mgeni

Mgeni Jadi Kadika (born 1957) is a Tanzanian member of parliament for the Civic United Front.

View More On Wikipedia.org
  1. GoLC

    JamiiForums Tanzania Hodi kwenu mimi "mgeni"

    Habari mabibi na mabwana. Hodi tena humu jukwaani kwa maana mimi sio mgeni humu kiasi hicho. Nimekuja kwa kusudi maalum, nalo ni habari njema hasa kwa ndoa zetu na wanandoa. Hivyo popote utakaponiona na kunisikia ujue kwa asilimia kubwa ni masuala ya ndoa na mahusiano hadi kieleweke. Tunajua...
  2. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Kama unamtetea pedophile kisa tu anashiriki dini moja na wewe kwanini uumie siku ukijua mgeni wako au uncle wake wa shuleni anarubuni mtoto wako?

    Kama utaweza kufanya upumbavu na unyama wa aina hii kwa kisingizio cha jadi ya dini au mara oooh sijui nani nani tunaemuheshimu alifanya then unastahili kibaya chochote kile kikutokee maishani mwako. Naeelewa hatuko perfect ila kwenda kurubuni mtoto mdogo wa kike miaka 6, 12, 9, 10, 8 wewe ni...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Mgeni Humu

    Habari ndugu zangu, JamiiForums ninaingia baada ya kupewa sifa kedekede na watu wangu wa Karibu. Natumaini Kujifunza na Kupata connection pia. Naomba kukaribishwa !!
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aalikwa kufungua Mkutano wa Kimataifa wa Mabaraza ya Habari Afrika utakaofanyika Julai 14 – 17, 2025

    Tanzania itakuwa mwenyeji wa Mkutano wa Kimataifa wa Mabaraza ya Habari Afrika utakaofanyika kuanzia tarehe 14 hadi 17 Julai 2025. Mkutano huo utafanyika katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Arusha (AICC). Mgeni Rasmi aliyealikwa kufungua mkutano huo wa kimataifa ni Rais wa Jamhuri ya...
  5. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Dudukwe awa mgeni wa Kaizer Chief

    Communication/social network is power
  6. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Mtoto mwendawazimu hapaswi kupewa urithi. Familia inaweza kukodi mgeni aje atawale watoto mpaka watakapojitambua

    Baba na mama wakipata ajali wakafa au wakafa kwa maradhi huku watoto wao 6 ni watano wadogo na mkubwa mwendawazimu ili kulinda mali yule mwendawazimu akaropoka Mimi siwezi kuongoza aje jirani aongoze wakikua hawa wadogo zangu watachukua mali za baba. Akarudia tena " Mimi siwezi" Jirani akaja...
  7. zaby toto

    JamiiForums Tanzania Mgeni mpya JF

    Hello wakubwa zangu Ninafuraha kujumuika katika jamii forum...letsay nikama mwenyeji maana nimeanza kufuatilia JF kwenye simu ndogo ya batani.. Naombeni muwe Nami jamani mgeni malikia.thanks for all
  8. D

    JamiiForums Tanzania Mimi ni mgeni humu ndani ninaombeni wanachama wenzangu mnipokee

    Habari zenu Wana Member wa Huu Mtandao mtukufu waJamiForums hamjambo? Mimi ninaitwa kw ajina Dr. Matumbili ni mtaalaam wa dawa za asili ninaishi hapa jijini Dares-Salaam ninaombeni munipokee nitashukuru kw akunikaribisha katika mtandaao wetu mtukufu wa jamiiforums ili tupate kushauriana kwa...
  9. Fbn

    JamiiForums Tanzania Mgeni Asiyejulikana: Siri ya Taured na Ulimwengu Usiofahamika

    Mwaka 1954, katika uwanja wa ndege wa Haneda, mjini Tokyo, Japan, mwanaume mmoja alifika kutoka Ulaya kwa ndege ya kimataifa. Alipofika kwenye kituo cha ukaguzi wa pasipoti, maafisa wa uhamiaji walistajabu walipoona pasipoti yake, ambayo ilionyesha kuwa anatoka katika nchi iitwayo "Taured" –...
  10. kyagata

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu mgeni wangu mbona kama simsomi?

