mgeni

Mgeni Jadi Kadika (born 1957) is a Tanzanian member of parliament for the Civic United Front.

View More On Wikipedia.org
  1. kilambimkwidu

    JamiiForums Tanzania Nimepiga marufuku utamaduni wa mgeni kushukuru kwa chakula kila baada ya kula

    Naomba nikosolewe au kupongezwa kwa utaratibu nilioelekeza nyumbani kwangu kwamba ni marufuku wife kupokea shukrani za mgeni anaeshukuru kwa chakula. Hii imekua ikitokea hata kwa wageni ambao wanaishi muda mrefu, kwamba kila anapomaliza kula anamuangalia “mama mwenye nyumba” na kumshukuru kwa...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mimi ni mgeni naomba mnipokee nikihitaji ushauri msichokee kunishauri

    Habari zenu, Jamani mi ni mgeni naomba mnipokee nikihitaji ushauri msichokee kunishauri.
  3. Mchochezi

    JamiiForums Tanzania Isack Mwigulu awa mgeni rasmi kwenye mafunzo ya watendaji wa UVCCM Singida

    Nyota ya Isack Mwigulu inazidi kung’aa, safari awa mgeni rasmi kwenye semina ya utendaji wa UVCCM kwa mkoa wa Singida.
  4. Dalali wa Mjini

    JamiiForums Tanzania Mgeni mimi mnipokee

    Mambo vipi wanajukwaa? Mimi ni mgeni kabisa humu, nipokeeni kwa mikono miliwi. Pia ninaleta andiko la kuomba ushauri katika haya maisha.
  5. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Maeneo gani mazuri kumtembeza mgeni jijini Dar?

    Ni kabinamu changu ila undugu wa mbali kidogo wa ma bibi na mabibi huko alafu ni kapeace kishenzi kametoka Katavi huko hakajawahi kufika Dar hata siku moja ila kamewahi kwenda Arusha sasa juzi tumekutanishwa home na kwa hizi siku tatu kangependa kakate kiu ya kulifurahia jiji hili la raha na...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kuwa mgeni rasmi mkutano wa Jumuiya ya Kiislamu Shia TMSC

    28 September 2024 https://m.youtube.com/watch?v=Q_op3a827-s Rais Samia mgeni rasmi mkutano wa Jumuiya ya Kiislamu Shia TMSC. Hayo yamebainishwa na makamu mwenyekiti wa Jumuiya ya Kiislamu Shia TMSC sheikh Habibu Mbota. Mkutano huo mkubwa wa kitaifa utahudhuriwa wajumbe zaidi ya 400 wa mikoa...
  7. FEATURE BOY

    JamiiForums Tanzania Mgeni nimefika naomba mnipokee

    Kwanza ninafuraha kujiunga nanyi hapa. Jamiiforms ni mtandao wangu pendwa kwa muda mrefu nilitamani sana kujiunga hatimaye leo nimefanikiwa nipokee wakubwa.
  8. N

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Hemed Suleiman: Mtanzania yeyote mwenye akili hakuna atakayelalamika namna Muungano unavyoendeshwa

    Akizindua maonesho ya biashara ya Miaka 60 ya Muungano, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Hemed Suleiman amesema wananchi wanatakiwa kuendelea kutambua umuhimu na tija za Muungano, ambapo amewahasa wanaofahamu vyema manufuaa yaliyopo kuendelea kuwaelimisha wengine hususani vijana ili waweze...
  9. Samantha Lewthwaite

    JamiiForums Tanzania Mgeni mimi

    Hello everyone my name is Samantha Lewthwaite am thrilled to join JamiiForums today,I was a guest almost 6 years back but I decided to join today after being limited to view thread AKhsante nawapenda sana
  10. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Bashungwa Mgeni Rasmi Kongamano la 9 la Wahandisi Wanawake, 2024

    BASHUNGWA MGENI RASMI KONGAMANO LA 9 LA WAHANDISI WANAWAKE, 2024. Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa (Mb) leo tarehe 21 Agosti 2024 atafungua Kongamano la tisa (9) la Wahandisi Wanawake nchini linalofanyika Katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere Dar es Salaam (JNICC)...
  11. Mwalimu wa field

    JamiiForums Tanzania Mgeni rasmi

    Habari wana JamiiForums, Naitwa nyamwii255 naomba ushirikiano wenu Ahsante.
  12. S

    JamiiForums Tanzania Hodi humu ni mgeni naombeni mnikaribishe

    Nimekuwa nikifuatilia mijadala mbalimbali hapa JF kwa muda mrefu hatimae leo nimekuwa miongoni mwa member naombeni mnipokee kwa mikono miwili
  13. DodomaTZ

    JamiiForums Tanzania Diwani Selungwi asema SHIMWATA ni mgeni mwema Mkuranga

    Diwani wa Kata ya Mbezi, Wilayani Mkuranga Mkoani Pwani, Rashid Selungwi ameumwagia sifa Mtandao wa Wasanii Tanzania (SHIMWATA) kuwa ni wageni wema Kijijini Mwanzega, zilipo nyumba za Wasanii, wanamichezo na Waandishi wa Habari. Wema wa Shiwata kijini hapo ni kuendeleza maendeleo ya jamii na...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Mgeni Rasmi Mkutano wa Uvuvi Barani Afrika

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa mujibu wa waziri wa mifugo na uvuvi Mheshimiwa Abdallal Ulega Amesema ya kuwa Mheshimiwa Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan atakuwa mgeni Rasmi wa mkutano wa uvuvi Barani Afrika. Ameyasema hayo na kutoa taarifa hiyo...
  15. A

    JamiiForums Tanzania Mgeni

    Habari zenu Ba Ndugu Baada ya Kusoma sana Jamii Forums Bila Kujisajili Hatimaye Nimekuja. Mimi Mgeni Naombeni Mnipokee. Nimevutiwa na Nyuzi Nyingiii Humu, Umughaka, Mshana jr , Mtibeli , Controlla , Lucha, Analyse, insiderman na Wengineo Hakika Mmenikosha Sana. Nimeamini Jamii Forums ni kisiwa...
  16. Panctuality

    JamiiForums Tanzania Wenyeji Dodoma tar.16 April 2024 nitakuwa mgeni wenu

    Habarini wakuu Kesho kutwa jioni kama sio alasiri (16 April 2024) nitakuwa Dodoma mjini nikitokea mkoani Mbeya safari ikianzia wilayani Chunya kiofisi zaidi,kwa wenyeji wa maeneo hayo nitafurahi Sana tukijuana na kupeana ABC baada ya pilikapilika zote na nitakuwepo hapo Jumanne jioni mpaka...
  17. G

    JamiiForums Tanzania Orodha ya makabila yaliyojaza sehemu mbali mbali DSM

    1. Wachaga - Kimara 2. Wakurya - Ukonga hasa Kitunda 3. Wahaya - Mwananyamala na sinza 4. Wapemba - Kigamboni 4. Wanyakyusa - Nyomi lao lipo keko 5. Mbagala - wamakonde Hii inaweza kutumika kwa watu wa marketing kweny kutaget wateja
  18. Sapphire Mc

    JamiiForums Tanzania Mgeni

    Hello.. JF members, mimi ni mgeni wenu mpyaa naomba mnipokee, kutoka dom
  19. M

    JamiiForums Tanzania Mimi mgeni

    Nikaribisheni , nilikuwa guest sasa hivi nimejiunga rasmi
  20. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Leo na hamtamini, tena nje ndani

    Kwa wanaojua mpira vizuri Yanga ya sasa imebadilika Nyumbani wanaupiga mwingi ila ugenini wanaupiga mwingi zaidi,binafsi naona Mamelod watapigwa chuma kuanzia 2 mpaka 4 na hamtaamini. Nawapongeza simba kwa mchezo mzuri,tutambue mpira si bahati ni tekiniki.
Back
Top Bottom