi wao huwa wanapata huduma waume zao wakiwa kazini. Mdau unasemaje juu ya hii huduma? Zaidi soma...
  10. Hornet

    JamiiForums Tanzania Wanawake baada ya nywele tukumbuke na miguu pia

    Wanawake ni kundi lenye majukumu lukuki katika siku, pamoja na majukumu hayo usafi na urembo ni jambo muhimu pia. Wanawake wengi wamekuwa wakizingatia zaidi nywele na uso huku wakiacha miguu na kucha zake vikibaki kwenye hali taaban, Unakutana na mdada kasuka knotless kachora wanja wa lulu...
Back
Top Bottom