Hawa wanaopika na kupakua miaka na miaka wakidai "bado tunachunguzana"

Mkuu kama ni mwanao utasema ivoivo?
Maisha yana vitu vingi sana, kaa ukijua binadamu sio ng'ombe ana akili yake. Lazima ukubali kuwa kila mtu ana uhuru wa kuishi anavyotaka. Kuendekeza kumlazimisha mtu aishi unavyotaka utashindwa kuishi unavyotaka wewe, mwishoni utapotea kwenye reli. Utashindwa kufocus kwenye malengo yako. Itapelekea kuukaribisha umasikini kwako.
 
Ushauri nasaha.
 
Kuna dem kipindi cha nyuma sijaoa nilitokea kumpenda na nikapiga show ila kumbe ana mshkaji wake wanapendana na wamewekana ndani mimi sijui na sijawahi kuuliza kama ana mtu nilielewa mzigo nikamwambia naye akanielewa tukaruka majoka ndipo nikaja jua anamtu anakaa nae nikaweka kando.
siku zikaenda dem akauliza kwahyo ndio bas tena au nikamwambia unakaa na mtu mimi wa nini tena dem akafunguka kwamba kakaa na msela miaka 3 ila haoni dalili zozote za ndoa hivyo anajaribu bahati yake pengine sikuweza endelea nae ila nilijifunza hizi sogea tuishi unaweza pat mtoto sio wako maana mtu hana uhakika wq misimamo yako. Alafu kusema unamchunguza hiyo ni sababu ya kitoto mtu timamu unamjua kwa matendo yake na matendo hayajifichi kamwe labda kama hujakuzwa kuwa mwanaume kamili
 
Naunga mkono hoja ya aliyesema ni life style wameamua waishi hivyo, mara nyingi ni mmoja hataki commitment ni aghalabu kukuta wote hawataki commitment. Mmoja anakuwa anasikilizia mchongo mwingine utick 😂

Hamna chakuchunguza siku zote hizo.
 
Back
Top Bottom