mganga

Mganga (mganga wa kienyeji) ni mtu anayehudumia watu kwa njia za kienyeji ikiwemo kutibu.
  1. Empty containers Tanzania

    JamiiForums Tanzania Ushuhuda: Ukiona Mganga anataka PESA nyingi fahamu tu huyo sio mganga utaibiwa

    Uganga au uchawi ni karama ambayo MUNGU huwa anawapa watu na moja ya masharti ya karama hiyo usiitumie kujipatia PESA Ila acha MTU akipenda Kazi yako atakupa PESA. Hivyo Mimi Mganga wangu alienifanya nitoboe na kupata Kazi ssehemu nzuri na kukalia hiki Kiti aliniomba elfu 3 tu. Wakuu ukiona...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mganga Mkuu wa Wilaya Meatu, Mahela Godfrey Njile aamua kutoa Elimu ya kipindupindu Kwa lugha ya KISUKUMA

    Mganga Mkuu Halmashauri Ya Wilaya Meatu , Mahela Godfrey Njile akitoa Elimu ya kipindupindu Kwa lugha ya KISUKUMA katika kata ya Mbugayabang'hya. Pia soma: ~ Kihongosi: Baadhi ya Mila na Tamaduni zinachangia Kipindupindu Simiyu ~ Kipindupindu Simiyu kimeshamiri, kinaua ni hatari! Mbona...
  3. wa stendi

    JamiiForums Tanzania Hivi haya mabango "jiunge freemason na mganga wa jadi kutoka mkoq wa "yanabandikwa saa ngapi.

    Habari za siku nyingi wadau..na poleni kwa yanayoendelea hapa nchini. Nilikuwa nauliza haya mabango ya "jiunge fremason au mganga wa jadi kutoka labda tanga tunayokutana nanyo kwenye baadhibya nguzo za umeme au kuta za nyumba pembezoni mwa badabara hivi ni watu wa kawaida wanabandika au ni...
  4. G

    JamiiForums Tanzania Kwa hali ya sasa ni hatari zaidi kugombana na askari kuliko mganga, Hawa watu ni ngumu sana kuwajibishwa, Asiesikia ajiandae kisaikolojia

    Navyosema kugombana ni kuingia kwenye 18 zao hata kama wewe hujafanya kosa, jiepushe na mazingira hayo Kwa matukio yanayozidi kuendelea ambayo wengi tunayasikia imekuwa ni wazi hawa watu wana kinga kubwa sana, hata kukiwa na ushahidi uliosambaa nchi nima na watu kwa pamoja kudai haki bado ni...
  5. W

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Mganga wa jadi apatikana na fuvu za binadamu 24 nchini Uganda

    Mwanamume mmoja wa Uganda anayesadikiwa kupatikana na fuvu za binadamu 24 huenda alikuwa akizitumia kwa ajili ya kafara ya binadamu na anaweza kukabiliwa na kifungo cha maisha gerezani, polisi wameeleza kwa BBC. Msemaji wa polisi, Patrick Onyango, amesema mtuhumiwa huyo, Ddamulira Godfrey...
  6. chiembe

    JamiiForums Tanzania Aliyepotea Singida abainika kuuawa kwa mganga wa kienyeji

    Haya mambo yanahitaji uchunguzi, na subira, huyu naye chadema walisema katekwa na polisi ===== Jeshi la polisi mkoani Singida linawashikilia watu watatu akiwemo mganga wa kienyeji ambaye hajaweza kufahamika jina lake baada ya kutuhumiwa kumuua kijana samwaja na kumnyofoa baadhi ya viungo na...
  7. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Niliamua kumuacha baada ya kugundua kuwa baba yake ni mganga wa kienyeji

    Kuna pisi moja niliisotea kwa muda sana. Kuna siku niliikaribisha gheto ikaja ila ikaninyima mzigo kwa kisingizio cha kuwa period, tukapanga akipona tupelekeane moto. Kabla hajapona nikagundua baba yake ni mgangaél wa kienyeji,nilifuta namba siku hiyohiyo
  8. Jana Ulirudi Usiku

    JamiiForums Tanzania Ameponea kwa mganga wa kienyeji

    Salama wakuu? Nina rafiki yangu amenipa tafakuri mno usiku huu.alikuwa anaumwa, amezunguka kwa mitume na manabii ila hakupona .... Ajabu ameponea Tanga, tena kwa mganga wa kienyeji. Hii imekaaje? Kwanini wengi waliopinga yeye kwenda upande wa pili wenyewe huenda kwa waganga pia? Kwa nn hasa...
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wa Kawe Tanzania analndwa kwakuwa anakula na aliye Bungeni, wa Fedha, Juha wa Arusha na ni Mganga pia wa Queen Sheeba wa Baharini

    Lamor Whitehead, mhubiri wa New York, Marekani, maarufu kutokana na maisha yake ya kifahari, amekutwa na hatia kwa makosa ya kutumia nafasi yake kama kiongozi wa dini kuwalaghai watu pesa ili kugharamia maisha yake ya kifahari. Maafisa wanasema alitumia pesa za waumini wake kununua vitu...
  10. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania Shemeji yetu anataka kumuendea kwa mganga kaka yetu

    Aisee, kama ndoa ndo ngumu kiasi hiki, hiki kikombe kiniepuke kwa kweli. Ni mara mia nitafute mdada, nimpachike mimba kwa makubariano. Siwezi, nasema tena Siwezi, Mola anisaidie. Ni kugumu japo nimechungulia dirishani tu Ni kaka yetu japo si wa damu, na sisi ni kama wadogo zake japo kutokea...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Nimeenda kwa Mganga nikakuta ni classmate wangu,

    Si tumecheka na tukapika yule kuku ambaye nimekuja nae,🤣😂😂 maisha ni kujuana bana
  12. Invisible

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuacha kuvuta sigara (A Guide to Quitting Smoking)

    UFAFANUZI WA KINA NA MBINU ZA KUACHA UVUTAJI WA SIGARA Mbinu Za Kuacha Uvutaji Wa Sigara Miongoni mwa mambo magumu kabisa katika ufanikishaji wake ni mtu kuachana na uvutaji wa sigara. Watu wengi wamekuwa wakionywa kuachana na uvutaji wa sigara kwa sababu ya madhara yake, lakini wamekuwa...
  13. G

    JamiiForums Tanzania Niliwahi kwenda kwa mganga kujitibu bila mafanikio lakini tatizo nililozoea la kuamka asubuhi na mikwaruzo liliisha, Je mikwaruzo ni uchawi?

    Muhimu: Nilipelekwa huko ikiwa ni siri ya mimi na ndugu yangu ambae alishafariki, sehem tuliyofikia siikumbuki wala sina mawasiliano yoyote ya huko. Kuna kipindi mwaka 2014 niliamini nina mikosi na nuksi kwa kuonaa maisha yangu yana utata, ndugu yangu wa karibu niliekuwa nikimshirikisha kwenye...
  14. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nataka Kumroga Mo Dewji aiachie Simba SC yetu mwenyewe, je nitapata wapi Mganga hatari?

    Yaani sijui ni kwanini nikiiona tu Sura ya Mo Dewji na Simba SC yangu ilivyo kwa sasa ninatamani hata Kumpiga Ngumi!!!
  15. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Kuelekea Kariakoo Derby nawashauri Simba watafute mganga mapema au wahonge walinzi mapema

    Raundi ya kwanza timu ya YANGA iliibuka na ushindi mnono dhidi ya SIMBA kuna mwamba mropokaji hapa jukwaani akasema Yanga iliroga na kuhonga walinzi pia walimwaga dawa vyumba vya kubadilishia nguo,nataka kushauri uongozi wa SIMBA mapema kabla matokeo kwamba wafanyie kazi hay Kama mpira Uchawi...
  16. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Tunachohitaji hapo ni majibu (Engineer, Mbunge, Mganga Mkuu, Afsa Ardhi, RPC)

    Sina utani wala hapa sijaja kucheza chama kimenituma na moto ni ulele tu. Tunachohitaji hapo ni majibu (Engineer, mbunge, mganga mkuu, afsa ardhi, RPC). Mbunge jimboni kwako vipi miradi mbona haikamiliki. Mganga mkuu jengo la mama na mtoto litaisha lini. Afsa Ardhi kesi ya huyu mama umewahi...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Ukitumia internet vizuri kufanya utafiti wako binafsi utagundua Uchawi haupo. Hakuna mganga wala nabii atakayekutapeli. Wajinga ndio waliwao

    Habari wadau Binafsi nashangaa sana watu hasa wasomi wenye smartphone wanaoamini story za ushirikina zama hizi Ukweli ni kwamba ukijipa muda wako kujifunza zaidi kuhusu cognitive science and psychology, Human psychology na Science of Emotion ilivyo. watajua ukweli mwingi sana wa ubongo...
  18. 29Oct2025

    JamiiForums Tanzania Huyu Mganga alipitaje pale JKNIA?

    Hivi kwa karne hii ya sayansi na teknolojia mtu anaweza akapanda ndege kwenda kwenye chimbuko la dini yake na matalasimu vibuyu na tunguli ili akafanye uganguzi? Tena wateja naona watakuwa ndugu zake wamatumbi AIBU HII
  19. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Mganga atabiri matokea ya Simba na yanga yatakavyokuwa dhidi ya wapinzani wao mwishoni mwa week hii

    Wadao wa simba na yanga mnasemaje? 😃😀
  20. M

    JamiiForums Tanzania Mganga wa kienyeji maarufu Dkt. Manyaunyau agundulika mbinu yake ya kutapeli watu kwa kumchezesha jini kimbunga kwa remote control

    Habari wadau, Mganga wa kienyeji maarufu kwa kunywa damu za paka. Dr manyau nyau agundulika mbinu yake ya utapeli. Akiwa anafanyiwa mahojiano na mtangazaji wa global online tv. Dr manyau nyau alitaka kuonesha mbwembwe kwa mwandishi huyo wa habari kwa kumuambia asalimie majini yake na aone...
Back
Top Bottom