mgeni

Mgeni Jadi Kadika (born 1957) is a Tanzanian member of parliament for the Civic United Front.

View More On Wikipedia.org
  1. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Leo na hamtamini, tena nje ndani

    Kwa wanaojua mpira vizuri Yanga ya sasa imebadilika Nyumbani wanaupiga mwingi ila ugenini wanaupiga mwingi zaidi,binafsi naona Mamelod watapigwa chuma kuanzia 2 mpaka 4 na hamtaamini. Nawapongeza simba kwa mchezo mzuri,tutambue mpira si bahati ni tekiniki.
  2. Kimbuche

    JamiiForums Tanzania Mgeni

    Wakuu mjukuu wenu apa naomba mnipokee
  3. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Yanga tupeni mrejesho mechi ijayo ni ya mchezaji gani? Simba nani atakuwa mgeni Rasmi? Naona mmetangaza viingilio tu

    Imeshakuwa mila na desturi kwa timu hizi za jadi kuwapa presha wachezaji katika mechi za kimataifa ingawaje nayo huleta hamasa kwa timu, kwa timu zote mbili mechi za mwisho za makundi tumeshuhudia mechi ya yanga ilipewa jina la Pacome huku Simba mgeni Rasmi akiwa Enonga Baka na kufanikiwa...
  4. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania Damas Ndumbaro: Marufuku kuvaa jezi ya Mamelodi au Al Ahly kwa Mkapa kwenye michezo ya Simba na Yanga

    Ukija uwanja wa Taifa ukiwa umevaa jezi ya Mamelodi Sundowns lazima utuoneshe passport ya Afrika Kusini na ukiwa na jezi ya Al Ahly utuoneshe passport ya Misri, nje na hapo Polisi watakuchukua ukapumzike” Damas Ndumbaro, Waziri wa Sanaa, Utamaduni na Michezo. Yapi maoni yako?
  5. D

    JamiiForums Tanzania Mimi Mgeni humu, naomba kupokelewa

    Mimi Mgeni humu, naomba kupokelewa. Nina asili ya uandishi, utafiti na uanasiasa. Nitakuwa nanyi katika mambo yote yanayohusiana na haya. Ahsanteni.
  6. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Ahmed Ally: Inonga mgeni rasmi kwenye mechi yetu J'mosi

    Simba SC itacheza mchezo wake wa mwisho wa Kundi B wa CAF Champions League dhidi ya Jwaneng Galaxy siku ya Jumamosi ya March 02, 2024 katika uwanja wa Benjamin Mkapa. Kuelekea mchezo huo Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Simba SC Ahmed Ally ametangaza kuwa siku hiyo Mgeni rasmi...
  7. greater than

    JamiiForums Tanzania Mwenyeji wa Zamani ila Mgeni mpya

    Hello wana Jamii. Nimekuwa nikisoma majadiriano mengi ya wana Jamii forums kwa mda wa miaka mitano sasa. Ila karibuni ndiyo nimeamua kujiunga rasmi nami niwe mmoja wapo wa wachangiaji na kuweza kuelimishana kwa vitu kadha wa kadha.
  8. Ivan Stepanov

    JamiiForums Tanzania Nimekuwa mgeni nyumbani kwangu. Nakosa uhuru kabisa

    Angalau leo hii jumapili nimeweza kubaki nyumbani alone baada ya wote kuhudhuria ibada. Nimelala sana kupunguza uchovu wa week nzima. Suala zima lilianza January ya mwaka huu baada ya kuondokewa na binti yetu wa kazi ghafla mwaka jana December 2023. Wife ni mtumishi wa umma na watoto wetu wote...
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kuwa mgeni rasmi TASWA Media Day Bonanza 2024, Februari 10, 2024

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA), kimeandaa bonanza maalumu la waandishi wa habari na wafanyakazi wa vyombo vya habari nchini "TASWA Media Day Bonanza 2024" linalotarajia kufanyika Februari 10, 2024...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Kuna watu wakatili aisee; nilishuhudia mgeni rasmi akitoa zawadi ya mfuko wa pipi tu

    Ni mwaka jana tu katika mahafali ya darasa la saba sehemu fulani niliyoalikwa na mkuu wa shule huyo ambaye ni rafiki yangu mzuri. Tumetulia mara mgeni rasmi kafika na suti yake kuuubwa. Yamefanyika yaliyofanyika hadi muda wa kukaribishwa yeye ukafika. Akaongea vizuri kwa kutoa rai murua kabisa...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Visa ya India huchukua siku ngapi?

