Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 7,224
- 12,729
Kutembea peku kunafanya miguu itanuke na vidole viachane hivyo kumpa mtu balance nzuri sana.
Viatu vinaharibu miguu ya binadamu na kumfanya asiwe na balance wala mwendo mzuri.
Tutembee peku hapa na pale.
Viatu vinaharibu miguu ya binadamu na kumfanya asiwe na balance wala mwendo mzuri.
Tutembee peku hapa na pale.