    Kuna jamaa yangu katoka bush kuja kufuatilia masuala yao ya mirathi hapa mjini,sasa kwa sababu ni mtu wa kijijini na tunafahamiana nikamuambia hakuna haja ya kufikia lodge hapa kwangu kuna chumba cha wageni aje tu ili apunguze gharama. Jamaa kafika tumepiga story za hapa na pale tukaagana kila...
  11. MwananchiOG

    JamiiForums Tanzania June 13 Mwenyeji kafunga mlango kaondoka, Mgeni utaingiaje uthibitishe ulipeleka timu uwanjani?

    Najiuliza tu, Kama kanuni zinasema Timu itakayoingia uwanjani endapo mpinzani hatatokea basi adhabu hufuatia, Sasa Yanga ndiye mwenyeji wa mchezo, Ndiye anapaswa kuamua mchezo uchezwe wapi, Je, siku hiyo akiamua kufunga milango ya uwanja kisha kutokomea na funguo nani ataingia na kudai alipeleka...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Mgeni hapa

    Guys nimefika katika JamiiForums kama mgeni wenu tupeane ushirikiano Asante
  13. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Raia yeyote wa Uchina au mgeni angefanya uharibifu kwa watoto wa kichina namna hii hukumu yake ingekuwa kifo .

    Watoto hawana hatia, they are innocent. Wanataka wajaribu kila jambo. Haya madude yanatumia AI , yangiingia kichwani effects zake ni zaidi ya mapepo buku yaliyowaingia nguruwe enzi za Yesu. Nimewaona watu vijana kwa wazee waliochakazwa na haya madude mpaka wakachakaa. Serikali je, Kodi ni muhimu...
  14. O

    JamiiForums Tanzania Mimi ni mgeni humu naomba mnipokee

    Habari zenu, Jamani mi ni mgeni naomba mnipokee nikihitaji ushauri msichoke kunishauri.
  15. kadiri kasimba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania JE single Father nae anaruhusiwa kuowa Binti kigoli ambaye ni mgeni kwenye ntansinia ya mapenzi?

    Salam kwenu wakuu! Twende kwenye mada husika, yupo mwamba moja yeye ana umri wa miaka 39 saivi, na hadi sasa ana watoto 6, wanne mama tofauti tofauti, na wawili mama moja huyo ndo waliishi nae km 8yrs, wakaachana, hao wengine jamaa alipita tu, ss baada ya kuachana na huyu alieishi nae...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Hodi JF mimi ni mgeni naombeni mnipokee

    Habari waungwana! Baada ya miezi kadhaa ya kufuatilia mijadala ya JamiiForums kama guest user sasa leo hii ninejiunga rasmi nanyi humu jukwaani. Naombeni mnipokee. Ahsanteni sana.
  17. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Wakuu naombeni mnipigie hesabu ya hii nyumba Mimi mgeni kwenye ujenzi

    Sebule 5m+5m Chumba 5m+5m Jiko 2m+2m Choo 2m+2m na kibaraza Cha 2m 2m hapa naomba kujua zinaingia bati ngapi Kwa upauaji wa paa nne na tiles ngapi wakuu Mimi ni mgeni kwenye ujenzi
  18. Mtunza siri zako

    JamiiForums Tanzania Naomba mnipokee na mnifunze binti yenu wa usukumani

    Habari za leo, naomba wenyeji wa JF mnipokee na mnifunze namna ya kutumia huu mtandao, nini nifanye na nini nisifanye. Mimi ni mwanamke, makazi yangu ni mkoani Mwanza, ni mwajiriwa, napenda kula, kusafiri, siasa, kufahamu masuala ya kijamii, maisha, habari za mapenzi nakujifunza mambo mapya...
  19. Mwizukulu mgikuru

    JamiiForums Tanzania Nyie watumishi wazoefu mliopo maofisini sio kila mgeni ni wa kumchukulia poa

    Nawatahadhalisha watumishi mliopo maofisini hasa mliopata hizo ajira kitambo, sio kila mgeni anaekuja hapo niwa kumchukulia poa....wengine hapo kituoni wanakuja wakiwa na kazi maalumu. Atakuja hapo kwa nafasi ya kujitolea au kwa nafasi yoyote Ile , chunga sana usije kupoteza kazi kwa...
  20. Zee la michongo

    JamiiForums Tanzania Mgeni wa Jamii Forums

    Habari wakuu Mimi ni mgeni nahitaji support yenu na ushirikiano wenu Ova
Back
Top Bottom