miaka

Fushigi Yūgi (Japanese: ふしぎ遊戯, lit. "Mysterious Game"), also known as Fushigi Yûgi: The Mysterious Play or Curious Play, is a Japanese shōjo manga series written and illustrated by Yuu Watase. It tells the story of two teenaged girls, Miaka and Yui, who are pulled into The Universe of the Four Gods, a mysterious book at the National Diet Library. It is essentially based on four mythological creatures of China. Shogakukan serialized Fushigi Yûgi in Shōjo Comic from December 1991 to May 1996 and later compiled the manga into eighteen tankōbon volumes.
Studio Pierrot adapted it into a fifty-two episode anime series that aired from April 1995 to March 1996 on TV Tokyo. The anime spawned three original video animation (OVA) releases, with the first having three episodes, the second having six, and the final OVA, Fushigi Yûgi: Eikoden, spanning four episodes.
A thirteen-volume Japanese light novel series, written by Megumi Nishizaki, followed Fushigi Yûgi. Shogakukan published the novels from January 1998 to September 2003. Watase also released two prequel manga series: Fushigi Yûgi: Genbu Kaiden, which ran from March 2003 to February 2013, and Fushigi Yûgi: Byakko Senki, which began serialization in August 2017.
In North America, Viz Media licensed the manga series for an English-language release in 1999. The anime series was first licensed by Geneon Entertainment and re-licensed by Media Blasters in 2012.

View More On Wikipedia.org
  1. Afungwa miaka 5 jela kwa kumkosoa Mfalme Mohammed VI

    Mahakama imetoa adhabu hiyo dhidi ya Saïd Boukioud aliyekosoa uamuzi wa Serikali ya Mfalme Mohammed VI wa kurejesha na kuimarisha uhusiano wa Kidiplomasia na Serikali ya Israeli. Boukioud alikutwa na hatia ya kuhujumu Utawala wa Kifalme kwa kumpinga Mfalme hadharani tena kwa kutumia Kifaa cha...
  2. Mwalimu aliyemcharaza Mwanafunzi wa miaka 9 Viboko 107 afikishwa Mahakamani

    Jackson M. Marucha, Mwalimu kutoka Kaunti ya Nyamira Kenya, anatuhumiwa kumpa adhabu hiyo Mwanafunzi wa Darasa la 4 mwenye miaka 9 baada ya kuripoti kuibiwa nguo zake za Shule. Mwalimu alijaribu kuficha kitendo hicho kwa kumfungia Mwanafunzi Bwenini na kumnyima matibabu baada ya kugundua ana...
  3. Afungwa Jela miaka 30 kwa kumbaka mfanyakazi wake wa ndani

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Kibaha Mkoa wa Pwani imemhukumu kifungo cha miaka 30 jela Mkazi wa Miembesaba mkoani humo, Otienal Ibrahimu (36), baada ya kumkuta na hatia ya kumbaka mfanyakazi wake wa ndani mwenye umri wa miaka (15). Hukumu hiyo imetolewa Julai 31, 2023 na Hakimu Mkazi wa...
  4. Waislam tumedanganywa kwa miaka mingi sana. Tuamke, tufanye siasa misikitini na popote pale

    Waislam kwa miaka mingi sana tumejazwa ujinga kwa makusudi kabisa kuaminishwa kuwa ni mwiko kuchanganya siasa na dini. Huo ni uongo na tumekuwa tukijazwa ujinga "brainwashed" kuamini hilo. Uislam haujatukataza popote kufanya siasa. Uislam ni mfumo kamili wa maisha ya binadam. Tusidanganywe...
  5. Angalau hivi sasa wanawake wa miaka 30+ wameanza kujitambua

    Salaam wote! 1993/1994 nyie kina dada, mama mliozaliwa hapo shaka bila hivi sasa mna 30 years old...... Huku mtaani naona nilipo kama wanaanza kusalimia salimia hivi yaani zile dharau dharau za 2018 zimesha isha isha hivi. Naamini na nyie mnapewa namba bila hata kuomba....😁😁 Sema sasa kuna...
  6. "Fezco" Muigizaji wa Tamthilia ya Euphoria afariki dunia akiwa na miaka 25

    Cloud amefariki dunia akiwa na miaka 25 kwa kile kilichoelezwa na familia kuwa ni tatizo la Afya ya Akili ikiwa ni wiki 1 tangu atoke kwenye mazishi ya baba yake mzazi. Kupitia tamthilia za Euphoria inayotayarishwa na kampuni ya HBO, alifahamika kama Fezco ‘Fez’ O’Neill ambaye ni Muuza Dawa za...
  7. Tundu Lissu: Hayati Magufuli alisema ni kichaa peke yake anaweza kukubali mkataba wa miaka 99 bandari ya Bagamoyo

    Mimi nilikuwa namchukia sana Magufuli siwezi kumsingizia neno, "Magufuli alisema Mkapa na Kikwete wameuza nchi kwa mikataba mibovu akaanza kuivunja mikataba yote,tukashtakiwa" Tundu Lissu#MkutanoOkoaBandariZetuNyakanazi. "Magufuli alisema awa Wazee wameharibu sana nchi,tukamwambia...
  8. Picha: Ualimu ni Wito

  9. Miaka 30 Jela ukilala na au kumtia mimba binti wa miaka 18 yupo form 5 ila ni sawa kwa binti wa chuo, form 5 iwe kama chuo hao mabinti sio watoto.

