Miaka ya nyuma mganga aliniambia kuwa...

tandabui2021

JF-Expert Member
Nov 5, 2021
3,105
5,310
Malaika wangu hawapendi ninywe Tungi, hili jambo limenishangaza kwa muda mrefu sana, sikuwa ni mtu wa dini sana ila nikinywa pombe nilikuwa nakumbana ni mikosi sana.

Baadaye nikienda kwa mama mmoja mganga akaniambia wewe una kama malaika fulani kichwani kwako hawapendi unywe pombe.

Sasa najiuliza ni aina gani ya malaika walikuwa kichwani kwangu?
 
Hapa kwenyewe nipo barabarani najongea nyumbani
na koromelo limekauka
Nikifika nitoke niende nikazipe tabu figo kwa muda hadi sanneee.
 
Malaika wangu hawapendi ninywe Tungi, hili jambo limenishangaza kwa muda mrefu sana, sikuwa ni mtu wa dini sana ila nikinywa pombe nilikuwa nakumbana ni mikosi Sana

Baadaye nikienda kwa mama mmoja mganga akaniambia wewe una kama malaika fulani kichwani kwako hawapendi unywe pombe

Sasa najiuliza ni aina gani ya malaika walikuwa kichwani kwangu?
Majini
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom