mganga

Mganga (mganga wa kienyeji) ni mtu anayehudumia watu kwa njia za kienyeji ikiwemo kutibu.
  1. kavulata

    JamiiForums Tanzania Kwanini mganga wa Hospitali Mwananyamala alimwingiza Rais chumba cha wenye Covid-19 bila kumfahamisha kabla?

    Corona ni ugonjwa hatari wa kuambukiza kwa njia ya hewa, Rais alitakiwa kufahamishwa kuwa sasa anaingia wodi ya wagonjwa wenye corona ili ajiandae kimwili na kiakili, pia ahiari mwenyewe kuingia au kutoingia wodi ile. Rais ameonekana hadharani kushitushwa kwa kujikuta katikati ya wagonjwa wa...
  2. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Mganga wa jadi adai yeye ndiye aliyemuua Nabii T. B Joshua

    Mganga wa jadi kutoka nchini Ghana anayefahamika kwa jina la Nana Kwaku Bonsam amedai yeye ndiye anayehusika na kifo cha Nabii maarufu T. B Joshua baada ya mganga huyo kumtuhumu T. B. Joshua kuhusika na kifo cha Rais wa Ghana. Kwenye video ambayo ameirusha mganga huyo leo, anaonekana akisema...
  3. Replica

    JamiiForums Tanzania Tabora: Mganga wa jadi afariki akinadi kinga yake dhidi ya sumu

    Mtu mmoja ambaye amebainika kuwa ni mganga wa jadi, Robert Masumbuko, amefariki dunia mkoani Tabora wakati akijaribu kuwaaminisha wateja wake kwamba ana uwezo wa kuwapatia kinga dhidi ya sumu yoyote ambayo mtu anaweza kuinywa pasipo kudhurika. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora, Safia Jongo...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Rais umekosea na umevunja sheria, Biswalo Mganga alistahili kufukuzwa kazi na si kupewa hadhi ya Jaji

    Ameandika hivi kupitia mtandao wa Twitter: Mh. Rais umekosea & umevunja sheria: DPP Biswalo Mganga alitesa watu wasio & hatia kwa mashtaka ya uongo ya uhujumu uchumi & utakatishaji fedha. Wengi wanaozea magerezani kwa sababu yake. Alistahili kufukuzwa kazi chini ya Sheria hii; sio kupewa hadhi...
  5. B

    JamiiForums Tanzania DPP Biswalo Mganga kutenguliwa nafasi ya ujaji kabla yakuapishwa?

    Mhe. Rais SSH naomba nikupongeze kwa ujasiri wa kufanya yale waliyotuaminisha hayawezi kufanywa na viongozi wa chama Cha Mapinduzi. Nikupongeze kwa kusikia kilio Cha wengi kuhusu tuhuma zinamkabili mtumishi wa Umma mmojammoja pamoja na tuhuma za Wana CcM. Ulimteua Biswalo Mganga kuwa Jaji kwa...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Bado DPP Biswalo Mganga baada ya Ole Sabaya

    Hawa hawana tofauti, kila mmoja ametenda high-level atrocities against innocent citizens. Si sahihi kumuacha Mganga Biswalo na kumchunguza Ole Sabaya, hii ni double standards!
  7. S

    JamiiForums Tanzania Kama DPP haondolewi ofisini mpaka afanye makosa au awe na tatizo la kiafya, Rais kamuondoa katika mazingira gani?

    Nimesoma mtandaoni kuhusu taratibu za kisheria zinazotakiwa kufuata ili kumuondoa DPP ofisini, ambapo sheria imetamka wazi kuwa DPP hapaswi kuondolewa ofisini isipokuwa tu kama ana tatizo la kiafya(illness) au amekwenda kinyume na maadili ya kazi. Hata katika hili la kwenda kinyume na...
  8. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Uteuzi wa Biswalo Mganga kuwa Jaji wa Mahakama kuu kupingwa Mahakamani, Yadaiwa hana Maadili, zuio la kuapishwa kwake laandaliwa

    Nimesoma uteuzi wa Majaji uliofanywa na Mh Rais ,nimeelekeza Mawakili wangu waweke pingamizi mara moja la kuzuia kuapishwa kwa aliyekuwa DPP Biswalo Maganga kuwa Jaji wa Mahakama kuu,hana sifa wala maadili ya kuwa mwamuzi wa haki za Watanzania,anastahili kuwa jela au jehanamu. Mytake : NI AIBU...
  9. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania DPP Biswalo Maganga kuwa Jaji, Rais Samia umekosea sana

    Miongoni mwa watu walioteuliwa leo na Rais Samia Suluhu kuwa majaji wa mahakama kuu, jina la DPP Biswalo Maganga lipo pia. Hili jambo limetushtua sana wadau wa mambo ya sheria, kuna kitu tunakiona hakiko sawa na kinakwenda kutuharibia zaidi mhimili wetu wa sheria. Nitaweka sababu za msingi sana...
  10. ommytk

    JamiiForums Tanzania Wapi nitapata mganga wa Kienyeji mzuri?