    Heloo WanaJF mko poa? Visa ya India ni siku ngapi mpaka napata?
  12. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Rais Hussein Mwinyi siyo kila Unachoambiwa na Mgeni Jirani ukiamini 100%, kwani Wengine huwa Wanakusanifu na Kukudharau pia

    "Gwaride lile la Askari Wetu hasa wale Makomandoo lilifanya tukiwa katika Hafla Ikulu ya Zanzibar Marais Wageni wa Nchi Jirani wasifie na waseme hakika Tanzania imewazidi vingi" alisema Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Mwinyi. Chanzo: Nipashe ya Radio One leo Saa 12 na Nusu za Asubuhi. Hakuna...
  13. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Mgeni rasmi kwenye soka ni wa kazi gani, Mbona Ulaya hawapo?

    Ninaangalia game ya JKU ya Zanzibar VS Simba SC ya Tanganyika kwenye michuano ya Mapinduzi CUP kwenye Uwanja wa Amani huko Zanzibar. Kwenye mechi hii kulikuwa na Aliyeitwa Mgeni rasmi, huyu ametajwa cheo chake kuwa ni Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa Mjini Magharibi. Swali langu ni hili, hivi kazi...
  14. sanalii

    JamiiForums Tanzania Nimepata mgeni yuko rafu sana

    1. Uchafu anaweka popote, anaweza kula embe kisha maganada akaacha hapo chini ndani yani akawa yuko comfortable kabisa. 2. Dawa ya meno anaminya popote tu. 3. Jagi la maji anakunywa kwa kushika lote na mmekaa wengi mnakula na glass zipo. 4. Inshort things are mess
  15. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kung'oa demu wa mkoani kwa haraka : kwa wewe mgeni kutoka mjini daslamu

    Jamaa mmoja akasema " aah wewe tafuta bodaboda halafu mwambie akupeleke kwenye machaka wanako patikana. Bodaboda ndio wanajua chocho zote." Hell No! Mimi sizungumzii malaya mkuu. Njia hiyo ya kuwatumia bodaboda inafanya kazi kwa 👇 1. Watu wanao tafuta milupo au malaya wanao jiuza. 2. Ina...
  16. chibe dayo

    JamiiForums Tanzania Mgeni nipokeeni mdogo wenu

    Nimekuja humu ndani kwani ni sehemu salama ya kujipatia maarifa na ushauri kuweza kuelewa uelekeo wa dunia kwa ujumla. Kutoka Arusha
  17. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Dkt. Philip Mpango anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi wa Mkutano wa TAWIRI, Dec 6-8

    Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt. Philip anatarajiwa kuwa mgeni rasmi wa Mkutano wa TAWIRI unatarajia kufanyika kuanzia Disemba 6 hadi 8 jijini Arusha.
  18. C

    JamiiForums Tanzania Tubadilike Slogan sasa iwe kwa Mkapa Mgeni anakomba zote 3 au anachukua 1 ya Faida Kwake sawa?

    Mwekezaji Ni Dewji na Viongozi wako / wenzako akina Salim Abdallah Mhene 'Try Again", Murtaza Mangungu na CEO Imani Kajula upesi sana kaeni Kitako na Wachezaji wa Simba SC myamalize kwani Upuuzi huu wa Kinatokea ukiendelea mtakuja Kupigwa / Kuchapika vibaya na Mashabiki na hiyo Timu itatekwa...
  19. Mwanadiplomasia Mahiri

    JamiiForums Tanzania Mgeni Rasmi mechi ya Simba Vs Yanga ni Kibu Dennis

    Klabu ya Simba ambayo ni mwenyeji katika mchezo wake wa wikend hii dhidi ya Yanga imemtangaza Kibu Dennis kama mgeni rasmi wa mchezo huo. Hili ndio soka letu sasa kivyetuvyetu.
  20. benzemah

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Mgeni Rasmi Sherehe za Uhuru wa Zambia

    Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuanza ziara ya kikazi ya siku tatu nchini Zambia kuanzia Oktoba 23 hadi Oktoba 25, mwaka huu ikiwa na lengo la kujenga ushirikiano kati ya nchi hizo mbili zenye historia kubwa kiushirikiano. Katika ziara yake nchini humo, Rais Dkt. Samia...
Back
Top Bottom