    DOUBLE STANDARDS. Utajiskiaje ukiona mtoto wako wa kiume mwenye miaka 18 anaozea jela miaka 30 kisa kakamtwa anafanya mapenzi na girlfriend wake mwenye miaka 18 ambaye yupo kidato cha tano ? Ajabu ni kwamba kuna mzee mwenye miaka 50 kampa mimba binti wa chuoni mwenye miaka 18 na wala hakuna...
  10. Wanawake wanaofika miaka 30 na hawajaolewa wanajishusha sana kiasi cha kushangaza, zile nyodo na kujiona matawi zinayeyuka

    Nimeshajionea mara kadhaa hasa hizi pisi za chini ya miaka 26 huwa wanajiona dunia ni yao na wa kupanga vigezo ni wao. Kuwa approach mabinti wa umri huu wengi mkizinguana kidogo tu hawaoni shida ku break up, usipokuwa na gari ama vimali ni ngumu kumpata, n.k. wafika 30 sasa ndio utaanza kuona...
  11. Hivi kuwa single mwisho miaka mingapi? Isijekuwa nishapitiliza.

    Wakuu tujuzane hapa , naona Kama nishapitiliza, au niendelee tu kuwa single.
  12. EFF chatimiza Miaka 10 (live coverage by SABC)-CHADEMA mnajifunza nn?

    Chama Kikuu cha Upinzani nchini Afrika Kusini - Economic Freedom Fighters (EFF) Leo wanatimiza miaka 10 toka kuanzishwa kwake. CHADEMA mna ya kujifunza hapa.
  13. Allen Swift, mtu anayeshikilia rekodi ya kuendesha gari moja tu kwa miaka 82

    Mr. Allen Swift. Alizaliwa: 1908. Akafariki: 2010. Huyu mwamba aliendesha gari moja tu, gari hilohilo peke yake kwa miaka 82. Hebu fikiria umiliki na kuendesha gari moja tu kwa muda wote huo! Mr. Allen Swift ( Springfield, MA ) alipewa zawadi ya gari hili mwaka 1928 Rolls-Royce Piccadilly-P 1...
  14. Naiogopa miaka yangu 40

    Ni kwamba miaka 11 iliyopita nilimtaliki mke wangu, kabla ya kukubali kuwa nimemtaliki, nilienda kumuomba turejeane. Sasa alikataa na kuniambia ananiona bado nina ujana na utoto mwingi hivyo ataniacha mpaka angalau nifike 40 ndio ataangalia kama anaweza kukubali. Ni kwamba miaka hii 11 nina...
  15. Waafrika wasusia hafla ya Urusi ambao miaka yote huhudhuriwa na viongozi wote wa Afrika

    Urusi ilitegemea kutumia hii hafla kuonyesha uungwaji mikono na dunia, ila imetengwa....na inazidi kutengwa na pia kupokea kichapo kutoka kwa kataifa kadogo jirani hapo.... Russian President Vladimir Putin had hoped for a record turnout of African leaders at his second Russia-Africa Summit...
  16. Bilioni 423 zatekeleza miradi ya maendeleo Singida miaka miwili ya Rais Samia

    Katika kipindi cha miaka miwili serikali imeupatia Mkoa wa Singida Sh. bilioni 437.683 sawa na ongezeko la asilimia 252.8 ya Sh. bilioni 124 zilizotolewa mwaka 2019/2020 kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo. Mkuu wa Mkoa wa Singida, Peter Serukamba, alisema hayo jana wakati akitoa...
  17. Wazazi wanaoshangaa ama kukataa kuamini watoto wao kuanza mapenzi chini ya miaka 18 huwa wanajifanya hawajui ukweli au kudhani umri huo bado mtoto?

    Na ndio maana elimu ya uzazi hupewa tangu tulipokuwa darasa la saba na huko sekondari form 3, ni sababu wengine wanakuwa washaanza kufanya ama kushawishiana kuanza michezo hii. Binafsi nakumbuka shuleni kwetu darasa la sita mwaka 2004, darasani wengi tulikuwa na miaka 12 hadi 14, wengine...
  18. Kampuni ya ICTE kutoka Ufilipino imeshinda tenda kuendesha bandari ya Darbun, SA kwa miaka 25

    Kampuni ya uendeshaji wa shughuli za bandari ya International Container Terminal Services kutoka Ufilipino imeshinda kandarasi ya kuendesha bandari ya Durban nchini Afrika Kusini kwa kandarasi ya miaka 25. Swali, kwa nini sisi DP World hatuambiwi watafanya kazi kwa muda gani? =======...
  19. Maisha yamekupiga? Jiite Mtume, Kuhani au Nabii ndani ya miaka 3 una gari lako

    Binafsi nilikuwa miongoni mwa watu ambao ukiwasema vibaya hao niliowataja juu naona kabisa kuwa unakwenda kulaaniwa na hutasamehewa. Yaani niliona ni heri uue unaweza kusamehewa lakini si kuwasema hao wanaoitwa watumishi wa Mungu. Sasa niko huru, naweza kujadili na kumsema au kumkemea mpuuzi au...
  20. Miaka ya 80, 90 hadi 2000 Dar ilikuwa inachangamshwa na ngoma mbali mbali za kitamaduni, je wewe unakumbuka ngoma ipi?

    Enzi hizo ilikuwa ukienda Kinondoni kuanzia ijumaa hadi jumapili maeneo mengi yalikuwa yakitawaliwa na ngoma ya sindimba, ambayo inasemekana asili yake ni huko mkoani Mtwara na wenyeji wa ngoma hiyo ni wamakonde haswa wale waliochanjwa chale. Siku hizo hizo za ijumaa hadi jumapili ilikuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…