Msimu wa mafua: Waafrika tunalaumu wazungu kuchelewesha maendeleo, tunashindwaje kugundua dawa ya mafua baada ya miaka 60 ya uhuru wa nchi zetu?

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
40,404
74,012
Msimu wa mafua:

Mafua ni ugonjwa wa tropics in most cases. Tunawalaumu wazungu kwa kila underdevelopment tuliyo nayo. Sasa ni miaka zaidi ya 60 tangu nchi nyingi za kiafrika zipate uhuru wake. Tunashindwaje kugundua dawa ya mafua ambayo yanasumbua sana wananchi wetu?

===========

A cold is a mild viral infection of the nose, throat, sinuses, and upper airways. It’s very common, especially during the rainy season, and seems to go on forever. It usually clears up on its own within a week or two.

The main symptoms of a cold include:
  • a sore throat
  • a blocked or runny nose
  • sneezing
  • a cough
More severe symptoms, including a high temperature (fever), headache and aching muscles can also occur, although these tend to be associated more with flu.

What should you do?​

There’s no cure for a cold, but you can look after yourself by:
  • resting, drinking plenty of fluids and eating healthily
  • taking painkillers, such as paracetamol to reduce any fever or discomfort
  • using decongestant sprays or tablets to relieve a blocked nose
  • trying remedies such as gargling salt water and sucking on sweets
Many painkillers and decongestants are safe for older children and adults to take, but might not be suitable for babies, young children, pregnant women, people with certain underlying health conditions, and those taking certain other medications. Talk to your doctor if you are unsure.

When to see your Medical Practitioner​

If you or your child has a cold, there’s usually no need to see your family doctor as it should clear within a 10 days or so.

You need to contact your doctor if:
  • your symptoms last for more than three weeks
  • your symptoms get worse
  • you have difficulty to breath
  • you develop complications like chest pain or coughing up blood.
It might also be a good idea to see a doctor if you’re concerned about your child or an elderly person, or if you have another serious illness or lung condition.

How do colds spread?​

A person becomes contagious a few days before their symptoms begin until their symptoms have gone. This means most people will be infectious for around two weeks.

You can catch the virus from an infectious person by:
  • touching an object contaminated by infected droplets and then touching your mouth, nose or eyes
  • touching the skin of someone who has infected droplets on their skin and then touching your mouth, nose or eyes
  • inhaling tiny droplets that contain the cold virus – these are launched into the air when a person coughs or sneezes
Colds spread most easily among groups of people in constant close contact, such as families and children in school. A number of different viruses can cause a cold, so it’s possible to have several colds one after the other, as each one may be caused by a different virus.

How can I stop a cold spreading?

You can take some simple steps to help prevent the spread of a cold. For example:
  • Wash your hands regularly, especially when touching your nose or mouth and before handling food
  • always sneeze and cough into tissues you should throw away used tissues immediately and wash your hands
  • clean surfaces regularly to keep them free of germs
  • do not share your cup, plates and cutlery.
  • don’t share towels or toys with someone who has a cold
It’s been suggested that vitamin c, zinc and garlic supplements may help reduce your risk of getting a cold, but there’s currently not enough evidence to support this. Discuss any concerns with your personal trusted medical practitioner.
 
Mkuu magonjwa mengi ya virus huwa inakuwa kazi sana kupata tiba ya kuponya bali kunakuwa na tiba ya kupooza.

Hata wao hawana dawa ya mafua bali ya kutuliza.

Hata sisi pia tunazo nyingi tu za miti shamba.
Mjinga wewe sio unaropoka tu
 
Dawa ya mafua haijagunduliwa hadi leo hata na hao wazungu wameshindwa.

Ila sisi waafrica tunazo toka enzi za mababu na mababu.

Mfano mti wa Mkaratusi
 
Mkuu magonjwa mengi ya virus huwa inakuwa kazi sana kupata tiba ya kuponya bali kunakuwa na tiba ya kupooza.

Hata wao hawana dawa ya mafua bali ya kutuliza.

Hata sisi pia tunazo nyingi tu za miti shamba.
Mjinga wewe sio unaropoka tu
why not a vaccine?
 
Msimu wa mafua:

Mafua ni ugonjwa wa tropics in most cases. Tunawalaumu wazungu kwa kila underdevelopment tuliyo nayo. Sasa ni miaka zaidi ya 60 tangu nchi nyingi za kiafrika zipate uhuru wake...
Mtumwa wewe mbona hukijiuliza kwanini WHO ilikataa kusajili dawa/Chanjo iliyotengenezwa na South Africa inayohusu CORONA na wala hata hakusema lete Maabara tupime?

Sasa kaa ukijua hata Chanjo ya Malaria ipo Africa ila WHO haitaki kuisajili kwakuwa ikisajili itauwa viwanda vya Mabeberu huko Ulaya.Halafu Wewe acha kututukana kwakuwa umeungana na Wakoloni.
 
Mtumwa wewe mbona hukijiuliza kwanini WHO ilikataa kusajili dawa/Chanjo iliyotengenezwa na South Africa inayohusu CORONA na wala hata hakusema lete Maabara tupime? Sasa kaa ukijua hata Chanjo ya Malaria ipo Africa ila WHO haitaki kuisajili kwakuwa ikisajili itauwa viwanda vya Mabeberu huko Ulaya.Halafu Wewe acha kututukana kwakuwa umeungana na Wakoloni.
Let us argue scientifically,, weka publications za hizo chanjo za corona, malaria tuone wazungu walivyokataa..CEO wa WHO ni mwafrika, how come a vaccine, a certified one inakataliwa. Weka investigators brochure hapa, siyo maneno ya bashite!
 
Back
Top Bottom