Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Hassan Abbasi, amewataka watendaji wa Baraza la Michezo la Taifa (BMT), kufanyakazi kwa bidii na wale watakaoonekana kushindwa kutekeleza majukumu yao Serikali itafuata taratibu za kuwaondoa huenda wanachokifanya sasa kimewazidi...
Umeniangusha mno leo ambapo hapo Studioni Kwako ulikuwa na Wageni (Wazungu) Wawili akiwemo Mjerumani Mr. Alvaro ambaye ni Mkufunzi wa Soka la Vijana na Wanawake.
Kiingereza chako cha Kumkaribisha Mjerumani Mr. Alvaro kwa Kumwambia ' Welcome Tanzania ' badala ya kusema (Kumwambia) ' Welcome to...
Hongera kwa Serikali ya awamu ya Tano inayoongozwa na Mzalendo nambari moja Dkt John Pombe Magufuli kwa kuthamini na kuwezesha kuwa na mazingira mazuri ya michezo
Ujenzi huo unasimamiwa na Shirikisho la Soka Nchini Tanzania ( TFF) maeneo ya Kigamboni Jijini Dar es Salaam.
Natafuta vifaa vya watoto vya kuchezea mazingira ya nnje kama shule ni.
Mfano bembea, mterezo, baiskeli za chuma zilizounganishwa na chuma mithili ya bembea n.k.
Utumapo bei ambatanisha na picha mbalimbali nichague.
Kwa anayefuatilia michuano ya Mapinduzi Zanzibar atakuwa shahidi wa hili,post match interview kwa makocha,hasa mfano wa yule wa Azam,George Lwandamina anayetumia lugha ya malkia (English),waandishi wanashindwa kumuuliza maswali na hata wakimuuliza unaona kinyaa kabisa ukizingatia inakuwa Live...
Naomba kumshauri waziri wa michezo na burudani aanze na kudhibiti vipindi vya michezo kwenye redio na TV.
Redio stations nyingi kama sio zote hapa nchini wanaanza vipindi vya michezo kuanzia sa 12 asubuhi hadi sa 7 mchana. Huu ni muda wa watu kufanya kazi nyingine za uzalishaji.
Hata Ulaya...
Mimi huwa navutiwa sana na Gentamycine hapa jukwaani , kwa mwaka huu 2020 kautendea haki hasa sisi tunaopenda soka la nyumbani. Japo kuna stori zake nyingine huwa ni za kutunga hasa za kumfagilia mnyama simba sports. Member gn amekuvutia hapa jukwaa la michezo kwa mwaka huu 2020?
CV ya Naibu Waziri wa Madini inakatisha tamaa kuona anapewa sehemu nyeti kiasi hiki.
Uwekezaji uliofanyika kwenye Madini unahitaji msimamizi mwenye business mind kama akina Mwanyika ambaye anaelewa michezo na sarakasi za mabeberu na makaburu au Kimei ambaye anaelewa maana ya sekta binafsi...
Uzi huu ni Kwa ajili ya wadau wa vyombo vya majini Kwa ajili ya shughuli za uvuvi,utalii na michezo.
Mnakaribiahwa Kwa ajili ya namna ya kufanya usajili,Sheria za vyombo vya majini, marekebisho, utunzaji, sehemu za kununua vipuri, changamoto za utumiaji vyombo, sehemu za kuunda boti na kununua...
Barua ya wazi kwa Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Sanaa Utamaduni na Michezo
Kwako Dkt. Hassan Abbas
Hatuna shaka kwamba wewe nikiongozi makini na unayefuatilia nakusimamia mambo kwa weledi mkubwa.
Hatuna shaka na Utendaji wako na msimamo wako katika kutetea aki na Maslahi ya vilabu vya soka...
Kampuni ya Meriadian Bet imefunga baadhi ya akaunti za wateja wao kwa kile wanacho dai kuwa ni uhakiki wa akaunti kutokana na ulaghai wa wateja wao. Cha kusikitisha ni kuwa wateja ambao tumefungiwa na tunapesa zetu kwenye akaunti hizo licha ya kutuma vitu wanavyo vitaka imechukua muda mrefu...
Kwa upande wa simba watafute pacha nzuri centre back nzuri na defensive mildfilder
kwa upande wa yanga nawapa pongezi kwa usajili wao. kiufupi wameimalika kila sehemu sijashangaa mkoko tonombe alipopewa tuzo ya MOTM
WE UMEONA NINI?
Wananzengo mnaonaje CCM tuipeleke ikatuwakilishe kwenye michezo ya kimataifa. Maana si kwa ushindi huu
World cup.
Mataifa ya africa afcon.
Aisee huko tutawashanza wengi nakuambia.
Kwenu CCM tunaomba timu ya ushindi muiingize kambini iboreshe mbinu nyingi zaidi.
Watanzania tumechoka kua...
wakuu nina kijana wangu anamaliza darasa la 7 mwakani.
nataka akiwa tayari kuenda o level nimpeleke shule ambayo haijali tu masomo ya kawaida bali michezo pia. nataka kutengeneza bonge la central defender kwa ajili ya professsional football na Taifa Stars.
asanteni.
MGOMBEA wa Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha ADA TADEA, Juma Ali Khatib, amesema anakusudia kuinua sekta ya michezo, kwa kuweka bajeti maalum ya kuendeshea ligi kuu ya Zanzibar, badala ya kusubiri wafadhili.
Alisema hayo ikiwa ni sehemu ya kampeni zake, zinazoendelea kufanyika kisiwani...
Dah,
CCM Mlijua kabisa Leo tarehe 11 October 2020 tutakua na mechi Muhimu ya Kimataifa ya Kirafiki kati ya Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars v/s Burundi lakini bado mkapitisha Fiesta lenu palepale. Uwanja wote umejaa vipara na zile ni nyasi halisi, kuota tena ni majaaliwa.
Uwanja sasa...
Aug. 2015. Akizungumza na vyombo vya habari jijini, Mkurugenzi wa Idara ya Habari, Assah Mwambene alisema Serikali hakitatoa ruhusa kwa chama chochote cha siasa kuutumia Uwanja wa Taifa kwa ajili ya shughuli za kisiasa.
"Tulipata barua ya CHADEMA kuomba kutumia Uwanja wa Taifa kwa ajili ya...
Mnaacha Kujadili Manchester United nao 'Kufungwa' Bao Sita 'Mishipa' yenu 'imewakakamaa' tu Kuisema na Kuijadili tu Klabu pendwa ya 'Geniuses' wengi duniani Liverpool. Kama FC Barcelona miezi kadhaa tu ametoka 'Kuchezea' Goli Nane ila cha 'Kushangaza' wala hamkutumia muda mrefu Kuwachambua ila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.