Tanzania sasa tumepata Sultana ,aloo ile michezo ya kiturkish ilikuwa na maono

Shocker

JF-Expert Member
Sep 15, 2012
1,946
3,820
Sasa ndio kazi mijibaba mikubwa mikubwa naiona ikinyenyekea kwa Sultana Samia,yaani Tanzania ni pekee duniani stresi ni tatizo linaloondoka bila ya kutumia makemikali.
karibu tutaona zile shangwe za mikutano zikianza na mihemko yake,karibu tutaona rasimu ya katiba ya Warioba ikipitishwa karibu tutaona viongozi wa kidini wakiachiwa huru karibu tutaona waTz wakiwa wenye furaha japo mzunguuko wa hela.
 
Tanzania Yangu nilitamani kukuona Mbaaaaaaali Ukipaaa Kimaendeleo lkn kwa sasa Watendaji watarudia kuwa Akina Vasco Da Gama, Ubadhirifu wa Mali za Umma unabisha Hodi kwa sana, Uzembe Kazini na Utoro ulikoma ila kwa sasa tusubiri, Warsha, Mikutano na Makongamano yasiyo na tija iko jikoni, NGOs za Ushoga zimeshaanza kujipanga kuanza yao, Wauza Sembe wako Honeymoon wakisherekea Paka kaondoka, Wakwepa Kodi wameshapewa misemo ya kutokea, Mikataba Feki na Miradi hewa ishapata Upenyo. Tembo siyo kitu tena hata wakisafirishwa kwenda Arabun poa tu kwanza wanazuia kuchimba madini.
Tulikuwa tumeminywa sana sana lkn Vitu vya Ovyo Ovyo kwa kiasi kikubwa vilipungua mnooo ngoja tusubiri.
 
Mpo ofsini mnajilipa mishahara minono huku mkiwambia wahitimu wajiajiri ...pumbavu ..

Mnawadanganya wananchi mnajenga barabara na madaraja wale rami huku nyie mkitembelea v8 na mkijijazia mapesa kwenye account shiiit...

Safi sana mama unaona mbali Sana'a...
 
subiri nafasi 6000 za ualimu zaja.

hivi ulisomea ualimu au uhasibu nikumbushe
 
Tanzania Yangu nilitamani kukuona Mbaaaaaaali Ukipaaa Kimaendeleo lkn kwa sasa Watendaji watarudia kuwa Akina Vasco Da Gama, Ubadhirifu wa Mali za Umma unabisha Hodi kwa sana, Uzembe Kazini na Utoro ulikoma ila kwa sasa tusubiri, Warsha, Mikutano na Makongamano yasiyo na tija iko jikoni, NGOs za Ushoga zimeshaanza kujipanga kuanza yao, Wauza Sembe wako Honeymoon wakisherekea Paka kaondoka, Wakwepa Kodi wameshapewa misemo ya kutokea, Mikataba Feki na Miradi hewa ishapata Upenyo. Tembo siyo kitu tena hata wakisafirishwa kwenda Arabun poa tu kwanza wanazuia kuchimba madini.
Tulikuwa tumeminywa sana sana lkn Vitu vya Ovyo Ovyo kwa kiasi kikubwa vilipungua mnooo ngoja tusubiri.
Sina shaka na haya uliyochapisha! Wacha tu nijibidiishe nami awamu hii niwe kwenye huo mkondo wa pesa
 
Tanzania Yangu nilitamani kukuona Mbaaaaaaali Ukipaaa Kimaendeleo lkn kwa sasa Watendaji watarudia kuwa Akina Vasco Da Gama, Ubadhirifu wa Mali za Umma unabisha Hodi kwa sana, Uzembe Kazini na Utoro ulikoma ila kwa sasa tusubiri, Warsha, Mikutano na Makongamano yasiyo na tija iko jikoni, NGOs za Ushoga zimeshaanza kujipanga kuanza yao, Wauza Sembe wako Honeymoon wakisherekea Paka kaondoka, Wakwepa Kodi wameshapewa misemo ya kutokea, Mikataba Feki na Miradi hewa ishapata Upenyo. Tembo siyo kitu tena hata wakisafirishwa kwenda Arabun poa tu kwanza wanazuia kuchimba madini.
Tulikuwa tumeminywa sana sana lkn Vitu vya Ovyo Ovyo kwa kiasi kikubwa vilipungua mnooo ngoja tusubiri.

jk hajawahi kubembeleza mtu,alikuwa na ushkaji,pamoja na kuwa alikuwa mwanaume alipigwa sana.

mama huyu ana vyote,mbaya zaidi anabembeleza watu,watz,wazee wa semina,wazee wa bodi.

Mungu wangu,sijui unatuonaje sisi!!!!!
 
Tanzania Yangu nilitamani kukuona Mbaaaaaaali Ukipaaa Kimaendeleo lkn kwa sasa Watendaji watarudia kuwa Akina Vasco Da Gama, Ubadhirifu wa Mali za Umma unabisha Hodi kwa sana, Uzembe Kazini na Utoro ulikoma ila kwa sasa tusubiri, Warsha, Mikutano na Makongamano yasiyo na tija iko jikoni, NGOs za Ushoga zimeshaanza kujipanga kuanza yao, Wauza Sembe wako Honeymoon wakisherekea Paka kaondoka, Wakwepa Kodi wameshapewa misemo ya kutokea, Mikataba Feki na Miradi hewa ishapata Upenyo. Tembo siyo kitu tena hata wakisafirishwa kwenda Arabun poa tu kwanza wanazuia kuchimba madini.
Tulikuwa tumeminywa sana sana lkn Vitu vya Ovyo Ovyo kwa kiasi kikubwa vilipungua mnooo ngoja tusubiri.
Usiogope mbambo yatakua Safi.
 
Mpo ofsini mnajilipa mishahara minono huku mkiwambia wahitimu wajiajiri ...pumbavu ..

Mnawadanganya wananchi mnajenga barabara na madaraja wale rami huku nyie mkitembelea v8 na mkijijazia mapesa kwenye account shiiit...

Safi sana mama unaona mbali Sana'a...
It will double and double Mzeee, kama huna ndio sahau sasa mkuu.
 
Mama anaruhusu wawekezaji waje hatuwezi kukosa kazi ,shughuli zinarudi ,biashara zinarudi...

Wiki mbili tu kashatoa ajira ,hilo jiwe lenu miaka sita ,sijui lilikuwa linakwa wapi ...

Bora mambo yarudi kama enzi za jk kuliko kubaki na huu mfumo wa kijinga kunyanyasa watu na kuwaita wanyonge shiit....
 
Wakati wa Magufuli:
Magufuli: Serikali yangu...

Watendaji wa Magufuli: Serikali ya Dr John Joseph Pombe Magufuli ...

Wakati huu wa Mama Samia:

Rais na watendaji wote: Serikali ya Jamhuri ya Muungano Tanzania ...

Hapo kuna tofauti kubwa sana kwenye hizo statements.
 
Snaaaa
 
Tanzania Yangu nilitamani kukuona Mbaaaaaaali Ukipaaa Kimaendeleo lkn kwa sasa Watendaji watarudia kuwa Akina Vasco Da Gama, Ubadhirifu wa Mali za Umma unabisha Hodi kwa sana, Uzembe Kazini na Utoro ulikoma ila kwa sasa tusubiri, Warsha, Mikutano na Makongamano yasiyo na tija iko jikoni, NGOs za Ushoga zimeshaanza kujipanga kuanza yao, Wauza Sembe wako Honeymoon wakisherekea Paka kaondoka, Wakwepa Kodi wameshapewa misemo ya kutokea, Mikataba Feki na Miradi hewa ishapata Upenyo. Tembo siyo kitu tena hata wakisafirishwa kwenda Arabun poa tu kwanza wanazuia kuchimba madini.
Tulikuwa tumeminywa sana sana lkn Vitu vya Ovyo Ovyo kwa kiasi kikubwa vilipungua mnooo ngoja tusubiri.
Huamini Kama Kama mungu mtu amekufa chato s ulaya nenda kaish huko

Ndan ya siku chache mama anaajir walimu elfu 6 ngosha ndan ya miaka mitano anaajir walimu elfu 5 unategemea wananch watakosa furaha Kweli binafs nauona mwanga mbele

Kesho naelekea TRA kufufua biashara yangu
 
Tanzania Yangu nilitamani kukuona Mbaaaaaaali Ukipaaa Kimaendeleo lkn kwa sasa Watendaji watarudia kuwa Akina Vasco Da Gama, Ubadhirifu wa Mali za Umma unabisha Hodi kwa sana, Uzembe Kazini na Utoro ulikoma ila kwa sasa tusubiri, Warsha, Mikutano na Makongamano yasiyo na tija iko jikoni, NGOs za Ushoga zimeshaanza kujipanga kuanza yao, Wauza Sembe wako Honeymoon wakisherekea Paka kaondoka, Wakwepa Kodi wameshapewa misemo ya kutokea, Mikataba Feki na Miradi hewa ishapata Upenyo. Tembo siyo kitu tena hata wakisafirishwa kwenda Arabun poa tu kwanza wanazuia kuchimba madini.
Tulikuwa tumeminywa sana sana lkn Vitu vya Ovyo Ovyo kwa kiasi kikubwa vilipungua mnooo ngoja tusubiri.

kazi yake mungu haina makosa,

Kama umekasirika Sana basi mwambie Gwajima akamfufue,

Mama SAMIA ndiyo kwanza ameingia na ww unaanza kupiga ramli,acha uchawi.
 
Tanzania Yangu nilitamani kukuona Mbaaaaaaali Ukipaaa Kimaendeleo lkn kwa sasa Watendaji watarudia kuwa Akina Vasco Da Gama, Ubadhirifu wa Mali za Umma unabisha Hodi kwa sana, Uzembe Kazini na Utoro ulikoma ila kwa sasa tusubiri, Warsha, Mikutano na Makongamano yasiyo na tija iko jikoni, NGOs za Ushoga zimeshaanza kujipanga kuanza yao, Wauza Sembe wako Honeymoon wakisherekea Paka kaondoka, Wakwepa Kodi wameshapewa misemo ya kutokea, Mikataba Feki na Miradi hewa ishapata Upenyo. Tembo siyo kitu tena hata wakisafirishwa kwenda Arabun poa tu kwanza wanazuia kuchimba madini.
Tulikuwa tumeminywa sana sana lkn Vitu vya Ovyo Ovyo kwa kiasi kikubwa vilipungua mnooo ngoja tusubiri.
Ni jambo la muda tu, watu watarudi hapa kumponda baada ya muda tena hawa hawa wanaomsifu sasa.
 
Back
Top Bottom