Yanga tupeni mrejesho mechi ijayo ni ya mchezaji gani? Simba nani atakuwa mgeni Rasmi? Naona mmetangaza viingilio tu

Mhafidhina07

JF-Expert Member
Aug 1, 2014
2,557
3,001
Imeshakuwa mila na desturi kwa timu hizi za jadi kuwapa presha wachezaji katika mechi za kimataifa ingawaje nayo huleta hamasa kwa timu, kwa timu zote mbili mechi za mwisho za makundi tumeshuhudia mechi ya yanga ilipewa jina la Pacome huku Simba mgeni Rasmi akiwa Enonga Baka na kufanikiwa kutinga hatua ya Robo Fainali.

Kuanzia majuzi timu zote zilikuwa na press conference ya kutangaza viingilio vya uwanjani ila wamesahau kuhusu hii tamaduni ambayo tumeizowea tafadhali tuambieni mapema.

TUKUTANE 29/30,03,2024
 
Hizo mechi zote mbili makipa ndio wapewe hizo hadhi maana naoka kilio kikianzia Ijumaa kuu hadi Jumamosi.

Mpira wa makelele na ukanjanja wa kibongo weekend ijayo patachimbika.
wapo kimya hata wachezaji wanaogopa basi wampe maua hata mama yao samia maana watendaji wake wamejitahidi kuwanyamazisha mashabiki.
 
Imeshakuwa mila na desturi kwa timu hizi za jadi kuwapa presha wachezaji katika mechi za kimataifa ingawaje nayo huleta hamasa kwa timu, kwa timu zote mbili mechi za mwisho za makundi tumeshuhudia mechi ya yanga ilipewa jina la Pacome huku Simba mgeni Rasmi akiwa Enonga Baka na kufanikiwa kutinga hatua ya Robo Fainali.

Kuanzia majuzi timu zote zilikuwa na press conference ya kutangaza viingilio vya uwanjani ila wamesahau kuhusu hii tamaduni ambayo tumeizowea tafadhali tuambieni mapema.

TUKUTANE 29/30,03,2024
MZIZE DAY na MGENI RASMI ni FREDI FUNGAFUNGA
 
Back
Top Bottom