miguu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. P

    JamiiForums Tanzania SoC04 Timu za mpira wa miguu ziwe huru kibiashara

    TIMU ZA MPIRA WA MIGUU ZIWE HURU KIBIASHARA. Kipindi cha wakoloni mataifa ya Afrika yalitawaliwa na nchi zilizoendelea hadi zenyewe zilishidwa kuendela, ukiangalia kwa macho ya kawaida utasema wakoloni walileta maendeleo kwa sababu walijenga barabara, Treni, Shule hadi baadhi ya wapigania uhuru...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Wachezaji wa kike wanaweka mpira tumboni kama kampeni ya kupinga kuachwa na klabu zao wakipata ujauzito. TFF wasema wanajua ni aina ya ushangiliaji

    Kwanza nianze kwa kuwapa maua yenu Jamiicheck, binafsi nawakubali sana kazi yenu. Big up sana sana. Twende kwenye mada. Naona kuna Picha za wachezaji wa kike wakiwa wanaweka mpira ndani ya jezi tumboni, baadhi ya watu wanasema hiyo ni kampeni ya kuvitaka vilabu wasiachane na wachezaji wao...
  3. Dudukwe

    JamiiForums Tanzania Utamaduni wa Usafi wa Zamani!

    Habari zenu Wanajukwaa! Leo nimekumbuka kipindi tuna miaka 3-7 ilikuwa ikifika jioni baada ya michezo ya siku nzima, mama anakagua miguu kama ni michafu kabla ya kuingia ndani (kuoga haikuwa lazima ila Kunawa miguu ilikuwa Jambo la Lazima, mara kumi usiingie ndani kama miguu ni Michafu) Baada...
  4. Shining Light

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya moto vipunguze spidi barabarani hasa kwa zile ambazo watembea kwa miguu wapo wengi

    Magari ya Mwendokasi yakwenda spidi mno lakini sasa yapo katikati ya Jiji. Watoto, watu wenye ulemavu, wazee wote pia wanahiaji kutumia hizi barabara pia, hivyo binafsi ninge pendekeza mwendo usiwe spidi sana atleast 60 hivi. Kwa sababu mabasi ya mwendokasi yakipunguza spidi yakiwa yanapita...
  5. Tankile

    JamiiForums Tanzania Natafuta Daktari wa tatizo la Kucha kuingia kwenye vidole vya Miguu

    Ndugu zangu kwema? Nina changamoto kubwa, sasa ni mwaka wa tatu toka 2022 kucha zangu za vidole gumba vya miguu zinachimba ndani na kunifanya vidole vyangu kupata vidonda visivyopona hivyo naombeni sana mtu anayemfahamu mtaalamu au daktari bingwa ama hospitali inayotibu hii changamoto niweze...
  6. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Waziri Bashungwa Akagua KM 20 za Barabara wa Miguu, Aagiza TANROADS & TARURA Kushirikiana Kusimamia Ubora

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa (Mb) amewaagiza Mameneja wa Mikoa wa Wakala wa Barabara (TANROADS) kushirikiana na Wakala wa Barabara Vijijini na Mijini (TARURA) katika usimamizi wa Ujenzi na matengenezo ya miundombinu ya barabara ikiwemo kushirikiana katika upimaji wa ubora na viwango vya...
  7. P

    JamiiForums Tanzania Barabara ya Mbezi Chini (Barabara ya Mwaikibaki) ni hatari kwa watembea kwa miguu, mpaka itokee ajali mbaya ndio ifanyiwe kazi?

    Wakuu kwema? Niende moja kwa moja kwenye mada. Barabara hii mbali na kuwa ni kero kwa watembea kwa miguu lakini pia ni hatari sana kwa usalama wao. Kwanza hakuna njia kwaajili ya watembea kwa miguu, halafu maajabu ni kwamba kuna vivuko kwaajili ya watembea kwa miguu. Sasa unaweka vivuko...
  8. O

    JamiiForums Tanzania Miguu kupata ganzi wakati wa kukaa muda mrefu

    Wanabodi habari za mchana. Nimepata tatizo la kupata ganzi katika miguu wakati wa kukaa especially wakati wa kujisaidia katika choo cha kukaa!nikiinuka nakua napata ganzi sana! Naomba msaada kujua tatizo linaweza kuwa nn? Dr Ahmed Albah-Shahwa na Madr wengine msaada.
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini Wanaotembea umbali mrefu kwa Miguu au wafanya Mazoezi ya Kutembea kwa Miguu hufaidika na yafuatayo?

    1. Hawazeeki upesi 2. Huwa ni Wakakamavu 3. Hawaugui hovyo 4. Huishi muda mrefu 5. Upumuaji wao (siyo Kujamba) huwa mzuri 6. Miili yao huwa na Mvuto 7. Uwezo wa Akili huongezeka Nayasubiri kwa bashasha zote Majibu yenu ili basi nami GENTAMYCINE kuanzia Kesho nianze Ratiba ya kutafuta kwa...
  10. O

    JamiiForums Tanzania Nikikaa muda mrefu napata ganzi za miguu

    Salam wadau wa afya, Nimepata tatizo kwa muda wa week tatu sasa, nikikaa muda mrefu mfano choo cha kukalia nikikaa kwa muda napata kusikia ganzi miguuni. Inaeza kuwa inasababishwa na nn?
  11. Akili ya kubeti

    JamiiForums Tanzania Ushauri wenu hapa kabla sijaingia miguu yote.

