Askari kumpiga Mbunge ni sawa na Mgonjwa kumpiga Daktari

Kididimo

JF-Expert Member
Sep 20, 2016
3,791
3,360
1. Mbunge ni Kiongozi.
2. Mbunge ni mwakilishi wa umma
3. Mbunge ni mtunga sheria zinazohusu maisha yetu na ya askari pia.
4. Mbunge ni mtu anayehishimika na anaheshimiwa. Kabla ya kutaja jina lake tunaanza na neno Mheshimiwa (Honarable).

Ni nini kinapelekea hadi Mbunge apigwe kama kibaka tena mbele ya umma uliomuamini na uliomchagua?

Je, umuhimu wa hawa watu kwa hayo manne niliyoyataja umeondoka?

Matatizo yetu kama wananchi au askari yatawakilishwaje kunakohusika endapo tutatia vilema wabunge wetu?

Je, hatuna njia mbadala ya kudeal na mbunge mkosefu bila kumpiga au kumtia kilema?

Hili linatutia doa sana mbele ya jamii na dunia.
 
Umepotoka mkuu. Mbunge ni binadamu na kama kawaida binadamu wapo vichaa na wenye akili timamu. Ukiona mbunge anakwenda kutafutia sifa magereza ujue huyo ni kichaa na hana akili. Mbunge wako anatafuta popularity Magereza? Unafahamu kuna wafungwa kiasi gani na wamefungwa kwa makosa gani?

Hivi unafahamu kuwa kuna watu wakitoroka humo wakawa uraiani kwa wiki moja tu madhara yake ni makubwa kupindukia? Acheni kujipa moyo. Sheria haina mkubwa. Fuateni taratibu na sheria za nchi mtafanikiwa.

Mnachofanya cha kuwafurahisha wazungu hakitawasaidia maana watanzania hawatawaamini
1. Mbunge ni Kiongozi.
2. Mbunge ni mwakilishi wa umma
3. Mbunge ni mtunga sheria zinazohusu maisha yetu na ya askari pia.
4. Mbunge ni mtu anayehishimika na anaheshimiwa. Kabla ya kutaja jina lake tunaanza na neno Mheshimiwa ( Honarable).
Ni nini kinapelekea hadi Mbunge apigwe kama kibaka tena mbele ya umma uliomuamini na uliomchagua ?
Je, umuhimu wa hawa watu kwa hayo manne niliyoyataja umeondoka?
Matatizo yetu kama wananchi au askari yatawakilishwaje kunakohusika endapo tutatia vilema wabunge wetu?
Je, hatuns njia mbadala ya kudeal na mbunge mkosefu bila kumpiga au kumtia kilema?
Hili linatutia doa sana mbele ya jamii na dunia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umepotoka mkuu. Mbunge ni binadamu na kama kawaida binadamu wapo vichaa na wenye akili timamu. Ukiona mbunge anakwenda kutafutia sifa magereza ujue huyo ni kichaa na hana akili. Mbunge wako anatafuta popularity Magereza? Unafahamu kuna wafungwa kiasi gani na wamefungwa kwa makosa gani? Hivi unafahamu kuwa kuna watu wakitoroka humo wakawa uraiani kwa wiki moja tu madhara yake ni makubwa kupindukia? Acheni kujipa moyo. Sheria haina mkubwa. Fuateni taratibu na sheria za nchi mtafanikiwa. Mnachofanya cha kuwafurahisha wazungu hakitawasaidia maana watanzania hawatawaamini

Sent using Jamii Forums mobile app
Nyani haoni kundule...kwa hiyo wabunge na wafuasi wa chadema walienda kutafuta sifa magereza?

Vipi alipoenda Pole pole na msururu wa gari za serikali au yeye aleinda kumtoa Msigwa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umepotoka mkuu. Mbunge ni binadamu na kama kawaida binadamu wapo vichaa na wenye akili timamu. Ukiona mbunge anakwenda kutafutia sifa magereza ujue huyo ni kichaa na hana akili. Mbunge wako anatafuta popularity Magereza? Unafahamu kuna wafungwa kiasi gani na wamefungwa kwa makosa gani? Hivi unafahamu kuwa kuna watu wakitoroka humo wakawa uraiani kwa wiki moja tu madhara yake ni makubwa kupindukia? Acheni kujipa moyo. Sheria haina mkubwa. Fuateni taratibu na sheria za nchi mtafanikiwa. Mnachofanya cha kuwafurahisha wazungu hakitawasaidia maana watanzania hawatawaamini

Sent using Jamii Forums mobile app
Umeandika upuuzi mtupu,kwahiyo kama ustaarabu ungetumika hao wafungwa wangetoroka?Acheni ujinga,hii nchi yetu sote!Matumizi ya nguvu bila sababu kisa tu unadeal na wapinzani ni ukichaa!
 
Umepotoka mkuu. Mbunge ni binadamu na kama kawaida binadamu wapo vichaa na wenye akili timamu. Ukiona mbunge anakwenda kutafutia sifa magereza ujue huyo ni kichaa na hana akili. Mbunge wako anatafuta popularity Magereza? Unafahamu kuna wafungwa kiasi gani na wamefungwa kwa makosa gani? Hivi unafahamu kuwa kuna watu wakitoroka humo wakawa uraiani kwa wiki moja tu madhara yake ni makubwa kupindukia? Acheni kujipa moyo. Sheria haina mkubwa. Fuateni taratibu na sheria za nchi mtafanikiwa. Mnachofanya cha kuwafurahisha wazungu hakitawasaidia maana watanzania hawatawaamini

Sent using Jamii Forums mobile app
Walienda torosha wafungwa au walienda pokea MTU wao
Siku zote askari ndio uleta vurugu Kwa kuwanyima haki wengine, kwani wangewapa MTU wao kungetokea shida gani?
 
Umepotoka mkuu. Mbunge ni binadamu na kama kawaida binadamu wapo vichaa na wenye akili timamu. Ukiona mbunge anakwenda kutafutia sifa magereza ujue huyo ni kichaa na hana akili. Mbunge wako anatafuta popularity Magereza? Unafahamu kuna wafungwa kiasi gani na wamefungwa kwa makosa gani? Hivi unafahamu kuwa kuna watu wakitoroka humo wakawa uraiani kwa wiki moja tu madhara yake ni makubwa kupindukia? Acheni kujipa moyo. Sheria haina mkubwa. Fuateni taratibu na sheria za nchi mtafanikiwa. Mnachofanya cha kuwafurahisha wazungu hakitawasaidia maana watanzania hawatawaamini

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekutana na wendawazimu na vichaa lakini wewe ni chizi kabisa. Tunafanya kufurahisha wazungu! Tukidai haki zetu tunamfurahisha mtu. Anayetupiga anamfurahisha Jiwe. Umesahau kuandika namba yako. Kichaa angemteua chizi! Vile Kawe na Bunda ni wakenya. Ongoza mwenyewe Mirembe. Chizi mkubwa we. Pathetic.
 
Tatizo ni malaika mkuu amekua mkatiri na alishabariki uovu wowote utakaofanywa na hawa mbwa wake , kumbuka alisema mbwa wake akiwa katiri ndio apandishwe cheo.
 
Na hili jambo kwa sababu tu wewe ni mpinzani wa serikali iliyopo madarakani, unakuwa ni mtu wa kuvutana kila siku na hivyo vyombo vya hio serikali.

Hii itawasumbua sana na kusababisha maumivu kwao kila watakapo jaribu kushindana navyo.

Pamoja na matatizo yote walionayo ya kimaadili baadhi ya askari wetu, lakini ni ngumu sana kupigwa na kuumizwa bila sababu.
 
Sisi waafrica bado uncivilized, unampiga mbunge kisa tu ni wa Upinzani...ili upate sifa kwa boss wako.