    Nina shida binafsi nahitaji mtu mwenye kujua mganga mzuri ambaye anasaidia watu au ata yeye amemsaidia please siihitaji ushauri wala matusi kama uzi haukuusu kaa kimya hapa nahitaji mwenye kujua hili jambo tu narudia usije hapa kama hauna huyo mtu
  11. Iheanacho

    JamiiForums Tanzania Mimi leo naitwa Mganga wa Kienyeji

    Kuna dada nimevunja naye mahusiano ya kimapenzi ila naye kaamua kulipiza kisasi kwa kuchapisha mabango na kuweka namba yangu ya simu kwa chini akisema ni mganga toka Sumbawanga anayetibu nguvu za kiume na kuangamiza wachawi. Nifanyeje?
  12. P

    JamiiForums Tanzania Tukikubaliana na dhana za kuikejeli elimu kisa Profesa Muhongo kakejeliwa tutapotea kama Taifa

    Mheshimiwa Msukuma amepata umaarufu mkubwa siku za karibuni haswa kwa kumkejeli Profesa Muhongo mwenye kuamini kwamba umeme wa gesi ni suluhisho la suala zima la nishati hiyo. Ni mawazo ya Profesa Muhongo na anao uwezo wa kuyatetea kwa hoja kila anaposimama na kuongea bungeni. Naona kama...
  13. Terrible Teen

    JamiiForums Tanzania OR - TAMISEMI muondoeeni Dr. Fatuma Ramadhan Mganga Mke wa Spika Ndugai kuwa DED - BAHI DC

    OR - TAMISEMI kwa heshima kubwa nawashauri mumuondoe mara moja Mke wa Spika Y. Ndugai kuwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya BAHI, MKOA WA DODOMA. Mama huyu, Dr. Fatuma Ramadhan Mganga anatumia uhusiano wake wa kifamilia na Job Ndugai kukwaza utendaji kazi wa Serikali. Mama huyu kwa sababu...
  14. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kwa Jaji Feleshi na Biswalo Mganga

    Amani iwe nanyi! Naomba niwashauri tu! Achaneni na wote waliokuwa wanapinga maovu ya Hayati Magufuli. Hawa ni pamoja na; 1. Fatma Karume 2. Jebra Kambole 3. Mdude Nyangali Na wengineo wote. Napenda ku waambie wakati haupo upande wenu. Rudisheni uwakili wa Fatma karume haraka iwezekanavyo maana...
  15. B

    JamiiForums Tanzania DPP Biswalo Mganga umewatesa watu wengi kwa kiburi cha madaraka!

    Huyu kijana amebeba kilio Cha familia nyingi nchini, amewatesa watu kwakuwabambikia kesi huku akikusanya pesa za watu kwa mgongo wa uhujumu uchumi. Ofisi yake imeoza kwa kukosa hofu ya Mungu nakujitwalia roho ya kikatili, niombe ifike mahali watu wa aina hii wasipewe nafasi nyeti hivi. Haki...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Lushoto wapata dawa ya kinga ya Corona, mganga wa tiba mbadala ndugu Shaban ameseme wabunge wengi wameshakunywa!

    Mganga wa tiba mbadala ndugu Shabani wa Lushoto mkoani Tanga amesema amegundua dawa ya kinga ya Corona ambayo imewasaidia watu wengi mkoani Tanga. Shabani amesema dawa hiyo ni kinga kwa magonjwa yote ya mfumo wa kupumua na kwamba hadi sasa wabunge wengi wameshakwenda hapo Lushoto kunywa kikombe...
  17. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Kagera: Amuua Mama yake mzazi baada ya Mganga kumwambia apeleke damu ili kuongeza utajiri

    Jeshi la Polisi mkoani Kagera linamshikilia Fredius Philibart Kibengo mkazi wa Omurushaka wilayani Karagwe kwa tuhuma za kumuua mama yeke mzazi kwa kumkata shingoni kwa kutumia kitu chenye ncha kali baada ya mganga wa kienyeji kumtaka kupeleka damu ya mama yake au ndugu yake wa karibu ili...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Mganga Mkuu wa Serikali, Prof. Makubi: Wananchi chukueni tahadhari za kujilinda na kuwalinda wengine dhidi ya magonjwa, msisubiri matamko

    Mganga Mkuu wa Serikali Prof Abel Makubi amewataka watanzania kuchukua tahadhari dhidi ya magonjwa ya kuambukiza na yasiyoambukiza kadhalika wajikinge wenyewe na kuwakinga wengine. Makubi amesisitiza kuwa hizi siyo nyakati za kusubiri matamko wakati unaona kabisa mbele kuna nyoka, jiongeze...
  19. kiben10

    JamiiForums Tanzania Serikali yakanusha kuwepo mlipuko wa Ugonjwa wowote kata ya Ifumbo, Mbeya. Wizara ya Afya kuichukulia hatua ITV

    Waziri wa Afya, Dorothy Gwajima ameagiza kusimamishwa kazi Mganga Mkuu wa Halmashauri ya Chunya, Dkt. Felista Kisandu kupisha uchunguzi kwa madai ya kutoa taarifa zisizo sahihi za ugonjwa usiofahamika. Amesema hata kama ugonjwa huo ungekuwepo waziri ndiye anatakiwa kutoa taarifa. Zaidi, soma...
  20. sekulu

    JamiiForums Tanzania Vimbwanga: Shuhudia mganga aliyevamia uwanjani mechi ya Simba

    Sangoma atinga uwanjani, dah ebu cheki hii video hapa chini. Sangoma
Back
Top Bottom