mfumo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    Naomba kueleweshwa kuhusu mfumo wa gesi ya kupikia katika nyumba/jiko

    Nawasalimu wakuu. Naomba kwa wanaofahamu wanieleweshe kuhusu kuweka system ya gas ya kupikia katika jiko. Katika pitapita zangu nikawasikia jamaa wanaongelea kuwa kuna mfumo ambao mtungi wa gas unawekwa nje kabisa mbali na kijoni, halafu wamepitisha bomba za kupeleka gas ndani/jikoni. Hii...
  2. R

    SoC01 Tatizo si Mfumo wa Elimu bali ufinyu wa fursa za ajira

    TATIZO SI MFUMO WA ELIMU Kumekuwapo na mjadala kuhusu mfumo wetu wa elimu.Tuliowengi tunasema mfumo wetu wa elimu ni mbovu na kwamba ndiyo maana vijana wengi wanamaliza vyuo vikuu lakini hawawezi kujiajiri. Kelele ziko kila kona ya nchi. Malalamishi haya hayatoki kwa wananchi wa kawaida tu...
  3. Mfumo wa 'salary slip' haufanyi kazi

    Natumai hamjambo. Toka jana najaribu kufungua salary slip, matokeo ni kuwa huduma haipatikani. Mh. Mwigulu umeona tozo hazitoshi sasa umeamua kufunga mfumo ili tusione mnavyotuibia? Hebu fungueni tuone HELSB walivyofanya mwezi huu maana hawaamiki tena.
  4. Je, Rais Samia alikuwa haaminiki au ndiyo mfumo wa ulinzi na usalama ulivyo?

    Kifo cha Rais Magufuli kimefunua siri ambayo nadhani wengi hawakuwahi kuijua. Kifo cha Rais Magufuli kimeonyesha jinsi ambavyo Rais Samia alikuwa hajui siri za nchi ambazo kwa wadhifa wake kama Makamu wa Rais alitakiwa awe anajua! Nakumbuka hata Rais Magufuli alipoingia madarakani alikuwa hajui...
  5. Msaada: Naomba mawasiliano ya Daktari wa magonjwa ya mfumo wa chakula

    Ndugu naomba msaada wa kupata mawasiliano ya daktari bingwa wa magonjwa ya mfumo wa chakula
  6. Mfumo wa choo na sababu za magonjwa katika familia

    Sababu kubwa ya magonjwa Kama UTI, SKIN COMPLICATIONS kutoisha katika maisha yetu ya kila siku NB: Kudhani chooni ni mahali pachafu/kinyaa na mpaka kufikia point kwenda na ndala au viatu ni ugonjwa wa a kili. MIMI SINA UJUZI WA UFUNDI Nimejifunza mfumo wa Choo katika makazi yetu hata hasa...
  7. SoC01 Mapendekezo ya uboreshaji wa mfumo wa mabasi ya Mwendo kasi ili kuongeza ubora wa huduma na kupunguza gharama za uendeshaji

    MAPENDEKEZO YA MABORESHO YA MFUMO WA UENDESHAJI WA MABASI YA MWENDO KASI Mabasi yaendayo haraka ni mradi uliobuniwa kurahisisha huduma za usafiri kwa wakazi wa majiji makubwa yenye msongamano mkubwa wa magari na watu. Tangu kuanzishwa kwa huduma hii kumekuwepo na changamoto za kimiundombinu...
  8. SoC01 Uhusishwaji wa Afya ya akili katika mfumo wa elimu za Msingi na Sekondari

    Karibu katika makala hii: UHUSISHWAJI WA AFYA YA AKILI KATIKA UTOAJI A HUDUMA YA ELIMU YA MSINGI NA SEKONDARI. Uzingatiwaji wa afya ya akili katika jamii ya Tanzania uko katika kiwango kidogo, Athari zake huathiri walio na kasoro ya kiakili na wasio nazo, hivyo watoto na watu wazima wako...
  9. SoC01 Pendekezo: Mfumo mbadala wa Manunuzi ya Umeme

    Umeme ni hitaji muhimu katika maendeleo ya kila taifa na mtu binafsi,kwa kuwa umeme huzalishwa kwa gharama kubwa na serikali hivyo serikali haina budi kuuza umeme kwa watumiaji kupitia shirika lake la umeme TANESCO.Kwa sasa Tanesco kwa asilimia kubwa ya wateja wake wananunua umeme kupitia...
  10. Tatizo la watafutaji wengi hawatafuti mfumo wa kupata fedha bali wanatafuta fedha yenyewe

    Ili uwe na mafanikio kwenye eneo lolote unahitaji kitu KINAITWA experience (uzoefu) Watu wanafel biashara,wanafukuzwa au kutothaminiwa kazin kwasababu ya uzoefu..ukifuatilia na kuwachunguza wanaokuzidi iwe kwenye BIASHARA yeyote au kazi ofisini utagundua sio kitukingine ni uzoefu tu... Kwahyo...
  11. K

    Bibi anasema "Tusiilaumu serikali kwa tozo mpya, bali tubadili mfumo wa kuhifadhi na kutumiana pesa"

    Nimefuatilia mijadala mbali mbali kuhusu ongezeko la gharama na tozo mpya za miamala ya kifedha kwa upande huduma wa mitandao ya simu za mkononi. Mjadala umekuwa mkubwa sana kwenye mitandao mbalimbali. Wananchi wanalalamikia ongezeko la tozo hizi huku kiasi kikubwa cha makato (tozo) hizo...
  12. Mfumo wa usajili majina ya biashara BRELA

    Wakuu habari zenu, Nimeanza jana kujaribu kusajili Jina la biashara kwa mfumo wa Brela ORS. Nimejisajili vizuri tu ili kuendelea na hatua inayofata, sasa shida ndio imeanzia hapo.. Kila nikijaribu kupakia taarifa ili kuendelea na hatua inayofuata, wao hunigomea. Wanadai kuna taarifa...
  13. J

    SoC01 Ukoloni wa mfumo dume, Tuupindue

    Kwenye taaluma ya ikolojia tumefundishwa kuwa, kukubali uwepo wa tatizo ni sehemu muhimu ya suluhisho ila kukana uwepo wa tatizo na kutafuta njia mbadala wa kutatua tatizo kanwa ni pata potea. Ni ukweli kuwa matatizo mengi ya kijamii yanayohusisha mwingiliano wa mwanaume na mwanamke yanatokana...
  14. R

    Mfumo wa elimu ubadilishwe

    Moja ya jambo ambalo linatakiwa kutiliwa mkazo kwa sasa ni namma ambavyo mfumo wetu wa utoaji elimu unavyoathiri vizazi vyetu hasa vijana. Ni mfumo ambao unalenga sana kuwaandaa wanafunzi kuwa tegemezi na kuwa wavivu wa kujituma na kupambania ndoto zao. Wanafunzi wanafundishwa tu wakazane na...
  15. SoC01 Mabadiliko ya Mfumo wa Rufaa ya Matibabu (Medical Referral System)

    MFUMO WA RUFAA YA MATIBABU ni mfumo ambao unamwezesha mgonjwa kutoka kituo kimoja kwenda kigine kwaajili ya kujipatia Matibabu, kulingana na ukubwa wa tatizo, au uhaba wa wataalum , au kulingana na kutokuwepo kwa vifaa vya kutosha katika kituo husika. Rufaa ya Matibabu hutolewa kulingana na...
  16. SoC01 Tunaweza kuwa Taifa imara kama tutaamua kubadilisha Mfumo wa Elimu yetu

    Wadau, hakika ili taifa liwe imara mfumo wa elimu yake lazima ubadilike, tuko hivi tulivyo kutokana na aina ya elimu yetu tunavyoitoa ikiwemo mitaala yetu! wakati nimeona hili shindano nikadhani ni bora nilete mjadala huu mpana katika nchi yetu namna ya kuleta elimu yenye tija! na yafuatayo ni...
  17. H

    Mfumo wetu wa elimu na watu unaozalisha

    Unazalisha Maprofesa na PhD's wasio jiamini wala hata ku reason vitu basic kabisa hawawezi hata kusimamia ukweli pia hawawezi (Hili lilionekana waziwazi kwa Mawaziri hasa wakati wa utawala wa mwendazake ) na ndio hao hao wanafundisha watu vyuoni! Unapiga vita utandawazi na kuaminisha kua...
  18. Napendekeza taa za kuongozea magari ziunganishwe na mifumo ya ‘Google maps’

    Huwa inashangaza sana katika zama hizi za kukua mno kwa teknolojia kukuta taa za barabarani zinaita upande usio na magari kabisa hata dakika 2, wakati huo huo upande mwingine wenye msururu mrefu wa magari ukiwa umezuiwa kwa taa nyekundu, huwa nacheka sana. Ninachojiuliza, kama simu yangu ya...
  19. Vipi kuhusu huu mfumo wa HESLB wa kuonesha madeni?

    Samahan wadau, Kumekuwa na link inyosambazwa https://olas.heslb.go.tz/index.php/olas/user/register/repay?t=2 ukiingia inaonyesha deni tofauti na lile lililopo kwenye salary slip kwa wale walioanza kukatwa. Je, hii ina maana gan? Kuna marekebisho tusubiri au huu mfumo hauna correlation na...
  20. Kuinua Elimu nchini, mfumo wa kuajiri kwa kuangalia Vyeti ufutwe

    Moja ya sababu ya elimu kuwa Duni na pia kukutana na Graduate au Masters ambaye uwezo wao ni mdogo sana kulinganisha hata na Darasa la saba au mtu mwenye elimu ya certficate ni kwa sababu ya Vyeti kuabudiwa. Vyuoni watu huenda kutafuta vyeti na si kutafuta maarifa, ndo maana kule kuna njia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…