mganga

Mganga (mganga wa kienyeji) ni mtu anayehudumia watu kwa njia za kienyeji ikiwemo kutibu.
  1. Daktari W Sindabhalla

    JamiiForums Tanzania Je, kuna uhusiano gani kati ya kwenda hijja na harakati za uganga ama tiba za kisuna?

    Habari Waheshimiwa wa JF. Samahani kama nitamkwaza mtu kwa swala ninalotamani kulifahamu. Rafiki yangu wa Shuleni O Level, hata sasa nipo nae karibu ktkharakati za kupambania tonge, alifanikiwa kwenda KUHIJI Makka, miaka kama 7/8 sasa. Aliporudi, akawa na katabia ka kuwasomea watu Dua kwa...
  2. emmarki

    JamiiForums Tanzania Napata ndoto za kutisha baada ya kwenda kwa mganga wa kienyeji

    Nilijenga msingi mzuri wa imani yangu kwa Mungu, kuwa ndio anayeweza kunitoa kwenye hili dimbwi la kukosa kipato licha ya kugraduate since 2014 hizi digrii yeboyebo. Japokuwa Mungu alinisaidia kupata kazi za mikataba ya muda mfupi lakini mishahara ni ile ikizidi sana ni laki nne, sehemu nyingi...
  3. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Mganga asakwa kwa tuhuma za kumbaka, kumpa mimba mwanafunzi wa Shule ya Msingi

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Lindi linamtafuta Juma Salumu maarufu ‘Juma Kipanya’ ambaye ni mganga wa kienyeji mkazi wa Manispaa ya Lindi kwa tuhuma za kubaka na kumpa ujauzito mwanafunzi wa darasa la saba mwenye umri wa miaka 15 Wilayani Lindi. Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Lindi, Foka Dinya...
  4. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Kigoma: Mganga amuua Mteja aliyetaka kuzindika Fedha za Biashara Tsh milioni 9

    Jeshi la Polisi mkoa wa Kigoma linawashikilia watu wawili akiwemo dereva wa pikipiki na mganga wa kienyeji kwa tuhuma za kumuua na kisha kumfukia mwanamke aliyekuwa ameenda kuzindika fedha za biashara kiasi cha shilingi milioni 9. Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo katika wilaya ya Kasulu na...
  5. John Haramba

    JamiiForums Tanzania TABORA: Watu 9 wakamatwa kwa tuhuma za mauaji na kuuza viungo vya binadamu, damu ya mtu inauzwa Tsh 600,000

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Tabora limekamata mtandao wa watu 9 ambao wametajwa kuhusika na tuhuma za mauaji pamoja na kuendesha biashara ya mauziano ya viungo mbalimbali vya sehemu ya mwili wa binadamu. Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Tabora, ACP. RICHARD ABWAO amesema mtandao huo umekamatwa...
  6. Ghazwat

    JamiiForums Tanzania Kuelekea mechi ya CAFCC | Simba SC dhidi ya ASEC Mimosas SC, mechi kubwa kwa timu kubwa

    Habari Tanzania na Kote Duniani..! Kuelekea siku ya Jumapili February 13, 2022 hatua ya makundi Kombe la Shirikisho Barani Afrika CAFCC kupigwa kwenye dimba la Benjamin Mkapa (Mkapa Stadium), ambapo Mnyama Mkali Mwituni Simba SC anakamuana na ASEC Mimosas kutoka Ivory Coast. Ni mchezo mkubwa...
  7. GUSSIE

    JamiiForums Tanzania Mahakamani kuna siri gani? Niliwahi kwenda kwa Mganga wa Kienyeji ili Hakimu na mashahidi washindwe kuongea au kuzungumza Mahakamani

    Wanabodi, Nayaandika haya sio kwa kufurahisha bali ni mambo yaliyonikuta na sitaki kuyakumbuka kabisa lakini kwa yaliyomtokea shahidi namba 13 wa upande wa jamuhuri Kamanda Swilla kwa kuugua ghafla kizimbani na muda mwingi kuomba ruhusa kwenda washroom au maliwato siyo mambo ya kucheka huwa...
  8. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Huduma mbovu yamponza Mganga Mfawidhi hospitali ya Wilaya Siha, Waziri amshusha cheo

    Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel ameonyesha kukasirishwa na huduma mbovu inayotolewa katika Hospitali ya Wilaya ya Siha baada ya wananchi kulalamikia huduma mbovu huku akikiri kujionea kwa macho yake baada ya kushuhudia mgonjwa akiachwa zaidi ya saa moja bila kuhudumiwa. "Ninaagiza...
  9. Kasomi

    JamiiForums Tanzania Njombe: Wawili wauawa na mganga wa kienyeji na kutupwa msituni

    Watu wawili, Suzana Mtitu (38) na Kassim Kitamkanga (35) wakazi Makambako Mkoani Njombe wamekutwa wamefariki katika msitu wa Tanwat uliopo Njombe huku uchunguzi ukibainisha kuwa wameuawa na Mganga wa Jadi baada ya Watu hao waliokuwa Wateja wake kugundua dawa za kuwa Matajiri walizopewa...
  10. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wabongo kwa ushrikina bana! Jamaa wakamatwa wakioshwa na mganga baada ya mauaji

    Hizi ndio zile imani za Majimaji rebellion. Jamaa baada ya kufanya mauaji walikimbilia kwa mganga awazindike ili wasikamatwe, ila ndio kama hivyo.....uganga ukabuma. ======= Jeshi la Polisi jijini Mwanza linawashikilia watu tisa kwa tuhuma za mauaji ya mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu...
  11. WatesiWETU

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna Mganga anayeweza kumuua Mchawi?

    Habarini wana JamiiForums, Nimejaribu kujiuliza maswali, Kuhusu Uchawi na Uganga, sasa nikaja kugundua kwamba Hakuna Mganga asiye Mchawi na ingawa siyo wachawi wote ni waganga. Sasa kinacho nifanya nije kwenu nikujua wataalaamu wa haya maswala kama wanaweza nipa Jibu ya swali langu, Kwamba...
  12. figganigga

    JamiiForums Tanzania Tabora: Nyoka Koboko amekunywa uji wa Moto, amkimbiza Mganga wa Kienyeji

    Nyoka aina ya koboko anadaiwa kuweka kambi katika eneo la Mlimani City kata ya Ng'ambo manispaa ya Tabora ambapo amegeuka kuwa tishio la maisha kwa wananchi wa mtaa huo. Katika jitihada za kumuondoa nyoka huyo wananchi walimleta mganga wa kienyeji ambaye alitamba kumuondoa nyoka huyo. Mganga...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nahitaji Mganga atakayeweza kunisaidia kurudisha mali zangu zilizoporwa

    Wakuu nahitaji msaada Mganga wa kuunganishwa na mganga atakayeweza nisaaidia kurudisha mali zangu zilizoporwa, pamoja na kuwa adhibu wahusika, Malipo ni baada ya kazi (vitu kurudishwa na wahusika kufahamika) Natanguliza Shukrani
  14. U

    JamiiForums Tanzania Mganga wa kienyeji aua watoto wawili wa kambo na kuwazika ndani

    Habari za kusikitisha kutokea Kaliua Tabora Baba wa Kambo amewaua watoto wake wawili kwa kuwaziba pumzi na kisha kuwazika ndani ya nyumba kabla ya kutoroka kusikojulikana Tukio Hilo limetokea Novemba 17, 2021 Wilayani Kaliua na kuthibitishwa na RPC wa Tabora Richard Abwao Chanzo cha mauaji...
  15. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Hirizi ya Simba ya Freemasons vs Hirizi ya Simba ya mchawi au mganga wa kiafrika

    Kwamba ukiwa Na hirizi ya Simba uta demonstrate sifa, nguvu Na uwezo kama WA mnyama Simba kama vile kuogopeka nakadhalika. Muumini WA Dini ZA kiafrika ( ambae anaweza kuwa muislamu au mkristo) mchawi WA kiafrika, mganga wa kiafrika, mchawi WA kiarabu, mganga WA kiarabu akitaka hirizi ya Simba...
  16. C

    JamiiForums Tanzania Mganga wa jadi nchini Ghana ameibuka na kudai kwamba yeye ndio alisababisha mchezaji wa zamani wa @ChelseaFC, @MichaelEssien kushuka kiwango

    Mganga wa jadi nchini Ghana ameibuka na kudai kwamba yeye ndio alisababisha mchezaji wa zamani wa Chelseafc, @MichaelEssien kushuka kiwango. Mganga huyo wakati anafanya interview na mtangazaji Arnold Mensah Elavanyo katika kipindi cha Vibes in 5, alisema kwamba alishusha kiwango cha Essien...
  17. T

    JamiiForums Tanzania USTADH MGANGA ATABIRI RAIS KUPOKEA TUZO ZA KIMATAIFA

    Ustadh Mganga ambaye ni bingwa wa utabiri hapa Afrika Mashariki ametabiri kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan hivi karibuni ataanza kupokea tuzo za kimataifa kutokana na kazi kubwa ambayo amekuwa akifanya hasa katika nyanja za amani,demokrasia na utawala...
  18. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Sasa uhakika simba anapigwa leo hawezi kukwepa

    Tulikuwa Zanzibar na tumekuja na Mtaalamu mwingine na kukutana Katikati ya Jiji. Hii matches uhakika wa kushinda ni Asilimi 101. Wanayanga ondoeni shaka. Ushirikiano na Viongozi ulikuwa mzuri na hawa wenzetu wanajidai wao wanajiamini na team yao. Watapatwa na kitu Kibaya sana siku ya Leo...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Kutoka Kambini Baharini: Kuna Mtu kakimbia baada ya Mganga kusema anatakiwa Yeye kwa Kafara ili Mfalme wa Nyika Afe Jumamosi

    Si ulisema kuwa huko ndiko ulikokuwa ukikupenda? Sasa mbona tokea jana unaogopa Kusogelea hiyo Kambi baada ya kuambiwa unaweza ukaondoka duniani Kikafara ili unaowapenda Washinde Jumamosi? Na Mightier nimetonywa kuwa Option ziko Mbili tu ama itafutwe Maiti ya hivi karibuni ikafukiwe Temeke...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Ushawahi kwenda kwa mganga kisa mwanamke?

    Kama inavyojieleza ushawahi kumpenda demu sio ligi yako. Ukaamua uende kwa babu.
Back
Top Bottom