Mbunge kufika main gate ya taasisi yoyote si dhambi sababu ni yeye pia kiongizi wa umma, hajafanya fujo yoyote unamshusha kwenye gari yake unaanza kumpa kisago... na hata kama akifanya fujo kuna namna ya kumdhibiti bila kumvunja vunja viungo vyake. Huu ni udhaifu sana kwa si tu jeshi letu la police bali wizara nzima ya mambo ya ndani ya nchi.

Then one day unafikiri eti wewe unayefanya hivi unaweza siku moja kujitegemea - sahau - sababu kujitegemea kunaendana na kukabiliana na changamoto zinazokuzuunguka...

Huwezi kujenga uchumi imara wa taifa lako kama hata mambo madogo madogo kama haya yanakushinda kuya address in a good way.
 
Tena hao akina Ester ndo walikua wanateteaga sana askari Magereza, lakini mwisho wa siku wamepigwa vibaya mno.

Askari mna dhambi sana na hili halitowaacha salama lazima hii dhambi ya kuvunja wanawake mikono itawaandama tu.
Si askari, ni order inatoka kwa viongozi wa kisiasa, hivi unafikiri kama Polepole angefika pale wangethubutu hata kumuuliza kafuata nini? wakati Polepole kwanza si kiongozi wa umma.
 
1. Mbunge ni Kiongozi.
2. Mbunge ni mwakilishi wa umma
3. Mbunge ni mtunga sheria zinazohusu maisha yetu na ya askari pia.
4. Mbunge ni mtu anayehishimika na anaheshimiwa. Kabla ya kutaja jina lake tunaanza na neno Mheshimiwa (Honarable).

Ni nini kinapelekea hadi Mbunge apigwe kama kibaka tena mbele ya umma uliomuamini na uliomchagua?

Je, umuhimu wa hawa watu kwa hayo manne niliyoyataja umeondoka?

Matatizo yetu kama wananchi au askari yatawakilishwaje kunakohusika endapo tutatia vilema wabunge wetu?

Je, hatuna njia mbadala ya kudeal na mbunge mkosefu bila kumpiga au kumtia kilema?

Hili linatutia doa sana mbele ya jamii na dunia.
Haya mambo yako, ulaya si huku mabondekwinama usipojiongeza utavunjwa mbavu rejea yaliyompata Robert Chagulanyi (BobWayne)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umepotoka mkuu. Mbunge ni binadamu na kama kawaida binadamu wapo vichaa na wenye akili timamu. Ukiona mbunge anakwenda kutafutia sifa magereza ujue huyo ni kichaa na hana akili. Mbunge wako anatafuta popularity Magereza? Unafahamu kuna wafungwa kiasi gani na wamefungwa kwa makosa gani? Hivi unafahamu kuwa kuna watu wakitoroka humo wakawa uraiani kwa wiki moja tu madhara yake ni makubwa kupindukia? Acheni kujipa moyo. Sheria haina mkubwa. Fuateni taratibu na sheria za nchi mtafanikiwa. Mnachofanya cha kuwafurahisha wazungu hakitawasaidia maana watanzania hawatawaamini

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo Mdee na Bulaya walienda kuvunja gereza na wafungwa hatari wangetoroka! Hivyo njia ya kuzuia hill lisitokee ni kuwapiga, vunja mikono na kanyaga vichwani na kifuani?
Mtu akikuambia akili yako imelawitiwa atakuwa kakupa sifa stahili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umepotoka mkuu. Mbunge ni binadamu na kama kawaida binadamu wapo vichaa na wenye akili timamu. Ukiona mbunge anakwenda kutafutia sifa magereza ujue huyo ni kichaa na hana akili. Mbunge wako anatafuta popularity Magereza? Unafahamu kuna wafungwa kiasi gani na wamefungwa kwa makosa gani? Hivi unafahamu kuwa kuna watu wakitoroka humo wakawa uraiani kwa wiki moja tu madhara yake ni makubwa kupindukia? Acheni kujipa moyo. Sheria haina mkubwa. Fuateni taratibu na sheria za nchi mtafanikiwa. Mnachofanya cha kuwafurahisha wazungu hakitawasaidia maana watanzania hawatawaamini

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama wewe ulivyo kichaa, hujui hata kujenga Hoja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom