Dalili za mtu anayekaribia kufa ambaye sie mgonjwa

Superbug

JF-Expert Member
Jan 31, 2018
12,415
30,925
1. Kuonea watu aibu

2.Haangalii watu machoni

3.Akitembea huangalia chini

4.Wasiwasi usio na sababu

5.Hofu

6.Mpweke wa nafsi muda wote

7.Mabadiliko ya ghafla ya tabia. (Aweza kuwa mkali au mpole)

8.Hupenda kukamilisha Jambo alifanyalo haachi kiporo Mara nyingi wanahisi Kuna Jambo kubwa litamtokea muda si mrefu hivyo ni kama wanajiandaa.

Ukiona dalili hizi kwa binadamu ambae haumwi kabisa ujue niagieni inagonga hodi.

Mshana Jr upooooo?
 
Nilishuhudia watu 20 wakifa pale muhimbili na mmoja alinifia mkononi kwenye vyoo vya kibasila wakati namkalisha kwenye kiti Cha plastic kilichotobolewa tundu KATIKATI
 
Wewe usitudanganye labda ukikaribia kufa wewe ndio tuangalie hizo dalili

3. Hawaangalii watu usoni anaangalia chini mimi toka najitambua huwa sio mara nyingi mtu kumwangalia usoni maana watu hudai kua macho yangu ni mabaya wengine husema ninadharau wengine macho ya kikatili hivyo basi ili kuepuka kero na watu huwa kwa mara nyingi huwa simwangalii mtu usoni

Na sijafa hadi sasa naandika hapa



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya ndio madhara ya serikali kulazimisha watu kuwa mbaazi ni mboga haya Ona unavyojichanganya sasa... uzi wako umesema unazungumzia wale ambao hawaumwi mara tena unaingizia kuwa uzoefu wako umejikita kwa wagonjwa wa Muhimbili tena walio mahututi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mara mtu umefanya utafiti Muhimbilina wagonjwa. Sasa ushasema mtu sio mgonjwa mara upo kwa wagonjwa.

Unachoongea hapa ni mental disorders these are anxiety, depression etc. Wagonjwa lazima wanakuwa na hof hasa wale wanajua wanakufa.

Its tough hasa wakiwa wanawaza watoto wao n wapendwa wao etc. Sio jambo dogo na masihara. Mwenye nguvu ni ya kutoa uhai na kifo ni Mwenyezi Mungu pkee yake.

Usidhani ukiamka ni nguvu zako. Hapana, ni nguvu na rehema kutoka kwakwe aliye juu. Hakika sio kwa nguvuu zetu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom