Diva The Bawse alipie tangazo la kumpaisha mganga feki

Bongotunacheza

JF-Expert Member
Dec 7, 2018
718
1,643
Aisee kumbe wabongo wana upeo mdogo sana. Yaani hiyo story ya Diva hadi dada wa taifa kaingia mkenge (siamini kama Mange na yeye kaingia mkenge nahisi na yeye yupo kwenye payrol/ kuwatoa watu kwenye ishu ya ulimwengu wa 'Dada Paula').

Ni hivi, Diva kaandaa hiyo script kwa ajili ya kumpromote mganga wake fake ili ionekane ana uwezo wa kumroga mtu mapenzi, wakati kiuhalisia hakunaga uchawi wa mapenzi duniani.

Story ya Diva ni igizo kama igizo la Tunduru. Ukitaka kujua ishu ya Tunduru ni igizo, soma body language ya Mtatiro na mtuhumiwa wa mchongo, soma facial expressions, soma sauti zao, halafu soma macho ya mtuhumiwa (wanasemaga macho ni pazia ya moyo).

Diva lipia tangazo.
 
Wachache sana wataing'amua hii code...🤣
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom