Dkt. Emmanuel Nchimbi, usianze vibaya kuwaambia CHADEMA wanatumia miguu kufikiri. Kumbuka orodha ya mafisadi wa elimu...

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
40,402
74,007
Jiepushe na siasa za majitaka....talk sense, talk substance, leta hoja zijadiliwe siyo ad hominem arguments!

c&p

Mafisadi wa elimu Tanzania: David Mathayo atakaswa​

https://facebook.com/100057608486785?__tn__=<
Faustine Ndugulile
23 February 2010 · 1-min read ·
Shared with Public
Public

Wiki nimebahatika kupata kijitabu kinachotafutwa kama lulu jijini, kiitwacho "mafisadi wa elimu" kilichoandikwa na Kainerugaba Msemakweli. Msemakweli anajiita ni mwanasheria na mwanaharakati na mtu asiyeogopa kusema kweli.Kijitabu hiki kimeorodhesha baadhi ya viongozi wa kitaifa wanaosemekana na wana elimu na vyeti feki.

Katika kijitabu hiki Msemakweli ame-challenge wale aliowaandika wamshtaki mahakamani kama wanaona wamedhalilishwa. Hadi sasa sijasikia hata mmoja wapo kufanya, jambo linaloleta hisia inawezekana tuhuma zikawa ni za kweli.Leo nimepata faraja kuona mmoja wa viongozi wanaotuhumiwa kuwa na elimu feki, Dk. David Mathayo amesafishwa na tume ya vyuo vikuu. Kwa mujibu wa mamlaka hii, Dk. Mathayo anavyo vyeti vinavyotambulika kitaifa na kimataifa.Bofya hapa kusoma zaidi.Nampa hongera Dk. Mathayo kwa uamuzi huu.

Natumai viongozi wafuatao waliotajwa na Msemakweli kwenye kijitabu chake cha mafisadi wa elimu nao watawasilisha vyeti vyao ili navyo vipate kutambulika: "Dk" Mary Nagu, "Dk" John Nchimbi, "Dk" Makongoro Mahanga, "Dk" Diodurus Kamala, "Dk Chrisant Mzindakaya,William Lukuvi, Victor Mwambalaswa na Anthony Diallo.
 
Makongoro Mahanga is dead and buried.
 
Bado ana siasa za miaka ile wapizani wakianza kutukana wataanza kulialia amuulize sa 100 alilamika sana kipindi fulani
 
Back
Top Bottom