mganga

Mganga (mganga wa kienyeji) ni mtu anayehudumia watu kwa njia za kienyeji ikiwemo kutibu.
  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kumbe hata tukiwa Ugenini Kigali Rwanda bado tunaendeleza yale Masharti yetu ya Mganga wa Mtwara?

    Haya Watanzania Wote hasa hasa wale Mashabiki wa Makafara FC mlioko Jijini Kigali nchini Rwanda mmeombwa Kujitokeza ili Kuchangia Damu Jini letu lifurahi na baadae tutaenda kutoa Misaada kwa Watoto Yatima ( hasa Wadogo wasio na Dhambi zozote bado ) ili kupata Baraka zao ili Mwarabu Afe / Aumie...
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Asanteni kwa Kumbakiza kwa Mganga wa Kienyeji Tanga Mchezaji Aubin Kramo tokea Fainali ya Community Shield na kurejea Dar Juzi

    Na hapa GENTAMYCINE nawaonya wazi kuwa acheni kudhani kuwa Winga Machachari Aubin Kramo karogwa na Yanga SC ila ukweli ni kwamba Karogwa na Mchezaji Mmoja maarufu wa Simba SC kipenzi cha Kocha ila asiyeaminika na Mashabiki. Niliwaonyeni sana hapa JamiiForums kuwa hakikisheni kabla ya Ligi Kuu...
  3. Mufti kuku The Infinity

    JamiiForums Tanzania Tufanye wewe ni mganga wa kienyeji 😂

    Nipe masharti yako ili nitajirike, tuone mwenye masharti magumu 😂
  4. R

    JamiiForums Tanzania FARAGHA: Waziri amwagiza Mganga Mkuu wa Serikali kufuatilia suala la Taarifa Binafsi za Mgonjwa kuanikwa Mtandaoni

    Kufuatia tukio la mwanaume mmoja anaesemekana kuwa na mataizo ya akili kukata uume wake, ambapo toka tukio hilo limetokea mpaka baada ya matibabu waandishi wametoa taarifa zote juu ya hali yake, ikiwemo jina, umri, jinsia, makazi na ugonjwa wenyewe. Wadau mbalimbali wamelalamikia kitendo cha...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Diva The Bawse alipie tangazo la kumpaisha mganga feki

    Aisee kumbe wabongo wana upeo mdogo sana. Yaani hiyo story ya Diva hadi dada wa taifa kaingia mkenge (siamini kama Mange na yeye kaingia mkenge nahisi na yeye yupo kwenye payrol/ kuwatoa watu kwenye ishu ya ulimwengu wa 'Dada Paula'). Ni hivi, Diva kaandaa hiyo script kwa ajili ya kumpromote...
  6. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mganga wa kienyeji akamatwa akidaiwa kusababisha kifo cha Mtoto

    Jeshi la Polisi mkoani Lindi linamshikilia mganga wa kienyeji, Jalina Juma (45) kwa tuhuma za kusababisha kifo cha mtoto, Yusufu Salumu (9), mkazi wa mtaa wa Rutamba Manispaa ya Lindi. Akizungumza na waandishi wa habari, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Lindi, Pilly Mande alidai Julai Mosi, 2023...
  7. fundi bishoo

    JamiiForums Tanzania Kuna muda unatamani kwenda kuroga kwa mganga ili nipate chaneli za pesa

    Eh bwana wakuu chaneli za pesa ni ngumu sana kuna muda mambo yanabana moka unatamani hata ungekua una imani ya kishirikina ukaroge ilimradi na mm nipate chaneli za pesa wazee mambo hayaendi ukiangalia vijana wenzetu wanafanya mambo ya maendeleo sisi tunakomaa kupambana lakini inakua ni kama...
  8. Pascal Ndege

    JamiiForums Tanzania Mnaishije bila kwenda kwa mganga wa kienyeji? Una mnatake risk tu mnaumwa na kufa imetoka hiyo?

    Delete this post Nimepost kimakosa
  9. Ashampoo burning

    JamiiForums Tanzania Kilichoenda kwa mganga hakirudi, bandari ndio kwaheri

    Boss ashampoo hatimae nimenunua gari baada ya kuteseka sana baada ya kuuza gari yangu nimebahatisha crown ya mkononi nimeteseka sana jamani miezi sita bila gari boss kama mimi Tuachane na hayo nikiwa narudi home jioni hii nikasema hebu tuweka mambo sawa bandari ile muelewe yaani hiyo...
  10. tecknologia23

    JamiiForums Tanzania Niliwahi andika natafuta mganga

    Watu wa wahumu Leo naomba umakini wenu ,nilienda lindi mbali sana kufuata msaada ila umegoma nikasema basi tu. Nikaanza kuomba kiaina ila msiniambie bhana unaenda huko bado au sijaenda huko Kwa hao watu kweli siwezi sema hapana ila nilizunguka sana nikasema bullshit. Nikaanza maombi na kweli...
  11. beatboi

    JamiiForums Tanzania Mwenye Nyumba ameleta mganga wa kienyeji anatulazimisha tulambe unga anahisi kuna mchawi kwenye nyumba yake

    Habarini ndugu wanaJF, Baba mwenye nyumba amemleta mganga kutoka kusini huko anadai kwenye nyumba yake kuna mtu anamchezea (mambo ya kichawi), sasa anatulazimisha tulambe ungaunga mweupe nimesikia wanauita 'usembe' ili kumbaini mchawi kwenye nyumba yake. Binafsi nilikataa kulamba vitu...
  12. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mganga anasema ili Wawe Mabingwa wakubali Kiongozi Wao Mmoja au Mtu wao maarufu Afe kama Kafara

    Klabu nyingine moja kubwa mara Nne ilishafanya hivi katika Mechi Ngumu za Kimaamuzi na Viongozi wake Maarufu Watatu Kufariki Wiki Moja kabla ya Mechi na Mmoja wa Shabiki wake Maarufu nae Kufariki na walipocheza hizo Mechi zao zote walishinda. Hivyo basi hata na Wenzao hivi sasa nao Wanahaha kwa...
  13. F

    JamiiForums Tanzania Ndoto: Mganga maarufu kule kwetu kanipa kikombe cha damu ninywe

    Habari za majukumu Wana wa JF. Nimeota ndoto juzi usiku, Mganga maarufu kule nyumbani kwetu ananikabidhi Kikombe cha damu ninywe. Sijajua damu ya nini ila niliona Kama ina mchanganyiko wa maji ndani yake. Sikumbuki vizuri Kama niliionja damu au laahh. Nachokumbuka ni kuwa ndoto iliisha...
  14. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kuna Uwezekano Mganga wa Kienyeji aliyemfanyia Kazi Tukuka Musiba akawa ndiyo huyu huyu wa Yanga SC inayoenda kuwa Bingwa wa CAFCC 2023

    Tafadhali Poti wangu Musiba kuna Demu Mmoja wa Kihaya na Kinyiramba si tu ananisumbua bali ananikondesha pia kwa Kunikatalia kunipa 'Tamu Baioloji' yake. GENTAMYCINE nipo chini ya Fito zako naomba unipe Namba yake / zake za Simu ili nimpigie anifanyie Kazi yangu ifanikiwe ning'oe Mzigo kama...
  15. Engager

    JamiiForums Tanzania Nilivyozidiwa kete na mganga wa kwenye kipeperushi

    Mwaka 2018, weekend moja niliamua kutoka mkoani nikaenda zangu dar kula bata. Lilikuwa bata la siku mbili kavu. Nilipanda mwewe ijumaa jion baada ya kazi, nikaplan kurudisha mironjo yangu j3 asubuhi nije niendelee na majukumu ya kujenga taifa. Jumamosi bata lilikwenda fresh kabisa. Nilifaidi...
  16. comte

    JamiiForums Tanzania CAG kwenye viroba vya mihogo ya futari agundua vipande vya miti badala ya mihogo-waathrika waenda kwa mganga kuroga

  17. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kumbe Mganga wenu Kienyeji aliona Kipigo na mkacheza na Taa za Uwanja ili Mechi ihairishwe mroge vizuri?

    Pongezi nyingi mno kwa Nahodha wa Uganda (The Cranes) Okwi, Kocha Micho, Refaree, Kamisaa wa Mechi na Msimamizi Mkuu kutoka CAF kwa Kukataa Mechi iahirishwe (kama ilivyoombwa na Mazuzu Waliofungwa) na kutaka Kipigwe na Mwanga ule ule uliokuwepo. Wapuuzi wakubwa yaani tokea Mechi inaanza Taa...
  18. Mohammed wa 5

    JamiiForums Tanzania Jirani yangu ni mganga, anatufanya tusilale usiku

    Ni mwaka na miezi 2 tokea nimeanza kuishi maeneo haya mwazoni tulikuwa tunaishi vizuri, sababu Mimi napenda maeneo yanayotulia makelele sipendagi kabisa. Miezi 2 nyuma Jirani yangu aliuza nyumba, yake mtu alionunua Ile nyumba hatumfahamu shida imeanza wiki ya pili sasa usiku hatulali, ni...
  19. Mohammed wa 5

    JamiiForums Tanzania Wazazi tuwafundishe watoto wetu upendo

    Mtu mmoja aliniuliza kitu gani miongoni mwa vitu ambavyo najutia maishani..nilimjibu kitu fulani lakini leo napenda kujibu hapa kushare na wengine labda inaweza kusaidia kubadili mitazamo yetu kuhusu maisha. Binafsi najutia tabia yangu fulani ya utotoni...tabia yangu na ya baadhi ya rafiki...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Miaka ya nyuma mganga aliniambia kuwa...

    Malaika wangu hawapendi ninywe Tungi, hili jambo limenishangaza kwa muda mrefu sana, sikuwa ni mtu wa dini sana ila nikinywa pombe nilikuwa nakumbana ni mikosi sana. Baadaye nikienda kwa mama mmoja mganga akaniambia wewe una kama malaika fulani kichwani kwako hawapendi unywe pombe. Sasa...
Back
Top Bottom