mganga

Mganga (mganga wa kienyeji) ni mtu anayehudumia watu kwa njia za kienyeji ikiwemo kutibu.
  1. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Ni nani atamtibu mgonjwa? Mganga Mkuu naye analalamika eti madaktari nao wanaumwa

    Mechi ishakuwa ngumu, tayari tumeshafungwa na wachezaji wanafanya makosa ila hawataki tuwazomee wakikosea! Ati tukiwasema hatuna adabu na tayari tushafungwa 2 - 0. Mganga Mkuu analalamika, anasema eti mlundikano wa wagonjwa mawodini ni kwa sababu madokta nao wanaumwa! Kwa hiyo hakuna wa...
  2. hamis77

    JamiiForums Tanzania Mchango wa mganga umeshakamilika

    Nilileta uzi hapa wiki iliyopita Kuhusu Yanga kuchangisha mchango wa mganga kutoka visiwani. https://www.jamiiforums.com/threads/yanga-wanachangisha-pesa-ya-mganga-kutoka-visiwani.2008077/ Tayari mchango umekamilika, na taratibu naambiwa hapa zimeshafanyika, Simba kesho kazi anayo Binafsi...
  3. hamis77

    JamiiForums Tanzania Yanga wanachangisha pesa ya mganga kutoka visiwani

    Aisee nilikuwa Yanga makao makuu pale ,huwa naenda kusikiliza stori za klabu yangu pendwa Yanga, pale nakutanaga na wazee kina mzee was Moro, mzee mpili, n.k Sasa kuna daftari lipo pale UKIFIKA jioni linatembea la kuchangia pesa ya mganga kutoka VISIWANI Zanzibar, Lina karibu wiki 2, uchangiaji...
  4. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mganga Mkuu wa Serikali: Hakuna mgonjwa wa Homa ya Nyani nchini

    Serikali kupitia Wizara ya afya imesema kuwa Mpaka sasa hakuna mgonjwa aliyetambulika na kuthibitika kuwa na ugonjwa homa ya nyani (Monkeypox) hapa nchini. Kauli hiyo imebainishwa na Mganga Mkuu wa Serikali Dkt. Aifello Sichalwe leo Mkoani Manyara wakati akitoa taarfa kuhusu Ugonjwa wa Homa ya...
  5. Natafuta Ajira

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa namna yoyote ya kukutana au kuwasiliana na mchawi au mganga proffesional

    Nahitaji mawasiliano ya mchawi au mganga yoyote ambae ni proffesional, nina ndoto ya kuanzisha college ya kufundisha teknolojia ya uchawi ivyo basi nahitaji kuonana na proffesional wa hii taaluma ya uchawi ili anithibitishie juu ya uwepo wa hii teknolojia na anipe mwongozo mzuri wa kutimiza...
  6. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Video: Dogo wa miaka 15 ampeleka rafiki yake kwa mganga ili amtoe kafara ya utajiri

    Tena kafara yenyewe sio kama hizi zenu za kiswahili ya kwenda kwa mganga akwambie umtoe ndugu yako kafara ukikubali ndugu yako anaumwa tumbo anakufa la hasha ila ni kafara kama ile ya kumtoa kondoo wa sadaka yani mtolewa kafara anachinjwa damu yake ina mwagwa kwenye madhabahu ya mganga husika...
  7. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara kijana aandaa kaburi lake baada ya kukiuka masharti ya Mganga

    Mfanyabiashara Kijana wa Nakonde nchini Zambia mwenye umri wa miaka 29 ameanza kuandaa kaburi lake baada ya kuambiwa na Mganga wake wa Sumbawanga kuwa atakufa hivi karibuni kwa kukiuka masharti ya utajiri wake. Grigory Siame ambaye alikuwa maskini sana hadi alipoenda kuonana na mganga miaka 8...
  8. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Tulienda kupiga ramli kwa mganga hatari kuliko wote Afrika kujua who was behind our problems

    Mganga alitu peleka kwenye chumba maalumu na kwenye chumba hicho kulikuwa na kinyago mfano wa mtu limefunikwa kitambaa chekundu kama jezi ya Simba kisha akatuambia kila mmoja afunue kitambaa hicho na atamuona mtu anae mroga na kumrudisha nyuma kimaendeleo... Mimi nilicho kiona ndio hicho hapo...
  9. Inkanyamba Son

    JamiiForums Tanzania Mizimu imenichagua kuwa mganga japo nina shahada

    Mimi ni member humu Ila hii ni ID mpya.... Umri wangu ni miaka 29 Elimu yangu ni Shahada Sijaoa Sina Mtoto Tangu nimemaliza chuo miaka 8 iloyopita sikuwahi bahatika kupata ajira, nimetafuta Sana kazi lakini holaaa! Katika Asili yangu yani Upande wa BABA sijui kizazi Cha ngapi alikuwepo...
  10. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu Wizara ya Afya ataka Mganga Mkuu Wilaya ya Kigoma aondolewe kwa kutokuwa muwajibikaji

    Mganga Mkuu wa Wilaya ya Kigoma amelalamikiwa kushindwa kutekeleza maagizo ya kuboresha huduma ya afya na kukosa uwajibikaji pamoja na kuonesha utovu wa nidhamu Hayo yamesemwa na Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Profesa Abel Makubi akiwa katika ziara Mkoani Kigoma ambapo pia inadaiwa mganga huyo...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Ushawahi kwenda kwa mganga wa kienyeji ili upate mpenzi?

    Naomba kuuliza, hivi hiki kitendo cha kwenda kwa mtaalam wa kienyeji akusaidie kupata mpenzi ni kweli hua inafanikiwa? Aliewahi kufanya hivi anijibu
  12. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Madiwani wamsimamisha kazi Mganga Mkuu kwa tuhuma za wizi wa mafuta

    Baraza la Madiwani Halmashauri ya Wilaya ya Gairo Mkoani Morogoro imemsimamisha kazi Mganga Mkuu wa Wilaya hiyo, Dustan Mshana kwa tuhuma ya wizi wa mafuta lita 100, kununua kumpyuta chakavu pamoja na kutosimamia vizuri idara yake hiyo. Mwenyekiti wa halmashauri hiyo, Rachael Nyangasi, alisema...
  13. mr pipa

    JamiiForums Tanzania Nilipigwa na watu wasioonekana nilipotoka kwa mganga

    leo nimeona nilete kisa kimoja kilichowahi nitokea katika harakati za kutafuta utajiri wa kichawi Nimeamini kila binadam hupitia magumu yake ila nishukuru mungu maisha yangu hayajakuwa na misukosuko kivile Picha linaanza natoka form four ndio nimemaliza tu necta mzee ananiambia mwanangu...
  14. Ben Zen Tarot

    JamiiForums Tanzania Katavi: Mganga alawiti watoto sita akiwapa matibabu

    Mganga wa kienyeji mkazi wa Majengo ya Mpanda mkoani Katavi, Akili Abakuki maarufu kama Jimmy (38) anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kuwalawiti watoto sita wakati akiwapatia matibabu nyumbani kwake. Kaimu wa Jeshi la Polisi Mkoani hapo, Sylivester Ibrahim amesema mtuhumiwa...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Yanga SC mlipeni yule Mganga wenu wa kutumia Njiwa Uwanjani halafu mwambieni Mayele kwa yanayompata amlaumu Dada wa Saluni Magomeni Mapipa

    Na huyo Demu wake wa hapo ndiyo aliyepandikizwa Kummaliza na Klabu moja waliyocheza nayo na akakabwa vilivyo na Mkongo Mwenzake. Halafu Yanga SC hakikisheni yule Dogo ( Mganga wenu ) ambaye huwa anaingia na Njiwa Mweupe kila mliposhinda Mechi zenu mnamlipa Pesa zake kwani Password ya Ushindi...
  16. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Simiyu: Mganga wa kienyeji ajenga madarasa ya shule, achimba kisima, aweka solar

    Mganga mmoja wa tiba za kienyeji katika Wilaya ya Itilima Mkoani Simiyu amejitolea kwa gharama zake kujenga vyumba viwili vya madarasa ya kisasa, kuchimba kisima cha maji na kuweka umeme wa Sola kwenye shule mbalimbali wilayani humo. Mganga huyo Ndabagija Katani amesema ameamua kufanya hivyo...
  17. BigTall

    JamiiForums Tanzania DAR: Kasi ndogo ya wanaochanja yamshtua Mganga Mkuu

    Kasi ndogo ya chanjo ya kujikinga na Ugonjwa wa UVIKO-19 imemshtua Mganga Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Dk. Rashid Mfaume, na kuwahimiza wakazi wa mkoa huo kujitokeza kwa wingi kupata chanjo. Dk. Mfaume alitoa msisitizo huo jana Aprili 5, 2022 baada ya kubaini kuwa kasi ya watu kupata huduma...
  18. mimi mtakatifu

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wenu, nataka kwenda kwa mganga

    Nipo kwenye miangaiko ya maisha kwa muda wa miaka miwili sasa baada ya kupoteza kazi. Maisha yamekuwa magumu sana nimetumia akili, maarifa na kila ujanja lakini hali inazidi kuwa mbaya. Kila kitu sasa nimekuwa nakipata kwa shida iwe kula iwe mahitaji yoyote ya kila siku. Mimi ni mkiristo na...
  19. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Polisi wamnasa Mganga wa Jadi kwa kumiliki Sh milioni 3.3 za bandia

    Mnamo tarehe 26.03.2022 majira ya saa 13:30 mchana, Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya lilifanya msako huko kijiji cha Nsongwi Mantanji, Kata ya Ijombe, Tarafa ya Tembela, Wilaya na Mkoa wa Mbeya na kufanikiwa kumkamata FIDELIS KOMBA [42] Mganga wa tiba asilia, Mkazi wa Nsongwi – Mantanji akiwa na...
  20. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Siku mtu mwenye mali zake mkazi wa Dar aliyeugua maradhi yasiyojulikana alivyoletwa kutibiwa kwa mganga wa kienyeji huko Lindi

    Mnakumbuka miaka kadhaa iliyo pita niliwahi kuanzisha Uzi kwamba nataka kufanya utafiti kuhusu uganga na uchawi? Basi moja Kati ya sehemu nilizo kwenda ni Kwa mganga mmoja babu wa miaka themanini na ushee huko mkoani Lindi vijijini Alie sifika Kwa kuwa Na uwezo mkubwa WA kushindana Na wachawi...
Back
Top Bottom