Miaka nenda rudi mvua huleta shida barabara ya Jangwani

Muite

JF-Expert Member
Sep 10, 2013
2,347
4,807
Nimeona leo jinsi mvua ilivyoleta shida pale jangwani.

Sio leo tu bali ni miaka nenda rudi, miaka yote hali ni hiyohiyo. Tangu uhuru hadi leo tupo serikali awamu ya 6.

MUDA MWINGINE NAHISI NAWEZA KUKUFURU lakini MWENYEZI MUNGU ANISAMEHE. NAHISI UAFIRIKA NI LAANA.

Mwafrika ni jamii ya mwisho KIAKILI na ndio maana hata kwenye mambo ya msingi wao hawayapi kipaumbele na yale yasiyokuwa na tija ndio huyapa kipaumbele.

NA KIBAYA SANA KWA AFRIKA hasa watendaji wa serikali huwa wanasubiri TAMKO LA RAIS ndipo wachukuwe hatua.

Kwa issue ya Jangwani siwezi kumlaumu RAIS bali watendaji walipo chini yake na washauri kuanzia Waziri mkuu kushuka chini.
 
Nimeona leo jinsi mvua ilivyoleta shida pale jangwani.

Sio leo tu bali ni miaka nenda rudi, miaka yote hali ni hiyohiyo. Tangu uhuru hadi leo tupo serikali awamu ya 6.

MUDA MWINGINE NAHISI NAWEZA KUKUFURU lakini MWENYEZI MUNGU ANISAMEHE. NAHISI UAFIRIKA NI LAANA.

Muafrika ni jamii ya mwisho KIAKILI na ndio maana hata kwenye mambo ya msingi wao hawayapi kipaumbele na yale yasiyokuwa na tija ndio huyapa kipaumbele.

NA KIBAYA SANA KWA AFRIKA hasa watendaji wa serikali huwa wanasubiri TAMKO LA RAIS ndipo wachukuwe hatua.

Kwa issue ya jangwani siwezi kumlaumu RAIS bali watendaji walipo chini yake na washauri kuanzia Waziri mkuu kushuka chini.
Wanadai mwakani wanajenga daraja hapo na hela tayar ipo mfuko wa shati,
 
Back
Top Bottom