    Kuna hii investment wanaiita Pepsi vipi apa, Risk takers naweza kuweka mzigo au ndo ya Kalyanda..!
  12. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Kundi jingine linalojumuisha watu wajinga ni mashabiki wa mpira wa miguu

    Nilitaka niwaite wapumbavu lakini naona litakuwa neno kali sana. Hivi mtu anapokea mshahara kuhamasisha watu waingie kwa wingi uwanjani anakushawishi ukunje kaptura eti kumuenzi mchezaji mpira (mwajiriwa) na wewe na uzuzu wako unakunja, Jumamosi wameambiwa wapake bleach kichwani, watafanya...
  13. Replica

    JamiiForums Tanzania Askari Polisi wamgonga bodaboda na kuvunjia miguu yote, wamfikisha hospitali na kumtelekeza

    Polisi wa kituo cha Maturubai wamegonga Dereva pikipiki maeneo ya Mtongani, Dar karibu na kituo cha msikitini wakiwa na ist T 149 DTZ. Dereva wa bodaboda alivunjika miguu yote miwili katika ajali hiyo. Baadae walimpeleka hospitali ya Temeke na kumtelekeza bila matibabu tangu saa saba mchana...
  14. Shining Light

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Kila Bodaboda anayepata Ajali akipelekwa Taasisi ya Mifupa MOI hukatwa Miguu

    Nimekuwa nasikia tangu zamani kuwa ukipata ajali ya bodaboda kisha ukapelekwa MOI ni lazima ukatwe miguu yako. Hii ni kweli?
  15. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Video za udambwi/manjonjo kwenye mpira wa miguu

    Wanasema mpira sio kushinda magoli tu, bali mpira ni kujua kuuchezea na kuutawala. Huu ni uzi maalumu wa kutupia video za udambwi dambwi wa mastaa kwenye ulimwengu wa mpira wa miguu. Mimi naanza na hawa viumbe wawili Lionel Messi na Cristiano Ronaldo DONDOSHA NAWEWE CLIP YA VIDEO...
  16. G

    JamiiForums Tanzania Una Tatizo La Miguu Kuwaka Moto, Ganzi Na Mgongo Kuuma? Tumia Mkeka Tiba wa Reflexology Mat Kwa Suluhisho La Haraka...

    Je, umekuwa ukitafuta njia bora ya kutatua suala la miguu kuwaka moto usiku kucha au kujisikia ganzi mara kwa mara? Ungependa kuondoa maumivu ya mgongo ili uweze kufurahia maisha yako kikamilifu? Pia ungependa kujua suluhisho la haraka na rahisi la kuondoa ganzi na maumivu hayo Anza sasa...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Dkt. Emmanuel Nchimbi, usianze vibaya kuwaambia CHADEMA wanatumia miguu kufikiri. Kumbuka orodha ya mafisadi wa elimu...

    Jiepushe na siasa za majitaka....talk sense, talk substance, leta hoja zijadiliwe siyo ad hominem arguments! c&p Mafisadi wa elimu Tanzania: David Mathayo atakaswa https://facebook.com/100057608486785?__tn__=< Faustine Ndugulile 23 February 2010 · 1-min read · Shared with Public Wiki...
  18. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Serikali inatakiwa kujenga vivuko vya juu kwa ajili ya wavuka kwa miguu barabara ya Morogoro (Kimara-Mbezi)

    Hii barabara ni muhimu sana kwasababu inayotumiwa sana kuingia na kutoka Dar es Salaam, ni barabara ambayo iko busy muda wote ikipitisha magari ya kutosha huku pia watembea kwa miguu nao wakiwa wengi sana. Mara chache sana huwa natumia hii barabara nikiwa na gari binafsi au gari la umma, huwa...
  19. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Binadamu tuliumbwa tutembee peku. Viatu vinatuharibu miguu

    Kutembea peku kunafanya miguu itanuke na vidole viachane hivyo kumpa mtu balance nzuri sana. Viatu vinaharibu miguu ya binadamu na kumfanya asiwe na balance wala mwendo mzuri. Tutembee peku hapa na pale.
  20. C

    JamiiForums Tanzania TFF ichunguze ligi ya mpira wa miguu Tanzania Bara

    Kwa mpira wa jana Simba dhidi ya Singida nashawishika kusema TFF hawana budi kuchunguza Mechi zote ambazo simba Wanacheza. Inawezekana ndio mpango wa maboss wao kuwarubini Waamuzi ili wapate matokeo. Haiwezekani mechi zaidi ya 5 waamuzi Wanaochezesha mechi za Simba kufungiwa/ kulaumiwa Kibaya...
Back
Top Bottom